Namuomba mungu mda huu nimetoka kukutanda na mchumba wangu ktk tendo la ndoa ashike mimba ya watoto mapacha wakike na kiume katika jina la yesu furaha ashike mimba saiz amen
Amen naamin kupitia maombi haya ya mtume naomba nipokee mimba ya mapacha mtot wa kike na wakiume ndan ya mwez huu usiishe naamin itakua mwaka huu auta Isha nitapokea mimba 🙏🙏
Mimi Amina chalesi nipo Zanzibar ninamume namuomba mungu kupitia maombi haya nipate watoto mapacha wawili mapacha like na kiume emwenyezi mungu nisaidie
Nataka kupona tupo bwana yesu sijui nimimba sijui ninin yesu wewe ndo ujuae naomba uniponye tumbo kama niuchaw basi kwajina la yesu nataka watoke kwenye tumbo langu kwenye maisha yangu watoke kabisa Amina naamin ita tendeka
Mungu naomba uniponye Mimi na watoto wangu roho ya kutoonekana tumbon kwangu naikataaaa kwa jina la yesu ninaiman itakuwa hivyo ndan ya siku nne hizi naiman maaana mungu ninaemtegemea huwa ajawah niach asant yesu
Najiungamanisha na madhabahu hii ukafanyike muujiza mimba zangu haziharibiki tena kuanzia sasa. Na mwanangu atakuwa salama tumboni kuanzia sasa. NIKO SALAMA KWA JINA LA YESU. AMEN
Najiunganisha Mimi nauzao wangu tufunguliwe tulio kazini tudumu makazini na mwanangu Jimmy apate kazi. Hata kama ilipita bado najiunganisha katika Jina kuu LA YESU
Pia ni Mimi Amina namuomba mungu kupitia maombi haya naitajiniwe na byashala yangu Mimi mwenyewe na nyumbayangu Mimi mwenyewe kupitia mazabahu hii emungu nisaidie
Amen,, MUNGU naomba unikumbuke mwaka huu na mwezi huu husiishe 🙏🙏
Namuomba mungu mda huu nimetoka kukutanda na mchumba wangu ktk tendo la ndoa ashike mimba ya watoto mapacha wakike na kiume katika jina la yesu furaha ashike mimba saiz amen
Amen naamin kupitia maombi haya ya mtume naomba nipokee mimba ya mapacha mtot wa kike na wakiume ndan ya mwez huu usiishe naamin itakua mwaka huu auta Isha nitapokea mimba 🙏🙏
Amen kupitia mazabau hii naamin ntapata ujauzito mwezi huuu mungu wangu nisaidie
Amin mchumba wangu furaha anapokea mimba leo ya mapacha katika jina la yesu amen
Amina
Qqqqqaa@@veronikakibika
Napokea Kwa jna la yes
Amen
Ameen npokea furaha kuzaa mapacha amen napokea mimba leo nikikutana mchumba wangu iddy ktk jna la yesu tunapokea kufunguliwa
Mimi Amina chalesi nipo Zanzibar ninamume namuomba mungu kupitia maombi haya nipate watoto mapacha wawili mapacha like na kiume emwenyezi mungu nisaidie
Kupitia madhabahu hio katika Jina la yesu hali yakuharibika na mimba imeshindwa naamin Ameen
Amina
Na mimi naamini mimba yangu haijaharibika kwa jina la yesu aliye juuuu.
Amina Mimi napokea mtoto kwanzia Sasa ee yes tenda miujiza kwangu kwanzia Sasa pia wape nguvu watoto wangu wakubwa masomo mema kwao yesu wasimamie
Namuomba mungu anitendee miujiza mimba hii niliyonayo nizae mtoto akakae na aishi nakataa kufa Tena mtoto kwamamulaka ya jina la yesu
Ameen naamin hii mimba yangu nilienae napokea mtoto wa kike kwa jina la yesu kwasababu uliniombea ww mpaka nimepata ameen
Amém mungu anitende mwezi uUu na Mwaka u usishe nibebe mimba ya mapasha wanawake wawili
amen. amen nami na pokea
kwajina ra yesu
Nataka kupona tupo bwana yesu sijui nimimba sijui ninin yesu wewe ndo ujuae naomba uniponye tumbo kama niuchaw basi kwajina la yesu nataka watoke kwenye tumbo langu kwenye maisha yangu watoke kabisa Amina naamin ita tendeka
Mungu naomba uniponye Mimi na watoto wangu roho ya kutoonekana tumbon kwangu naikataaaa kwa jina la yesu ninaiman itakuwa hivyo ndan ya siku nne hizi naiman maaana mungu ninaemtegemea huwa ajawah niach asant yesu
Furaha amen napokea mapacha na kujifungua vizur bila maumivu makal katka jina la yesu
Amen naaamin mchumba wangu happy anapokea mimba ya mapacha kuanzia sasa
Najiungamanisha na madhabahu hii ukafanyike muujiza mimba zangu haziharibiki tena kuanzia sasa. Na mwanangu atakuwa salama tumboni kuanzia sasa. NIKO SALAMA KWA JINA LA YESU. AMEN
Amina
Ameee I hope ulishapikea
Furaha napokea mimba ya mapacha wawili wakike na kiume katika jina la yesu napokea mimba amen
Najiunganisha Mimi nauzao wangu tufunguliwe tulio kazini tudumu makazini na mwanangu Jimmy apate kazi. Hata kama ilipita bado najiunganisha katika Jina kuu LA YESU
Napokea mtoto wa kike kupitia madhabau hii katika jina la yesu tena kajifungua Salam Kam mwanamke wa kiebrania🤲
Amen napokeya maobi yaleo nacoganisha katika jina lá yesu nataka watoto
Amina najiunganisha nitapokea kwa imani
Namuunga Manisha mchumba wangu furaha ndomba akapate mimba ktka jina la yesu akapate mimba ya watt mapacha naamin kupokea amen
Ameeen
Mtumishi wa mungu napokea mchumba wangu apate mimba mpacha watt wawil
Kwa kujiungamanisha kwa ibada hii nipokee watoto mapacha katka jina layesu amen
Amina baba ❤❤❤ napokea katakana jina last yesu ❤❤❤
Eee mungu kwanzia sasa naomba nipokee ujauzito ninao utafuta kwa mda mrefu Amen 🙏
Iddy na mchumba wangu happy tunapokea mimba ya mapacha amen
Leo nakutana na mume wangu nikapate mapacha Kwa jina la yesu Imekuwa
Napokea uponyaji wa watoto wangu na Mimi pia kwa jina la yesu
Amena Nina omba yesu Abariki tumbo la mke Wang ajifungue mapach wawili wakiume na wakutumikie we'we
Amina napokea mapacha kwa JINA la YESU
Mungu nisaidie mwakauu nipate mtoto katika jina ra yesu
Napokea watoto mapacha wakike na wakiume kwa jina la yesu. Amen
Napokea
Amen,,napokea mimba ya mapacha wakike,
Amina napokea kufunguliwa mwaka huu nijifungue watotomapachawakikenawakiumme na kuamini Amina 🖐️🖐️🙏
Naomba nakuamini hamina napokea kufunguliwa huzaowangu
Furaha napokea mimba Leo nipate mapacha na nitakuja kutoa ushuhuda ktk jina la yesu
Naomba leo nakutana na mke wangu furaha apate mimba ya watoto mapacha katka jina la yesu
Thank you Jesus Christ 🙏🏽
Nahitaji maombi mtumishi ni mjamzjto miezi 9 lakini uchungu unakuja na kuacha wiki ya pili sasa.naomba kufunguliwa
Amina namimi napokea leo katk jina la yesu
Nisaie mungu nipate mimba naamini yawezekana kwa jina la yesu
Napokea mapacha mweui huu mungu nisaidie
Napokea uponyaji wa mapacha wa kiume amina
Amen amen God bless you more
Yesu napokea mimba ya watoto mapacha
amin amin na mimi nimepokea kwajina la yesu
Pia ni Mimi Amina namuomba mungu kupitia maombi haya naitajiniwe na byashala yangu Mimi mwenyewe na nyumbayangu Mimi mwenyewe kupitia mazabahu hii emungu nisaidie
S mungu anitende na mimi,amen
Nami napokea watoto mapacha wakiume kw jinala yesu
Mungu najifungamanisha na ibada,hi
Amen napokea
Napokea Kwa jina la Yesu
Naomba kwa mazabahu hii mapacha wa kike.
Tuamini mungu atatenda
Mpenzi wangu happy anapokea mimba katka jina la yesu atapata mapacha
ameen
amen amen yesu.
Kupitia semina hii napokea mimba kwa jina la yesu.
Kupitia madhabahu hii citoharibu mimba tena kwa jina la Yesu kristu
Napokea mchumba wangu furaha apate mimba mapacha
Napokea dabodabo katka jina la yesu
Tunakuja kawe kwamtumishi wa mungu mwamposa
Napokeya kwajina layesu
Naamini mm na mchumba wang tunapokea mimba leo yawatoto mapacha ktk jina la yesu
Bwana yesu asifiwe
Mungu nitendee nipate watoto mapacha
Furaha mimba nitapata na mme wangu iddy atakuwa sawa
Napokea kwa jina layesu namie ntapokea
Naomba mungu nipate mimba nahuyo mwanaume hemedy
Napokea mimba kwa uwezo wa mungu mkuuu
Mungu nisaidie niweze kujifungua sikuya leo
Nimejiunga katika jina la yesu
Napokea mimba kwa jina la yesu
Naa pokea afya njema Amen
Inawezeka kupata mapacha watatu kitka jina la yesu
Ntapokea kwa uwezu wa mungu
I connect my self.
Nifungue Mungu namimi nipate mtoto
Napokeya mapacha wa 4
Leo napokea amina
Naomba double blessings
naomba tulie kosana tuelewane leo aniombe msamahaa ameen
Hataniwi
Najiunganisha na madhabahu hii
Emungu Niko pamoja na mtumishi mwampos emeeeeeeee napokea
Jamani nimeikosa Leo ii da had naumia sana
Ingia online ukimaanisha jiunganishe baadae unasali na inakuwa sawasawana jitaji lako kama umesali live mm nmepokea baraka kwa njia hii mpendwa
Napokea Leo sawasawa na haya ya moyo wangu najiunganisha katika Ibada hii
Napokea kwa jina la yesu watoto mapacha
Nimepona uvimbe🙏🙏
naomba mafanikio ya kishindo leo amen
Napokea mapacha 3 wakiume kwa jina la yesu amena
Napokea mapacha leo kwa jina la yesu amen
Naaamini nimepokea mapacha kwa jina la yesu
amen amen
Najifungua kila aina ya vifungo vinavyo shikilia kizazi changu katika jina la yesu
naomba niombee nipate mashine leo ameen
Nami napokea
ombi langu lingine nipate mzigo mzuri
Naomba maombi mtumishi
Nitapata mapacha katika jina LA yesuuuuuu
Napokea uchungu kwanzia ss
Mm sitakaa miaka yote hiyooo pindi ntakapopata tuu munme nitazaaa nyumba na mume nitapata soon kupitia madhabahu hii ya bulldozer
Kupitia madhabau HAYA nipte mtoto