OFA MAGAUNI MAZURI YA HARUSI KWA 150,000/= PIGA 0654865760

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Ofa kabambe ya miezi 3, Pemba Classic Design tumekuja kuondoa usumbufu mtaani. Usiteseke tena kukodi magauni mazuri ya harusi kwa bei kubwa. Sasa unaweza kukodi gauni zuri la harusi kwa 150,000/= tu. Ofa hii imetolewa na Pemba Classic Design. Usichelewe fanya booking mapema Tunapatikana Dar es salaam - Buguruni - Mtaa wa Ghana. kwa msaada Zaidi tupigie kwenye 0654865760 / 0689626519 hakika utafurahia huduma zetu. Enjoy to watch Super News TV subscribe our Channel for more videos.

ความคิดเห็น • 28

  • @RaheliYaladi-kr3zw
    @RaheliYaladi-kr3zw 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bei ya kununua ni ngapi,na nitapataje,mko wapi

    • @supernews_tv
      @supernews_tv  6 หลายเดือนก่อน +1

      Kama umeangalia hii Video lazima utakuwa umeona namba za simu namba zimewekwa hapo ili mwenye uhitaji apige simu 0654865760

  • @MbarakAhmedAbdalla
    @MbarakAhmedAbdalla 6 หลายเดือนก่อน +1

    Je mbona tunasikia kua nguo zipo nabei ni raisi tu sasa jee watu takriban kumi wameuliza sanataka kununua na hata mmoja haja pata jibu na mm mmojawapo naitaji bei nakuyapata naweza kuyapataje nikitaka kama tofauti rangi na muundo ikiwa nibei yakuridhisha ata sita nisawa tunawezakuwasiliana

    • @supernews_tv
      @supernews_tv  6 หลายเดือนก่อน

      Kama umeangalia hii Video lazima utakuwa umeona namba za simu namba zimewekwa hapo ili mwenye uhitaji apige simu 0654865760

    • @PaschalLeonard-kf8ce
      @PaschalLeonard-kf8ce 27 วันที่ผ่านมา

      Niwapi mm Niko mwanza napataje lokeshn

  • @halush175
    @halush175 2 ปีที่แล้ว +1

    Mko na branch kenya labda naitajigauni

  • @ZulekhaMohamed-st2vu
    @ZulekhaMohamed-st2vu 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mim naitaji kwaajiri ya kukodisha napataje

    • @supernews_tv
      @supernews_tv  29 วันที่ผ่านมา

      @@ZulekhaMohamed-st2vu karibu tupigie kwenye 0654865760

  • @vailethmjagamachele-yd6db
    @vailethmjagamachele-yd6db 9 หลายเดือนก่อน +1

    Niko musoma nilitaka shera napataje?

  • @IngJamesKrMkome
    @IngJamesKrMkome 2 ปีที่แล้ว +1

    nataka kununua ni bei gan?

  • @abuujr7654
    @abuujr7654 2 ปีที่แล้ว

    Mnaweza kutoa huduma sehem yoyot

  • @sophiamakwawa4263
    @sophiamakwawa4263 2 ปีที่แล้ว +1

    Bei tofauti au moja zote

  • @collethavicent1687
    @collethavicent1687 2 ปีที่แล้ว

    Gaun kununua bei gan

  • @maimunakilunga8724
    @maimunakilunga8724 ปีที่แล้ว +1

    Ukiuza bei gan

  • @christinajoseph6903
    @christinajoseph6903 2 ปีที่แล้ว +1

    mko wapiii

    • @supernews_tv
      @supernews_tv  2 ปีที่แล้ว +1

      Dar es salaam - Buguruni Gana

  • @SylivesterntareSyliveste-uq6wx
    @SylivesterntareSyliveste-uq6wx 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bei ya kuuza

    • @supernews_tv
      @supernews_tv  6 หลายเดือนก่อน +1

      Kama umeangalia hii Video lazima utakuwa umeona namba za simu namba zimewekwa hapo ili mwenye uhitaji apige simu 0654865760

  • @rabiimwinyi7871
    @rabiimwinyi7871 2 ปีที่แล้ว +1

    Mko wp

    • @supernews_tv
      @supernews_tv  2 ปีที่แล้ว

      Buguruni Rozana Dar es salaam

  • @uswegeg2909
    @uswegeg2909 ปีที่แล้ว +1

    Nataka kununua