#MZEE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za TH-cam Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana
Ubarikiwe baba maubri yako na nyimbo zako zinanifungua san
Daaa moyo wangu upata nguvu zaidi nisikilizapo nyimbo zako
Ubarikiwe mno mtumishi WA bwana
Amen mwaka wa Kasi mpyaaass 2022 mwendo wa Eagle
Mwimbo huu nikisiliza Nabarikiwa sanaa
Huu wimbo mtakatifu saaana kwetu pia waimbaji na wasikilizaji, barikiwa...
Baba ubarikiwe mno mno
Wimbo unanibariki saana yaani unatamani usiishe sayuni uendelee tu
Mungu mwema wimbo mzuri
Ameeen kubwa mtumish
Wimbo huu unaimarisha Moyo wangu
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
Haleluya
Wimbo mzuri sanaa. Haleluyaaaaaa
Good song
Amen
Amina
Nice song
Baba umenitokeya kwenye ndoto umeniambiya ninunuye mitungi ya gesi iyo kuwa na gesi iwemingi arafu utanierekeza chakufanya
Sayuni sayuni
Why now father but najuwa unapitishwa ni mda sasa wa mwana kondoo wa mungu kujaribiwa naam nami nalijuwa but najuwa utashinda na utasimama kama mungu ndio aliyekupa najuwa bado anakupenda naumia sana why why moyo wangu ukisikia SAYUNI nakumbuka uliniombea nikapona mungu yupo
Saf san