Walimu waliokuwa na sifa za utoro wawafundishe wanafunzi watoro
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- MBUNGE wa Jimbo la Kahama Mjini, Jumanne Kibera Kishimba ameshauri serikali kupitia Bunge kuwa Wizara ya Elimu iache kuhangaika na watoro mashuleni na badala yake itafute walimu waliokuwa watoro wawafundishe walimu watoro.
Ukimskiliza bila umakini utacheka kama comedy...ila mzee ni genious akili mingi sana
Kabisaa
Nampenda huyu Mbunge.very smart and real.
Kabisa nimecheka, Sana tena sana,ila nimejifunza sana.huyu bwana ana akiri nyingi mno.
Well done prof.kishimba watoto waende shule mchana 👏👏👏👏👏
Huyu mzee hanaga kazi mbovu hata moja
Binafsi najiuliza waga mawazo haya anayatoa wap very great thinker
Miaka miwili haujapata wakukujibu sasa mimi nakujibu nikwamba huyu jamaa nimfanya biashara mkubwa amewekeza nnchi nyingi hapa afrika na elimu yake ni yakawaida tu ila biashara ndio imemfikiaha hapo alipo. Kwamana hio sasa anajifunza mengi kupitia hizo nnchi
Very smart and real, sheria ni msumeno.....
The fruits of not preparing your mind to atack personality and living a comfortable satisfactory life. Bravo prof Jumanne Kishimba
Safi sana mbunge Kishimba,kazi yako tunaiona, chapakazi tujenge nchi
Baba shikamoo ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿✔️❤️❤️❤️❤️🤲🤲😆😆😆😆😆😆😆😆😍😍😍😍😍😍😍
~pppppp~popup 9⁹⁹lp
Anaye msema vibaya huyu mzee atakuwa gan akiri mzur afu watu Kam Hawa kwann hawapat uwaziri
Hiki ni kichwa kingine.Huyu mzee ana maono sana
Hii Kali mbunge super sana
Umenikumbisha mbali sana mheshimiwa kishimba ukiwa kwenye kampeni na biku
Hili jamaa huwa lina akili sana 😂😂
Very smart man. Huyu ana akili wala hakuna haja ya yeye kusoma
Huyu babaa ni genius
Huyu mheshimiwa siku zote anapoint za maana sana
Upo vizuri saaana
Jamaniiiiii nimeliaaaaaa. Badaaa ya kuchekaaa
Dah kazi kubwa sana
Huyu jamaa ni genius
Hit points
Mhe Kishimba ana hoja nzuri, zimejaa maarifa na zenye tija. Sielewi kwanini hazifanyiwi kazi.
Uko vzur mkuu
Fact tupu Mzee anatemaaa
Akili za ma genious huwa na mawazo MBADALA
Very impressively and unique
kahama mnambunge kwerkweri
Mbunge mwenye akili nyingi bungeni
Unaweza mheshimiwa
Yan uwezo wako wa kufikiri Mh ni mkubwa mnoo.
MUNGU azidi kukupatia hekima zaidi.
Ukweli Watanzania siyo sawaa
Appreciated babaaa
Upo vizuri
Sooo genius Kichimbaa
Vertical smart,intelligent.
Huyu mzee aongezewe ulinzi tafadhali.
Hiki kichwa
Angekua na shida ya fadha ningemshauli afungue cha chuo cha maalifa
Nimekuelewa kabisa hapo kwenye kwenda saa tano, tusipende kuiga mambo yote kutoka nje hata sisi tunaweza fanya maamuzi yetu kama taifa, Tunaweza kubadili mtazamo sasa hata kama misingi iliwekwa zamani
Unatufumbua macho
Hakuna kazi hapa
Kishimba ni ninoma sana
Genius
Hapa kwenye utoro ni lazima kuwaaanda kiakili watoto kwa sababu wengine huenda kufanya mambo yasiyofaa
unakil nyingi sana
Nikweli kishimba unayosema watoto wengi hawawajall wazazi wao
Safi kabisa
ni kweli mzee
Kweli
Hivi ni mara ngapi ametamka neno “Mh. Mwenyejiti”?
He is Prof cause of his critical thinking
Mzee umeonyesha ukongwe wako. Upo sahihi asilimia zote,
Apo kwa madalali 💯
Good idea
Huwa namkubali sn huyu mzeee
you talk fact my father
Nikwer kishimba
Naona mmeanza kujifunua japo kumekucha
Huyu mzee apewe ikuru
Anapiga kwenye mshono
Hi
Watoto tuko juu. Coz ndoo tunawaajili wasomi
Huu ndo ukweli
Kweri kabisa
huyu mzee ni shida,ana madini ya akili
iyo kari
Mzee una akili kubwa sana.Natamani sana siku 1 michango yako yote unayotoa bungeni uiweke kwenye kitabu
Ukovizuli
WATAJE HAO WATORO !!!
😂😂😂😂😂😂😂
😄😄😄😄
Mzee na kupenda sana uko vizuri maneno yenye njia.
Haya ndiyo yale majinga ya mwisho kwenye familia zao
Unataka kusema kishimba ni mjinga?
Jaribu kufuatilia huyo jamaa ana maisha gani@Mwalongo Mwalongo
Kama huna akil timamu huwez kuelewa kishimba🤔
huyu jamaa achananaye kabsa
Ww humjui kabisa huyu jamaa ni tajiri sana ana viwanda mpaka zambia
Huyu mzeee zinamtosha au
Mzee IQ yake iko vzr mfatilie tu kunasiku utamuelewa
😂😂😂😂😌🤝🤝
Mizee mingine haikusoma lakini inamaono
Uko vizuri
Vertical smart,intelligent.