Sheikh wangu nakuomba unitilie dua nipate kufungukiwa kimaisha. Sikuwa na juwa kabla .Naomba Mwenyezi Mungu anijalie kudumu katika kheri zake innshAllah.
Nilikuwa kwenye sku zangu nikaoga usafi , sasa nikasema wacha kesho inshalla nitafunga , sasa nilidhani bdo niko kwenye sku , ndio nkaota iyo ndoto Kua nala
Mashallah Tabarakkallah mungu akujalie ngazi za juu peponi shekh wetu shukran
Mash Allah alhamdhulilah shekhe twajifunza mengi kutoka kwako Allah akulinde na kila shari na uadui wa binadam na majini
Sheikh wangu nakuomba unitilie dua nipate kufungukiwa kimaisha. Sikuwa na juwa kabla .Naomba Mwenyezi Mungu anijalie kudumu katika kheri zake innshAllah.
Mashaallah shekh Othman hakika nimekuelewa vyema asante sana barakah Allah fiih
Allah Allah jaalia na umati Wa muhamadi wawe ni waja wakamilifu
Jazakhaallahu khayran Sheikh wangu,But kuwa na subra na fitna
Alhamndullilah rabil aalamiyn Yaa ALLAH
Shukuran jazaka Allah kheiran
Mwenyezimungu akusitiri duniani na kesho akhera na akupe mwisho mwema
Allah Allahu Akbar mola tujaalie tuwe ni miongoni MWA waja wako wema
Mashallah mashallah mungu atuafikishe inshaallah
Sijui nisemeje ila unatupa matumain yakwenda pepon allaah akulipe
Nilikuwa kwenye sku zangu nikaoga usafi , sasa nikasema wacha kesho inshalla nitafunga , sasa nilidhani bdo niko kwenye sku , ndio nkaota iyo ndoto Kua nala
Maashallah laahaula Wala quwwata illa billah
Assalam alaykm warahma tullah wabarakatu sheikh
Masha allah
🙏🙏🙏🤝Alhamdulillah Shekhe.
MashaAllah Alhamdulillah 2napata faida kubwa juu yako shekh we2 Allah akulinde nashali zawanadamu
M nimelala hivi mchana , nkaota nimekuka chakula , pka nnamalza ndpo najuwa Kua nimefunga , hiyo ndoto yamaanisha nn
Ayyat yenyewe ya dua ni yupi shekh
Sheikh si umsaidie yule mama mpakistan hatta kuinua nyumba yake
Mashaallah
Naomba uniambie maana yake , nisije Kua nimelishwa nyama ya maiti
Kna shda nyng nataka unisaidie lkn shda ni iyo no , aitaki kunionesha kma iko watsup
No yako nlijaarbu kuisave lkn hii smu yangu nkisave no ya mtu ainioneshi kma yko wtsup pka anisave yy
Mashallah
Huyu Shekhe Huwa namkubali sana
Masha Allah
Ma shall ah shekhe Mwenyez Mungu akujaalie umri mrefu inshallah!tuendelee kupata elimu.
Mashallah