#EE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ก.พ. 2024
- Habari Mpendwa *Karibu utazame na usikilize wimbo huu wa tafakari katika kipindi hiki cha Kwaresma
▫️Wimbo: *UNIUMBIE MOYO SAFI
▫️Mtunzi: Charles Rudibuka
▫️Waimbaji: Blessed Singers - Dodoma
▫️Soloist Angela
▫️ Audio & Video Blessing Studio Pro
Mawasiliano: 0655 601513 / 0759 601 513
Subscribe Share like Comment katika channel hii.
#kwayakatoliki #youtubeshorts #youtube #song
#kwayakatoliki #youtubeshorts #youtube #song #kwaresma - เพลง
Hongera nyimbo tamu zaidi bwana akuzidishie baraka zake usiku na mchana..
❤
Wimbo ni ule ule ila mmeuimba kwenye tone nzuri sana hongera
Tunashukuru sana
Nota tafadhali kazi nzuri wezangu
Whatsapp 0655601513
Nimeupenda wimbo
Wimbo mzuri hakika katika kutafakarisha
Nice❤
Thanks
Amen 🙏❤
❤❤
I'm just getting to know Blessing studio pro... You guys are doing great. Kazi zenu zinanibariki sana.. aina ya nyimbo mnazorekodi ni purely catholic style.. Mungu awabariki
Amina sana tubarikiwe sote
Organ nzuri kweli kweli❤❤
Amina
Aiseee, The Blessed Family, are really Blessed and I pray you remain Blessed! Ninabarikiwa na hii nyimbo, kazi nzuri yenye utulivu na unyenyekevu, classic! Hongereni sana, nabarikiwa kwa haki kabisa! Ameeen!
Asante sana tuendelee kubarikiwa sote
Hongereni wakuu
Asante sana mkuu
Kwa Tafakari 🙏🏽
Ahsanteni sana 🙏, wimbo ni mzuri sana ❤❤
Asante sana tunashukuru
Wimbo safiii...utunzii safii...kazii nzurii sana..hongereni
Asnate sana tunamshukuru Mungu
Nice tune❤❤❤
God is good ❤ stay blessed
Thanx so much
Mungu awabariki sana
Amina tubarikiwe sote
Hongereni sana,,wimbo mzuri nimeshaudownload hapa nabarikiwa nao
Asante sana endelea kubarikiwa kiongozi
Hongereni saaana vijana. Nawapenda
unaitwaje mbna mm siupatii
Safiii❤
Waooh so nice nimebarikiwa
Asante sana endelea kubarikiwa
Hongereni sanaa❤
ASANTE SANA
God bless you
Amen
Wimbo ni mzuri mno
Asante sana
Amazing ❤
Thanks 😄
Charles Rudibuka, tulikua wote SJUT rafiki yake makoye alinifundisha music.
Thanks for this solemn song.
Thanx so much
🎶❤❤❤🙏🙏🔥
❤
All the way from tiktok ❤❤🙏🙏🙏
Karibu ssnaa
🙏
❤❤❤
Vp
Mungu awabariki
Amina tubarikiwe sote
Pamoja mkuu@@user-nc7sl8br3d
Amina sanaa
Mazima
Kazi nzuri wapendwa wa mungu
Asante sana
🎉
😢😢😢 God bless u,, Hongereni kwa kazi nzuri
Asante sana barikiwa
Dodoma mpo sehemu gani?
Tupo Dodoma Makulu
Natamani kupata hii Kazi katika Nota zake, nitaipataje?
Hongereni wakuu
Asante sana mkuu