MAOMBI YANGU - Ben Simfukwe (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Habari Mpendwa *Karibu utazame na usikilize wimbo huu
Tafakari ya wimbo wa mwanzo jumapili yab32 ya mwaka.
▫️Wimbo: *MAOMBI YANGU
▫️Mtunzi: Ben Simfukwe
▫️Waimbaji: Blessed Singers - Dodoma
▫️ Audio & Video Blessing Studio Pro
Mawasiliano: 0655 601513 / 0759 601 513
Subscribe Share like Comment katika channel hii.
#kwayakatoliki #youtubeshorts #youtube #song
Hongereni sana kwa nyimbo hii yenye tumaini kubwa
Waooo, hii ni kubwa kulikoo🎉🎉🎉hamjawahi angusha blessed singers, sweetest melodies
Asante sana tupo pamoja
Hongereni wapendwa katika Bwana kazi nzuri sana
Asante sanaaa
Kazi nzuri Sana hongereni blessed singers Nawapenda bure❤
Very nice Wapendwa sana
Thanx
Hongera blessed singers.
Keep it up.
Asante mpendwa
Huyu aliopiga mzik kwaza nampa mauwa yake,nawaimbaji pia 🎉🎉🎉🎉🎉nasikia kubarikiwa sana
Ni wimbo mtamu sana na wa kubariki roho, naupenda sana.
Hongeren san 🎉pia Mungu azidi kuwainua kwa viwango vikubwa tuzidi kubarikiwa na ninyi
Perfect. Mnatusaidia kutafakari ukarimu wa Mungu. Hongerreni sana.
Kaz nzur❤
God bless you guys ......this is amaizing job❤
Hongereni Sana....
Asante sana
hongereni sana wapendwa wa Mungu. Niwaombee maisha ya Neema yake Mungu wetu Mungu wa huruma
Wimbo mzuri,,, naupenda sana.
Tunashukuru sana mpendwa
Aiseee am blessed hiyo kinandaa inanimalizaa....
Nimebarikiwa sana na wimbo huu, hongereni sana watu wa Mungu!
Amina
Big up! sana wanakwaya
Very nice song, Amina.
Wimbo naupenda sana huu
Hongereni kwa kazi nzuri, nahisi kububujikwa na machozi kumbukumbu nyingi hunijia nisikia wimbo huu. 🙏🙏
Maua yenu nawapenda sana
Mungu nikumbuke Mimi mja wako dunia yanilemea😭😭🙏
I play this song almost daily.. it is a blessing
Hongereni saana wanakwaya Blessing singers na blessing Studio pro
Natamani sana kujiunga na nyie plz🙏
😢 utegee
Ongela kwakazi nzuri ❤❤❤❤❤
❤❤❤❤nimeipenda
hongerrni sn penda sana hii nyimboo
Amen
Aminaaa
Hongereni sana 🎉
Asante sana sana
Wow! Nimeipenda sana. Hongereni
Naupenda sana huu Wimbo mbarikiwe
hongereni sana aise sana , na Mungu azidi kutukuzwa daima , hv mpo wapi kwa hapo Tanzania
Dodoma
🎉🎉mpewe maua yenu🎉🎉
Hakika mpo vzr! Hongern xna
Safii sana❤
🔥🔥🔥🔥
♨️♨️♨️♨️
🙏🙌🤲
😋😋
🎉🫡
Mwenye copy
Ipo swahilimusicnotes
🙏🏽🙏🏽🙏🏽