Wewe Jesca jifunze kuwa mwandishi mwÃĻlewa, aliyesomea fani yake. Unahoji swala la kumtanguliza Mungu kana kwamba Yanga wao hawakuwahi kuhitaji msaada wa Mungu ! Sio jambo la ajabu kumtanguliza Mungu. Huyo shabiki uchwara aliyetamka habari ya Yanga iletewe kucheza Ãąa malaika, kwanza naamini ni kijana mdogo asiye na ufahamu wowote na bila shaka alijilewea energy na gongo za madukani. Na wala wanayanga hawaungi mkono upuuzi wake, na Mungu atusamehe na laana yoyote itokanayo na kauli mfu ile imwendee yeye aliyeitoa na wala si yanga au wanayanga wakweli.
Unasema wamemgeukia mungu hivi nyie ni wehu kweli hivi lini wana yanga na viongozi wetu waliacha kumtanguliza mungu hivi hamuoni sadaka zetu dua zetu umoja wetu yaani mumedorora kwa kweli
Hilo la jisaidie nikusaidie haliko kwenye biblia. Labda qurani sijui. Tunatakiwa kimtegemea Mungu kwa kila jambo. Mtegemee Mungu halafu ufanye kazi Mungu abariki kazi ya mikono yako.
Nyie si mlimzihaki mungu mkasema hmna timu ya kuwasumbua labda mmcheze na malaika?mmezoea uchawi na sindano za gsm katubuni kanisani na msikitini mlimkufuru mungu sn ali kamwe ajitasmini na wazee waliowazarau hs wa simba
Kwani ww Jesca mbona unaona ajabu kumtegemea Mungu kuna mahala uingozi ulitoka hadharani kumkana Mungu. Ebu zungumza kibusara zaidi tusifanye ushabiki kwenye mambo ya Mwenyezi Mungu na msidhani Mungu anaweza kuiadhibu Yanga au Jamii yyt kawa upuuzi wa mtu mmoja, Mwenyezi Mungu hayupo hivyo.
Wasimchanganye Mungu aiseee, hawa si walimuomba Mungu awashushie malaika wacheze nao sasa wanataka Mungu awafanyie lipi na aache lipi. Bado Mungu hajamaliza kushusha malaika, mpaka mkiri na mmuombe msamaha ndio atawapa mengine lakini bila msamaha mtaendelea kuchezea kichapo mwanzo mwisho.
Dada siku nyingine usihusishe ushenzi na NENO la Mungu,,,halafu hayo maandiko kujisaidia na kusaidiwa hayapo kwenye Biblia na Quraan labda vitabu vya kichawið
Yn ilikua sina plan ata za kusoma comment lkn kila nikiskiliza uyu dada leo sijui ana nini mbona anaongea vbaya ivi kama vile alikua na hasira na yanga.....mbona siku zote rais ata msemaji akiongea lazma aseme inshallah asema alhamdulillah...jadilini vitu vya maana bhnaa
Yaan nyie wachambuzi ndo hamjui kabisa kila alipokuwa anahojiwa Ally Kamwe huwa anaanza kumshukuru Mungu,acheni kubadilirisha maneno na kulisha watu matanga pori
Huyo dada leo kayatimba katika maandiko ya vitsbu vya mungu, wewe mdada mwogope mungu. Kwani hujawahi kuona yanga ikitoa sadaka kwa watu wenye mahitaji? Kweli uandshii umevamiwa, ni mhimu muwe mnaenda kufanya refresh course.
Walipo yatoa hayo maneno club haikuwaonya. Vilevile tff imewaonya mara nyingi na kuwaadhibu Kwa mambo ya kishirikina mbona Sasa wanamtafuta mungu?. Waendelee tu kuroga itajulikana mwishoni

Hakuna habari ya jisaidie nikusaidie katika bibilia, hayo ni maneno ya wanadamu sio Mungu
Unasema wamemgeukia mungu hivi nyie ni wehu kweli hivi lini wana yanga na viongozi wetu waliacha kumtanguliza mungu hivi hamuoni sadaka zetu dua zetu umoja wetu yaani mumedorora kwa kweli
Mashabiki mliomba Mungu awaletee malaika mcheze nao, leo unajitoa ufahamu pumbavu mkubwa.
Hilo la jisaidie nikusaidie haliko kwenye biblia. Labda qurani sijui. Tunatakiwa kimtegemea Mungu kwa kila jambo. Mtegemee Mungu halafu ufanye kazi Mungu abariki kazi ya mikono yako.
Kweli kabisa, jisaidie nami nikusaidie haipo kwenye biblia
Nyie si mlimzihaki mungu mkasema hmna timu ya kuwasumbua labda mmcheze na malaika?mmezoea uchawi na sindano za gsm katubuni kanisani na msikitini mlimkufuru mungu sn ali kamwe ajitasmini na wazee waliowazarau hs wa simba
Dada hakuna mahali imeandikwa kwenye vitabu vya Mungu inayosema jisaidie nikusaidie ni uongo mkubwa sana
Jisaidie nami nikusaidie haipo kwenye biblia, labda vitabu vingine lakini siyo biblia takatifu , dada umekosea , uthibitishe kwa aya(andiko)
Kwani ww Jesca mbona unaona ajabu kumtegemea Mungu kuna mahala uingozi ulitoka hadharani kumkana Mungu. Ebu zungumza kibusara zaidi tusifanye ushabiki kwenye mambo ya Mwenyezi Mungu na msidhani Mungu anaweza kuiadhibu Yanga au Jamii yyt kawa upuuzi wa mtu mmoja, Mwenyezi Mungu hayupo hivyo.
uongo mkubwa sana
Wasimchanganye Mungu aiseee, hawa si walimuomba Mungu awashushie malaika wacheze nao sasa wanataka Mungu awafanyie lipi na aache lipi. Bado Mungu hajamaliza kushusha malaika, mpaka mkiri na mmuombe msamaha ndio atawapa mengine lakini bila msamaha mtaendelea kuchezea kichapo mwanzo mwisho.
Sajili mbovu zinafanyika
Dada siku nyingine usihusishe ushenzi na NENO la Mungu,,,halafu hayo maandiko kujisaidia na kusaidiwa hayapo kwenye Biblia na Quraan labda vitabu vya kichawið
Hakuna andiko linalosema jisaidie nami ntakusaidia hayo ni maneno ya mtaani
Unatafuta trending kupitia Yanga, utapaishwa tu mama!!! Endelea tuendelee kukuchamba ili upate umaarufuðŪðŪðŪ
MTANGAZAJI NAOMBA UTUAMBIE ILO ANDIKO LIPO KWENYE KITABU GANI. HACHA KUPOTOSHA NENO MUNGU
Yani kuna baadhi ya waandishi wapuuzi mno... KHAA taka taka hizi zinapata wapi airtime... Shame eti unajadili suala la kutanguliza Mungu
Nyiee kwani watu Gani hamjui maana ya alhamdulilah maana yake na shukuru mungu hakuna tofauti acheni ubwikini na umbra wenu wakuibeba simba
Binti hakuna popote katika maandiko matakatiu palipoandikwa 'JISAIDIE ILI NIKUSAIDIE
Hiyo ndo mechi ya yanga kutolewa rasmi kwenye mashindano hayo, mjetujipange na NBC tu
Yn ilikua sina plan ata za kusoma comment lkn kila nikiskiliza uyu dada leo sijui ana nini mbona anaongea vbaya ivi kama vile alikua na hasira na yanga.....mbona siku zote rais ata msemaji akiongea lazma aseme inshallah asema alhamdulillah...jadilini vitu vya maana bhnaa
Sadaka walizokuwa wanatoa kwa wanaohitaji ni tosha kumkumbuka Mungu! Nina amini kuna kitu cha hovyo kinaendelea hapo yanga
Supu ile wanakunywa wao yanga timu nyingine zinazozaminiwa hazinywi supu hapo ni ujue si supu ni kafara leo kiko wapi
Yaan nyie wachambuzi ndo hamjui kabisa kila alipokuwa anahojiwa Ally Kamwe huwa anaanza kumshukuru Mungu,acheni kubadilirisha maneno na kulisha watu matanga pori
Malaika ndo wameshuka sasaðð,kuna wkt furaha ikizidi inafika hadi wkt tunakufuru sabbu ya furaha tyu mambo mengne mda mwingne yananogesha lkn wkt mwingne tunasosea sna kuwaitaji malaika inamaana timu zimeisha Dunian hadi inafka wkt tunakufuru kwa kuwataja malaika kwenye vipengele ambavyo havihusian
Kutoka kuuomba mraika Hadi kumuomba awasaidie
Leo ndio wanamjua mungu yanga ndio maan mnafungwa coz mnjaiona kuwa uchawi ndio kinga na bado kesho fanyen mnavyofanya na bdo mtafungwa
Yaan walikuwa wachawi ndio maan yenu
Sijawahi sikiliza mtangazaji wa hovyo kama nyie, yaani Viongozi wa Yanga leo ndio unawasikia wanamtaja mungu!! Basi utakuwa mwehu!!
We dada uko Sawa... hii ya kumtanguliza Mungu au kumshirikisha Mungu Yanga wameanza leo???!!! Mmekosa topic???
Huyo dada leo kayatimba katika maandiko ya vitsbu vya mungu, wewe mdada mwogope mungu. Kwani hujawahi kuona yanga ikitoa sadaka kwa watu wenye mahitaji? Kweli uandshii umevamiwa, ni mhimu muwe mnaenda kufanya refresh course.
daaa waandishi mnaongea vitu pumba sana kanakwamba yanga wao sababu ya kufungwa ilikua ni kutokumuomba mungu jesca badilika please
Kwani yanga hawajawa kutoa misada kwa mahatma maopilini au mmekaiili walipokoseatu
Huyu amayehoji nafikiri ni shabiki na sio mwandishi.
Mnafiki huyu dada...sina haja ya kumsikiliza tena huyu... hajitambui....
Hivi kwanini mnapenda kutukana nyie ndio mnasema Mungu awasaidie minaona hamna heshima kama vp mfungwe Ili muache kutukana mnaboa
wameamua kumgeukia mungu, kwani zamani walikua hawamjui mungu?. wewe mtangazaji jifunze kutafadhi maneno.
Jisaidie nikusaidie haipo kwenye biblia labda vitabu vingine
Kwanii unapowalazimisha wenzio maana yake nini? Au hii channel ni ya kwako nini? maana unakuwa mkali na kukosoa wenzio kwa kisirani sana.
Huyu kama amekalia mboo maneno mabaya ya mshabiki unayahusisha vp na klabu?
Tuliza presha wewððð