Mimi imani yangu inanituma kesho tutapata ushindi tunaomba Mwenyezi Mungu utusimamie kwenye hili tuweze kupata ushindi tumechekwa sana baba tunaomba utusaidie bila wewe atuwezi baba amina
Please 🙏 please 🙏 please bring it on all players please 🙏 bring it on for all off us 🙏 Thank you very much our coach 🙏 thank you our bench technician A😅and our great team Players and us the supporters please bring it on Thank you very much or thank you so much 🙏 God bless our GIANT TEAM Ameeen Ameeen Ameeen
Hili vaibu la mazoezin msiwe mna lisahau mazoezin tu Muwe mnaenda nalo na kwenye mech kabisa😂😂😂 Naipenda yanga🔰🔰🔰🔰🔰🔰
Mungu ibariki Yanga yetu ipate ushindi zidi ya Tp mazembe
Mimi imani yangu inanituma kesho tutapata ushindi tunaomba Mwenyezi Mungu utusimamie kwenye hili tuweze kupata ushindi tumechekwa sana baba tunaomba utusaidie bila wewe atuwezi baba amina
Kila la kheri inshaallah nawatakia ushindi mnono mchezo wa kesho inshaallah
Nakuomba M/Mungu wanusuru na mabalaa wachezaji wetu na wape nguvu ufaham na umoja kwenye utendaji was Inshaallah
Daima mbele nyuma mwiko mungu Nimwema tutashinda kwajina la yesu.
Azizik vizuli umeweka blichii unakuaaga mkali sana
Wa kwanza leo😊
Kesho Inshallah 🙏 Ushindi Kwetu Wananch 💚💛🔰🇹🇿⚽
Please 🙏 please 🙏 please bring it on all players please 🙏 bring it on for all off us 🙏 Thank you very much our coach 🙏 thank you our bench technician A😅and our great team Players and us the supporters please bring it on Thank you very much or thank you so much 🙏 God bless our GIANT TEAM Ameeen Ameeen Ameeen
Mungu yuko nasi siku zote na kesho tutapata ushindi Mungu ni wetu sote kuna siku mbaya kazini na kuna siku nzuri kesho ni nzuri
Mungu ajalie mufungw aaaaamin
Mungu ni mwema. ..Kila la heri, Wananchi!!
All the best yanga
Young African 🔰🔰🔰
Inshallah my team 🙏 🙌 ❤️ 😊
In Sha Allah
God shame the devil Let YANGA do it brilliantly ❤❤❤❤❤ incredibly ❤❤❤
❤❤
YANGA AFRICA🎉
Ndo matkeo ya kesho 1-2
Ikawe kheri Kwetu kesho, Mungu tukumbuke na ikiwa Baba kuna namna hatukuenenda na Mapenzi yako Tusamehe, tumeyachoka matokeo hasi kwetu
Amiiin
Hap Aziz kiiii atakiwash moto Mn mm nasem abaki t na bleach hiyo hiyo ya professa pacome
💚💛💚💛💚💛🇹🇿🇹🇿🙌
Eee MUNGU tunaomba uwalinde wachezaji wetu uwaepushe na majeraha wakacheze vizuri tupate ushindi wa points 3muhimu 🙏
mungu ibalik yanga ibaliki tz
Kesho uxhindi lazima
No Comment about yanga Africa 😡😡😡😡
Oyah ee afe beki afe kipa ushindi ni lazima kazaneni wanangu tunaweza
Kesho tuvae jezi za NJANO jamani
Naunga mkono.
Tupaisheni wachezajii wetuu😢
jamn tunahitaji furaha kesho
Jamani kina mkude wapewe nafasi nao
Kwa mazoezi haya shisha zitawatoka tuu
1-2
Ibarik
Wanakamilisha ratiba tu walishatolewa tangu mechi ya kwanza
Hakuna jipya
Tutakufa nayo
Je pense qwe vs êtez pres pour domain inshallah
😂😂😂
Kila nikijaribu kujipa moyo kuna nafc inasema utajipa vidonda vya tumbo msimu huu furaha hakuna ni huzuni cjui kimetukuta nn
😂😂😂hebu tulia bwanaaa😂😂
Kama wapo serious vile subiri kesho uone😅
InshaAllah kesho twashinda
@halimasawa611 ikawe heri
Sioni kama Kuna jipya tusubiri TU kumfukuza Kocha,wamefeli viongozi wanaoendelea kusajiliwa wachezaji wa Simba wa mafungu waliofeli.
sawa
Kafie mbele
Katombwe kule huwez kuwa shabiki wa Yanga,ww ni kolozidadi
Tunakujua we ni kolo utusumbui
KOLO mpuuzi ww, unaumia kuona Vijana wako fit