MWENYEKITI UVCCM ASIMIKWA KUWA CHIFU, KILIMANJARO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • NA WILLIUM PAUL, MOSHI.
    MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Moshi vijijini mkoani #Kilimanjaro, Yuvenal Shirima amesimikwa kuwa Chifu wa kabila la Wamasai (Laigwanani) .
    Zoezi la kusimikwa kwa kiongozi huyo lilifanyika jana katika kijiji cha Mawala kata ya Kane magharibi wilayani #Moshi ambapo hatua hiyo imekuja baada ya kiongozi huyo kuwa mstari wa mbele kuwapambania vijana.

ความคิดเห็น •