Mwalimu natamani kufahamu zaidi kuhusu kupewa majina kwa ajili ya matukio. Katika Biblia wake wa Yakobo waliwapatia watoto wao majina kutokana na hali walizopitia Mwanzo 29:32, Mwanzo 30:22-24. Na watoto wa vijakazi wao na Mungu kupitia Baba yao Yakobo aliwabariki watoto wake 12 na yakawa makabila 12 ya Israel Mwanzo 49:3-27. Mwalimu katika hili naomba kuuliza jina la mtoto anayetakiwa kutoa ni mama au baba?
Amen,naomba ombea jina langu Hosiana
Amen Amen mtumishi wa Mungu asante mnoo na Mungu akubariki sana.
Jina langu limeandikwa upya na Yesu 2024 tunazidi kubarikiwa mnoo jamanii mafunuo haya Mbarikiwe sanaa Nguvu ya maombi
Jina langu Aivan limeandikwa Upya 2024 Amen 🙏🙏
Amen Amen Amen
Majina ya watoto wangu yameandikwa kwa Upya Amen
Jina langu, na majina ya watoto wangu, yameandikwa upya na kutakaswa kwa Jina la YESU🙏🏻
Asante Mpakwa mafuta wa Bwana asante kwa mafunuo haya makubwa Mungu wa mbinguni akubariķi sana
Jina langu limeandikwa upya na Mungu mwenyewe
Asante Mungu
Jina langu Chrisina limeandikwa upya