Teacher mm nimekwama apo kwenye kubadilisha rangi icons izo naona nikiingiza icons za phone na website inafungua layer nyengine haikai umo kwenye layer nilofungua mwanzo msaada plz
Usi open, bali place embedded. Uki open inafunguka file yake mbali lakini uki place embedded inaingia katika hiyo file unayoifanyia kazi. Nenda kwenye: File -> Place embedded Baada ya kuiingiza fuata maelekezo kama yanavyoeleza kwenye video.
Nimeweza kutenga muda wangu na kupokea mafunzo haya mwanzo mwisho.
Nikushukuru sana mwalimu kwa kusomesha kwa ustadi wa hali ya juu.
heko!
asante sana, endelea kufuatilia channel yetu utajifunza mengi.
Teacher mm nimekwama apo kwenye kubadilisha rangi icons izo naona nikiingiza icons za phone na website inafungua layer nyengine haikai umo kwenye layer nilofungua mwanzo msaada plz
Usi open, bali place embedded.
Uki open inafunguka file yake mbali lakini uki place embedded inaingia katika hiyo file unayoifanyia kazi.
Nenda kwenye: File -> Place embedded
Baada ya kuiingiza fuata maelekezo kama yanavyoeleza kwenye video.