We jichanganye ugombee tena alafu upite haki ya Mungu nakuapia uchazi mwaka 2025 chadema hamtopata kura hata 100 hazifiki. Ww umeshamaliza muda wako wape wengine usinganganie madalak ww changamoto nyingine inahitajika na huu ndio muda muhafaka.
Ww mjinga kweli kwani Nyerere alikaa miaka mingapi?kwani lipumba amekaa miaka mingapi?vyama vyote barani Afrika na duniani kote wenyeviti wake hukaa muda mrefu.
Mwenyekiti Mbowe muda wa kuiweka kweli na heshima ndani ya CDM ndio hii ya kubadilishana uongozi. Hao wako nyuma yako ukiitisha maandamanonwqo hawatokei matokeo yake umekuwa wa kuumizwa kila kukicha. Pumzika mkabidhi Lissu kijiti achangamshe zaidi. Njoo ugombee Nafasi ya juu ya nchi hii tutakupatia chapuo..
Chadema tunamtaka lissu lissu lissu awe mwenyekiti wa chama .
Upumzike sasa
Chama kimesha pasuka vipande 1000 imekwisha hiyo 😂😂😂
UKIGOMBEA TENA CHADEMA INAENDA KUFA KAMA NNCCR MAGEUZI, CUF, TLP NA UNABII WA NYERERE KUTIMIA KUWA UPINZANI WA KWELI UTATOKA CCM
Mbowe usitukane watu eti ni ushamba mwenyekiti miaka 20 muda unatosha wape nafasi watu wengine hiyo ndio demokrasia na kukua kwa chama chenu
We jichanganye ugombee tena alafu upite haki ya Mungu nakuapia uchazi mwaka 2025 chadema hamtopata kura hata 100 hazifiki. Ww umeshamaliza muda wako wape wengine usinganganie madalak ww changamoto nyingine inahitajika na huu ndio muda muhafaka.
Kabisa Yaani,
Hadhira haimuungi mkono
Pumzika mzee ,unajidhalilisha tu hauna jipya Tena tamaa ya madaraka itakusaidia Nini,umeshachoka na inatosha
Eti chama cha maendeleo na democratia? Harafu mwenye kiti anaka mwaka 20 na 😂😂😂 hatari sana
Kukijenga chama anaweza Sasa kupumzika
Ww mjinga kweli kwani Nyerere alikaa miaka mingapi?kwani lipumba amekaa miaka mingapi?vyama vyote barani Afrika na duniani kote wenyeviti wake hukaa muda mrefu.
Usigombee tena wewe nani bro
Mkimpa lisu mmeumia chiziyule
Sio chizi nae ana haki ya kugombea na yuko vizuri sana.
Pumzika tapeli wewe
Mwenyekiti Mbowe muda wa kuiweka kweli na heshima ndani ya CDM ndio hii ya kubadilishana uongozi.
Hao wako nyuma yako ukiitisha maandamanonwqo hawatokei matokeo yake umekuwa wa kuumizwa kila kukicha.
Pumzika mkabidhi Lissu kijiti achangamshe zaidi.
Njoo ugombee Nafasi ya juu ya nchi hii tutakupatia chapuo..
Acha utoto wewe mzee
Aachie ili iweje