"Mawazo" Sehemu Ya 22 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2023

ความคิดเห็น • 14

  • @jamesmwangi9461
    @jamesmwangi9461 ปีที่แล้ว +3

    mwalimu mungu akubariki kwa kazi zuri unayofayaja

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw ปีที่แล้ว +4

    Tuwe na mitazamo ya kimalkia na kifalme. Ni mitazamo ya kuendeleza mambo. Ni hali ya kupokezana vijiti mkono kwa mkono urithi wa hali. Wazazi tulee wanetu ili wamudu na kuendeleza maisha.watoto waone u bora wa maisha ya watu ni majukumu yanayowahusu. Asante Chomoza pongezi Dr Elly kwa somo hili. Nimejifunza.

  • @ebonybhoke5321
    @ebonybhoke5321 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana Dr Ellie

  • @user-nw9ny2il8n
    @user-nw9ny2il8n ปีที่แล้ว +1

    Mi mwenzio nimeomba we waniunganishe nimepanda hadi maua wameninyima kunipa baba angu😂😂GOD BLESS TEAM CHOMOZA

  • @tegemeawilliammsewa1950
    @tegemeawilliammsewa1950 ปีที่แล้ว +1

    Good, good,father🙌🤝👏

  • @paschalmajunei6669
    @paschalmajunei6669 ปีที่แล้ว +1

    Ninabarikiwa sana.

  • @KoudraAbdoul
    @KoudraAbdoul ปีที่แล้ว +1

    From Burundi 🇧🇮 doctor nakukubali mno.

  • @misifaskills745
    @misifaskills745 ปีที่แล้ว +2

    Tuambie ukweli ili tupone maana wengi wetu tumepoteza misingi aisee.

  • @tegemeamsewa2559
    @tegemeamsewa2559 ปีที่แล้ว +2

    Baba asiye na upendeleo.

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 ปีที่แล้ว +3

    Joyce Laizer unajiunga mwenyewe kupitiaTH-cam.Andika Dr Elie Chomoza utapata masomo yake yote kuanzia mwanzo.Kwako ww ni kujaza BANDO LAKO ktk sim yako.Kama unatumia TV, ni lazima ujue kipindi chake kinaanza saa ngapi.Faida ya sim yako ni kwamba unaangalia wakati wow ote ule.Kila la kheri

  • @jerrydenis7165
    @jerrydenis7165 ปีที่แล้ว +1

    ndugu sam somo la historia kwa mapana yake jamani tunaliitaji mwambie doctor

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 ปีที่แล้ว +1

    Naomba mniunganishe na Dr Elly, please, please

    • @agnesspetro6695
      @agnesspetro6695 ปีที่แล้ว +1

      Fatilia Kila kipindi chake, hutokuwa na haja ya kukutana nae, Amna kitu ajajibu, na anaendelea kujibu

    • @nancykagera9197
      @nancykagera9197 ปีที่แล้ว +1

      @@agnesspetro6695 Haja ya kukutana nae IPO maana unakuta MTU kuna masomo ambayo wewe unataka mfano kufundishwa BIBLE na sio elimu ya maisha.