Watumishi mbarikiwe sana nyamasovu sda kigoma Mnatubariki namuona baba pude na mama bhizi mnapambana ukiwa Kwa Yesu hakuna kuzeeka Wimbo mzuri una ujumbe sana
Nimefurahia kusikia kilio cha mgonjwa birikani...mungu awabari kwa huduma yenu, naitwa Mwalimu Gilbert KIVAWIRA kutoka Goma drc katika kwaya Nouvelle jerusalem ya kanisa la HIMBI. Safari nyingine munapoimba KISA inabidi kuigiza hiyo historia, Pia kumbukeni viziwi wanayo haki yakusikia ujumbe wenu, Audio pia fundi alitakiwa kuiongezea Martering ya juu kuliko hapo... Kwa yote kazi iko vizuri, musichoke
Jamani mlipotea mnooo!!!tatizo ni ufadhili au Nini?tangu Jina jema Hadi Leo?barikiweni mmerudi Tena.Mungu awatangulie.leteni injili Sasa.Renatus.....mzee wa kanisa Mwanza.........SDA.
Naona Wazee wng akina Elisha,Godson na Mwl bado Makanda wa Yesu mnapambana
Watumishi mbarikiwe sana nyamasovu sda kigoma
Mnatubariki namuona baba pude na mama bhizi mnapambana ukiwa Kwa Yesu hakuna kuzeeka
Wimbo mzuri una ujumbe sana
Hongereni sna krbn tena Sunuka Watumishi
Nimefurahia kusikia kilio cha mgonjwa birikani...mungu awabari kwa huduma yenu, naitwa Mwalimu Gilbert KIVAWIRA kutoka Goma drc katika kwaya Nouvelle jerusalem ya kanisa la HIMBI.
Safari nyingine munapoimba KISA inabidi kuigiza hiyo historia,
Pia kumbukeni viziwi wanayo haki yakusikia ujumbe wenu,
Audio pia fundi alitakiwa kuiongezea Martering ya juu kuliko hapo...
Kwa yote kazi iko vizuri, musichoke
Barikiwa sana mtumishi
Mungu awabari sana, hakika ni ujumbe mzuri unaogusa na kuponya kwa imani
Mbarikiwe Sana wa tumishi hongeren kwa kurudi Tena,muuludie na wimbo was heri jina jema
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 nicee xong God blessed nyamasovu choir
❤ MBARIKIWE SANA.
Uakika mungu awabalik watumishi wamungu
Mbarikiwe watumishi wa Bwana
Nyimbo nzuri mufike mbali
Nyimbo nzuri sana mbarikiwe sana
Jamani mlipotea mnooo!!!tatizo ni ufadhili au Nini?tangu Jina jema Hadi Leo?barikiweni mmerudi Tena.Mungu awatangulie.leteni injili Sasa.Renatus.....mzee wa kanisa Mwanza.........SDA.
UKITATKA WAIMBAJI NENDA NYAMASOVU HONGEREN SANA
Barikiweni Sana
Mbarikiwe sana
❤❤
My lovely choir
Gavana
Nyakemo
Asante, barikiweni
Mbarikiwe sana