Huu mwaka umeamua kweli u don't concentrate on negatives,,,kumwagika Kwa mafuta na unaendelea TU as if nothing happens😅then kukonfuse chai na mafuta,ukaskuma kikombe Kando na kuendelea as if nothing happened,,,,this year,nothing will stop you from achieving your goals🎉🎉❤
Eeeeiiiyy our Queen finally after kushinda nikizurura kila mahali kama ng'ombe ya maasai atleast umepost...karibu stress inishike but ayam happieee❤❤❤❤❤
Aky cjaipewa likes my team😢😢
Kama ulimiss bebii Leo weka likes
I have really searched her😢
@@RuthMasai-m9gsame here aki nimemmis
Leo nimekuwa wakwanza ❤❤❤❤❤❤nipe likes ❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Pia Mimi munipee likes ata kama ni kumi ,,,siezi lala bila kuwatch video za bebii sending lots of love bebii❤❤❤Mungu mbele siku zote🙏🙏
Amina Amina Amina.
Who always start smiling while watching bebi wa bebi🎉❤
Huyu ni bebi, bebi wa bebi ni shemeji😅
@@lyndahlynne4617😂😂😂 the confusion of the names is really
Hapa tulisema hata ukikohoa tuko huku tukupe fully support mummie❤❤❤❤❤
Yani ata akitingisha tu muguu bila kuongea tuko hapo
True.
We here to stay
Hapo umenena😂❤❤❤❤
Aki team babe❤❤❤❤watu 50k wanipitie leo tu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
Done dear, unipitie tugrow pamoja❤❤❤
Nimechewa but pia mimi nataka likes guys nawapenda ❤❤❤❤❤
Leo nilikuwa najiuliza yuko wapi huyu mrembo wetu❤❤❤Wacha Sasa tuone chapati ya kavagara❤❤❤
Na ziko poa sana chair lady Vicky. Hii
Vicky kwani Bebii ni lefty ?
@@hellenoponyo2415 yes ndio maana ni mwerevu♥️
@@hellyzaq7383 ♥️♥️♥️♥️
Vicky hii.
GUYS 177 VEWS LIKE THE VIDEO PLIS DONT JUMP TEAM BEBII WE LOVE YOU ALL❤❤❤❤ AND REMEMBER TO SUBSCIBE THE VIDEO❤❤❤❤❤❤❤
Appetite comes with peace of mind....hii mwaka nayo lazima kunona you are loved n blessed❤❤❤
Huu mwaka umeamua kweli u don't concentrate on negatives,,,kumwagika Kwa mafuta na unaendelea TU as if nothing happens😅then kukonfuse chai na mafuta,ukaskuma kikombe Kando na kuendelea as if nothing happened,,,,this year,nothing will stop you from achieving your goals🎉🎉❤
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 bebii
Hey guys welcome back to dem wafb youtube channel na wapenda sana don't skip ads ❤❤❤❤
Bebiì umejaribu kupija chapo looks nice 👌. Watching from Doha Qatar 🇶🇦 🇰🇪 ❤❤
We glory to God nmekipata na nmepona yaani vile nmezunguka kutafuta our queen waja to much love bebii❤❤❤❤❤❤❤
She is left-handed❤❤❤. Now I know why she is creative.🎉🎉🎉
And bright
Aki bebiii utakuja niuwa na kicheko walai😂😂😂😂😂😂chai kwa chapo😅😅😅
Mafuta imemuagika chai ikageuka mafuta sasa nimecheka hadi kichwa ikapoa, wah hata simezi dawa😂😂😂😂❤❤❤
Si mnipitie haki. Tukingojea chapo ,,mzinipite wapendwa wa bebbi😊😊😊❤❤❤
Umepotelea wapi leo,tume ku miss❤❤❤
Babe nimekumiss nimezunguka kila corner nikikutafuta,, haki i really love you queen❤❤❤❤❤mungu aendelee kukulinda 🙏🙏🙏🙏💞💞💞🇦🇪🇦🇪
Nipie dear
❤❤❤❤
Imagine ww ndi really fan wa bebi❤❤
@@DolphinIminzai can't even explain the love i have for this girl❤❤❤❤
@@DolphinIminza pia wewe dear ni vile umechange profile
😅😅😅😅 umekunja na duve ingine 😂😂😂 much love baby girl 🥰🥰❤️❤️❤️ hinzo machapoo nziko 👌👌🔥🔥🔥🔥
Love bebii mungu akusimamiy
Tunakupenda Bure ,more blessings
penda wewe bure my girl❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tulikumiss bebii finally your here aki don skip ads nipeeni likes
Are you left -handed like me, been watching you and i think you are. That's why you are blessed. Leo unampelekea Chapo,' my Man my Man'❤❤
Umepotea sana bebii tulikuwa tumekumiss❤❤❤🎉
C unibuyie na mm unga ak beb i love you anyway congratulations ata mm sipendi kupika but kukula n lazima
Kamama kupee wewe ni mnoma hivi waaaaa hongera kwako🌹🌹🌹🌹🌹❤❤❤❤❤
BLESSINGS SISSY ❤
Siku yangu imefungwa poa now i can sleep well ❤❤
Enyewe l had missed you karembo,kukutafta nayo ❤❤
Bebii uzito wa hiyo chapati tu niyakukula moja tu mbili hee, napenda hiyo size sio karatasi chapati❤❤❤❤❤
Wa kwaza leo team kupitiana nipitieni...naelekea 5k 💕💕💕💕
Leo tumekumiss tu sana,next time tumia maziwa na Majin,thank me later.keep shinning my gal.❤❤
Bebii usikuwe unatuweka Ivo yawa tumezoea kukuona Kila saa 😂❤❤
Jameni ndo tumajuwa ako salama asipo our minds start overthinking 😂😂
Aki utaniua wewe bebii 🤣🤣🤣❤️❤️❤️❤️ mukhana wefwe
Usingizi ipewe heshima yake ati bebii huu nyamaza😂😂😂❤
Mm nakula kwa macho love you baby girl
Eeeeiiiyy our Queen finally after kushinda nikizurura kila mahali kama ng'ombe ya maasai atleast umepost...karibu stress inishike but ayam happieee❤❤❤❤❤
Same here 😂😂😂😂😂
Nipitie dear
Hata nashanga mbona nampenda hivi .
My love for this girl is on another level❤❤❤❤❤
Done@@AnnastaciaSyombua-p2h
Ghai siezi kua wa kwanza 💃💃😂🤭🤭🤭❤️❤️❤️❤️
Umejaribu.... next round utakuwa pro❤❤❤❤
Uko sawa bebii❤❤❤
😂😂😂😂,naona naona naona vile umeweka chai kwa chapo😂😂😂
Kumbe umeona😅😅
Waingo sion vizuri please toa basin nijifunze kupika chapati lain kama ❤❤❤yako😂😂😂😂😂
Nilichelewa but finally am here bebii kunichekesha huu mwaka nao umeamua nivunjike mbavu ety ulipigq nyash chini 😂😂😂😂😂
Watching from eastleigh nakupenda kichekesho.
🎉🎉well done
Keep going higher and higher baby girl 💓💓💓💓 team bebiii weka like tukisonga kindly 🙏🙏
Hata ukiweka chai kwa chapo ni sawa tu😂😂😂😂😂
Bebii nimecheka vile ulikua unataka unaweka chai Kwa pan 😂😂😂
Ata me niliona 😂😂😂
Alafu Kuna mm hapa 🤣🤣🤣🤣🤣 sijui kupika chapati imagine much love 💕💕💕💕💕
Tupitiane huku ❤❤❤
New favourite romper unlocked....nmemiss hiyo ya grey inakaa dolly😅
😂😂😂acha kumkumbusha aende kutafuta,hyo aliacha ushago
Hiyo navile alikuwa amekemewa nayo🤣🤣hiyo alivaa sana Wacha ipumue😅
@@irenendunge7140 Btw, pia mimi ilifika place ikaniboo but sahi I miss it😁
@@markem254 Na vile alikua anaipenda😂😂😂
❤️❤️❤️ our sweeeeeeerieeeeeeeeeeeeee❤❤❤
Niko late Leo lakini nimefika ❤❤❤❤
Mimi ni fun wako nibaiye unga ❤ kwanza huwa nakemea mapepo zinakuchokoza online
Pilau masala was just chilling😂😂😂
😂😂😂😂😂 ak bebii surly
Bebii imagine unaweka chai kwa chapati na hauongei sindio😂😂😂😂😂😂😂, much love 💕💕💕💕💕 pitieni na likes hata kama nmechelewa
😂😂😂😂this gal❤😊
thot ni mimi pekeangu nimeona😂😂😂
Aki bebii😂😂😂
Hahahaha I swear hiyo part ya kuweka chai kwa chapati imenimaliza weeeeh😂😂😂😂
Much love baby gal ❤❤❤❤
Good job bebii wa bebii ❤❤
loveee❤❤❤
Mimi ndio napatana na hii sahii, much love
Ahk c nilikua nimekumiss gal ❤ much love 😘
I always love your content coz its alway unique hakuna kucopy😅😅❤❤
good work keep it up
😂😂😂😂 haki umeweka chai kwa capati
Good keep going and God protect you against your enemies
Ndio nimeona chai😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimeisha aky na vile nko na msiba😂😂😂😂
Weee chai kwa chapati bebii yawa😂😂😂😂
❤ sikuizi na mm sichelewi
Bebi, you're the best in everything.
Keep going bebii tulisema.post ata ukicheka tutalike to tushare❤❤❤
Nice one ❤
Bebiiiì...❤❤❤❤❤
Aki nmeshinda bila smu nmecheka bebii utakuja kuniuwa na kicheko umeka chai kwa chapo 😂😂😂😂😂na ukasituka❤❤❤❤❤nmecheka sna aki
You have made my night 😂😂😂😂chai umekuwa mafuta
😂😂😂😂😂😂😂😂nimeisha
😂😂😂😂chai kijiko moja.
Uliona pia 😂😂😂😂😂na akatetemeka 😂😂😂
Usidhani hatujaona hiyo part ya chai na ukashtuka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wee bebi 😂chai one spoon
Nimekua na sema kimoyo moyo chuga mafuta ona Sasa bebii 😂😂 pole mama
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂❤❤
Sending love ❤🥰
Much love ❤❤❤❤❤❤
Bebi I love the steps 😂❤❤❤,,,you have killed it 😂😂😂😂😂😂 anyways umeiva kwa kupika chapo 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
aki bebii utaniuwa na kicheko 😂😂 mafuta kumwagika chai kugeuka mafuta na alafu ukujipea shugli ya kuvuruta drowers😂😂😂😂😂😂
Kukawia bila kupika😂😂
Wow amazing ❤
Team France tunasema chai kijiko moja si enough 😂😂😂 nipitieni guys pale kwangu muone vile Mwalimu amepiga mtoto kaa ubwa juu ya sch fees 🎉🎉🎉
Umeweka chaiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣niue😂😂😂
❤❤❤❤❤umejaribu kiasi
Aki bebii ........tea oil ....love u ❤️❤️❤️❤️ always here .waiting to be notified....always here ..till the end
Kwan beib Leo 😢 ulikuwa umetuamulia je wee we have missed you alot
Alishtuka vile tumbili Ali faint
But finally amejitokeza😢😢😢ile upendo nko na haka karembo mungu mwenyewe ndiye ananjua, keep pushing babe girl❤❤❤❤❤❤
@@FunnyDalmatianPuppies-qd9mjkweli wewe ndio really fan wa bebii na loice mauda ....we will never give up ❤❤❤❤
@gloriachurchil8533 i love her so much💞💞💞she's my favorite girl and my role model na hapa sibaduki nko na handi mwisho ❤❤
Congratulations babii wewe ni mwanamke Bomba Kwa chapo
Yaan bebii ata chumvi hujui iko wapi kwa nyumba yako😂nakupenda tu Bure karembo....
Sasa beibii wewe mwenyewe ulisema unapika masikio ya sungura.leo unatuita tukule masikio ya sungura?😂😂😂😂😂
Much love bebgal ❤❤❤❤❤
Hahahaaaa.......nani amenotice iyo kitu ya kuweka chai kama mafuta
❤❤❤😂😂
Bebii umeamua tukule Kwa macho,n sawa😂😂😂BT anyway much love ❤️❤️❤️
Hakosi lakuhogeya dinadamu loooo pika dada wajuha kapika kwakweli dada mwasema heti hamejaribu haya zapikwaje yiyi hambaho mwajuwa tupika mmmmm wacheni kumbaya
Bebi ukukohoa tunaitika yawa 😂😂❤❤❤❤❤
Good