Hivyo hivyo wafalme wa Saudi Arabia 🇸🇦na watawala wa nchi ambazo ziko chini ya viongozi ambao ni waisilamu kama Misri,kuwait,Qatar,UAE,....na wengineo wataulizwa walikuwa wapi damu ya watoto wasokuwa na hatia ikimwagwa na wazayuni?
Naam, hilo ni baina yao hao viongozi na Allah lakini ww kama ni raia wa hizo nchi unatakiwa uwape hao viongozi haqq zao kwa mujibu wa sheria فإنّما عليهم ما حُمّّلوا ، وعليكُم ما حُمّلتُم
Hujielewi ww unaelezwa hv unawaza ujinga yote chuki zinakusumbua kwani sheikh kamtaja fulani hata wewe ikiwaunapenda dunia pia unaingia kwenye Hilo kundi
Allah atuhifadhi🤲
Amin! Baarak Allah fiyk!
Allah akuhifadh sheikh
Amin! Baarak Allah fiyk!
Hivyo hivyo wafalme wa Saudi Arabia 🇸🇦na watawala wa nchi ambazo ziko chini ya viongozi ambao ni waisilamu kama Misri,kuwait,Qatar,UAE,....na wengineo wataulizwa walikuwa wapi damu ya watoto wasokuwa na hatia ikimwagwa na wazayuni?
Naam, hilo ni baina yao hao viongozi na Allah lakini ww kama ni raia wa hizo nchi unatakiwa uwape hao viongozi haqq zao kwa mujibu wa sheria
فإنّما عليهم ما حُمّّلوا ، وعليكُم ما حُمّلتُم