Sijali Hata Akiwa Uchi Fahyma Avae Nguo Yoyote Ile Aipendayo (Rayvany)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Sijali Hata Akiwa Uchi Fahyma Avae Nguo Yoyote Ile Aipendayo (Rayvany)

ความคิดเห็น • 146

  • @vumimanga9363
    @vumimanga9363 6 ปีที่แล้ว +45

    Viiii van vannny boy we kujisikia umeanza linii makubwa!

  • @katobirch4759
    @katobirch4759 6 ปีที่แล้ว +2

    Umekosea, Fikiri unachosema, unapotosha dada zetu!

  • @hemedimejumaa7369
    @hemedimejumaa7369 6 ปีที่แล้ว +11

    Nakuona ray bado kikuku na kusuka nywele kama boss ..😕😕😕😕

  • @aishamfaume747
    @aishamfaume747 6 ปีที่แล้ว +17

    Kujistiri kwa mwanamke n vzr zaid kuliko vile fahyvanny huwa naavaaga alafu kashakuwa mama tyr bdo anavaa uchi tu cjui ndio ustaar jmn.....

    • @sharifaomary6147
      @sharifaomary6147 5 ปีที่แล้ว +1

      Aisha Mfaume kwr kabisa

    • @ashulamusin9811
      @ashulamusin9811 5 ปีที่แล้ว +1

      Aisha Mfaume huyo hana dini

    • @trizzahawinja2818
      @trizzahawinja2818 4 ปีที่แล้ว

      My dress code my choice 😂

    • @trizzahawinja2818
      @trizzahawinja2818 4 ปีที่แล้ว

      Waislamu mnamchukia kwa sababu alibadili dini😅😅kwani ni yeye wa kwanza kuvaa hivyo

  • @KhadijaKhadija-mk6jf
    @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว +18

    Mbona sehem zote umevaa maurembo Hadi umefanan na mwanamke mmmh

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 6 ปีที่แล้ว

      Huyo ni msanii jamani hamzoei tuu kuwajadili wanavyovaa ni kawaida ya wasanii kuvaa vitu vya utofauti na mtu wa kawaida

  • @KhadijaKhadija-mk6jf
    @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว +17

    Yaan sio kujishauwa huko kheee

  • @maryamkhatau4038
    @maryamkhatau4038 6 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh shikamoo pumzi, yote hii sababu tunapua ikikata sasa hivi ndo utaanza kujuta na bahati Mbaya majuto yanakuja wakati ushachelewa Allah tuhifadhi daima in shaa Allah

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 6 ปีที่แล้ว +19

    Haya mbona unatushangaza washabiki kwa uvaaji wako au ndio kichaa kinaanza hebu jitathimini vizuri ikiwemo kupunguza hizo Pete, cheni na hizo takataka kichwani..

    • @aminahusna4778
      @aminahusna4778 6 ปีที่แล้ว

      Hahaha akitoka apo amechoka kichwa vidole maana simzingo huo...

    • @rukiaa5183
      @rukiaa5183 5 ปีที่แล้ว

      Rukia

    • @rukiaa5183
      @rukiaa5183 5 ปีที่แล้ว

      Apo chacha

    • @sundaymsuya2909
      @sundaymsuya2909 5 ปีที่แล้ว

      pesa sabuni ya roho km huna tulia acha wivu dadangu

  • @Pathro_Cavosia
    @Pathro_Cavosia 6 ปีที่แล้ว +1

    WCB Mutatuambia Vizuri end of the day Kwa hii hali ya vipuli hii Daaah hatari

  • @fransiscamasambul3430
    @fransiscamasambul3430 5 ปีที่แล้ว +1

    Rayvanny unakengeuka vibaya jmn iyo miuchafu mwilini vpeee hapan sikuelew kbsa hebu punguza haunogi loooo

  • @neemayamwenyezihawaafetlis1782
    @neemayamwenyezihawaafetlis1782 6 ปีที่แล้ว +31

    Ati vining'inizo😅😅😅😅😅😅jaman dunia ina mambo Mimi mume wangu akivaa hivi vipoli Ajiandae kunipa talaka siwezi Kuwa ndani na mwanamke Mwezangu ati mume nyoooooo

    • @mwisukulu1
      @mwisukulu1 6 ปีที่แล้ว +2

      Tofautisha kati ya mume wako na msanii😂😂😂😂

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 6 ปีที่แล้ว +2

      Mumeo mwanamziki????

    • @prettyshemsanelly4374
      @prettyshemsanelly4374 6 ปีที่แล้ว +1

      Ata awe Star AKIVAA HIVYO HAWEZI TALAKA TU ANIPEE

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 6 ปีที่แล้ว

      Ngoja nikurekebishe wewe ungesema mimi siwezi kuolewa na mwanamziki sababu huyo ni msanii na hayo ni mavazi ya kisanii

    • @prettyshemsanelly4374
      @prettyshemsanelly4374 6 ปีที่แล้ว

      mufasa mufas JAMANI MM TAYARI KUOLEWA ALHAMDULILLAH ,KUNA WANAUME WANAIGA MAVAZI YAMA STARS WAKAWNGU AKIIGAA NDO MASALAAM

  • @happnescharles613
    @happnescharles613 5 ปีที่แล้ว

    masikin akipata lazima utamjua tu xo rayvan hatukushangai

  • @emmymchokoz688
    @emmymchokoz688 6 ปีที่แล้ว +11

    umemuwahi mtangazaji ata yy kavaa michaniko......hahhaha

  • @amileyissa9684
    @amileyissa9684 6 ปีที่แล้ว

    Mbaya nyimbo zako mbaya naikubali nyimbo 1 th tu zingine zote mbovu

  • @omaryhajji2629
    @omaryhajji2629 6 ปีที่แล้ว +1

    Mmh akivaa uchi Tena hivi kwann tunamsahau mung hivi nyinyi na hususan nyinyi wasanii mnajiona nn hasa , haya ila dunia mapito Kila mtu ataenda kuulizwa jins alivyouchnga mzigo wake.

  • @princessaidal1130
    @princessaidal1130 6 ปีที่แล้ว

    Mi heleni umening'iniza kama demu

  • @rarbusinessinstitute
    @rarbusinessinstitute 5 ปีที่แล้ว

    Vanny boy mmendelee na mapenzi lv u

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 6 ปีที่แล้ว +4

    Vanboyiii mwanamzki alonishawi nipende nyimbo za bongo ..bigger up kwako ...we love you too

  • @hadijamohammed4181
    @hadijamohammed4181 5 ปีที่แล้ว +2

    Sibure utakuwa namapungufu au ndoumenyweshwa maji yamatako

  • @habibaijengo3993
    @habibaijengo3993 6 ปีที่แล้ว

    van boy hayo mavazi sio bro maana unaonekana kama demu

  • @perpsgiovanna1933
    @perpsgiovanna1933 6 ปีที่แล้ว +5

    Vanny boy nimekupenda tu sana hiyo comment about faymah umeiweka vema wakome kuuliza maswali ya kijinga😂😂😂😂

  • @juxbouy4685
    @juxbouy4685 6 ปีที่แล้ว +1

    Layvan.... Bangi so akili zako izoo 😅😅😅😅😅😅😅

  • @alibinali_
    @alibinali_ 6 ปีที่แล้ว

    Waswahili brother ndio kazi yako kuongea wewe fanya yako na mke wako maisha ya songe mbele

  • @latb2747
    @latb2747 6 ปีที่แล้ว

    kwel hajui kuvaa vany

  • @sarahkariuki6934
    @sarahkariuki6934 5 ปีที่แล้ว +1

    nakuenzi sana vannyboy my best from wasafi bigups from kenya 😝😝😍

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 6 ปีที่แล้ว

    Ha ha ha wajisemesha tuu manina avae bikin apost tuone 👌

  • @petermliga7520
    @petermliga7520 5 ปีที่แล้ว

    Tumshaur vzr jaman huenda kateleza tu, vannyboy usimwache mkeo aweke maungo yake hadharan si vema artist wang

  • @paulmkai2043
    @paulmkai2043 5 ปีที่แล้ว

    😔😔😔..inasikitisha sanaa kuhus "hata kama awe u**i"..

  • @neemaratib5390
    @neemaratib5390 6 ปีที่แล้ว

    Kila nguo humpendeza rayvanny ila hii ya Leo mmm siyo,

  • @aishaaisha18
    @aishaaisha18 6 ปีที่แล้ว

    Hujui maan ety yakua mwanamke wako anatakiwa asione mwengine sehem zake za siri uwo ni ujinga ndio wasani wengi walivyo sio hyu tu nawengine wake zao haswa

  • @queennmaryo779
    @queennmaryo779 6 ปีที่แล้ว +2

    huna lolote nyoo ety uchi mwambie sasa atembee kama alivo zaliza we c unasema fasion

  • @omaryhajji2629
    @omaryhajji2629 6 ปีที่แล้ว

    Pesa mwenziwe dunia acha ajitape , Ila ndug jitathmini mble unakoenda , yaani wmcb yote imeshaharibiwa , na tumsubir uyo mboso ndo alobakia,

  • @fattyandruqyahbinthouthman8025
    @fattyandruqyahbinthouthman8025 6 ปีที่แล้ว

    hajakua huyu bado eti avae uchi 😂😂😂😂mwehu sana

  • @joharisalim7864
    @joharisalim7864 6 ปีที่แล้ว +5

    Daaa kwakwel umeharibika rayvann sjui umekuwa kama nn sku hz unaonekana kama shoga wallah...

  • @ashuramamaashuraaachekuvaa7798
    @ashuramamaashuraaachekuvaa7798 6 ปีที่แล้ว

    Jamani tule fayma anakaa uchi kah afu muislaam yule

  • @emmymchokoz688
    @emmymchokoz688 6 ปีที่แล้ว +3

    haha yaani mning' inizooo

  • @minaside6717
    @minaside6717 6 ปีที่แล้ว

    Hatari mpk heren kwel meoza WCB

  • @robertnyamongo9625
    @robertnyamongo9625 6 ปีที่แล้ว

    We Rey we ni kiboko

  • @khadijaomar3299
    @khadijaomar3299 6 ปีที่แล้ว

    Fala sana ww

  • @getrudakulaya5495
    @getrudakulaya5495 6 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀 mning'inizo

  • @susanyoungrace3265
    @susanyoungrace3265 6 ปีที่แล้ว

    Wacha ncheke kidogo😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ....Tunasema BORA UHAI

  • @alicewanjiku557
    @alicewanjiku557 5 ปีที่แล้ว

    yah ray vanny her dress her choice

  • @muniirahabdulrahman3378
    @muniirahabdulrahman3378 6 ปีที่แล้ว

    Mafreemason wameshamteka akili yake khaaa

  • @latb2747
    @latb2747 6 ปีที่แล้ว

    umezidisha mingaro kupita kiasi mpk mapete kama mnganga wa kienyeji alotoka mikoan chini kwa chini uko looh alisema dogo janja nimeamin mana nafatilia hatr ray kuvaa hujui

  • @officialsalim3955
    @officialsalim3955 6 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa kauzu. Hata awe uch!

  • @mwanaishasuleiman7278
    @mwanaishasuleiman7278 6 ปีที่แล้ว +8

    Dah bro umezengua mbwana tym hii cos ushoga waanza hivyo ama wataka kua kma boss wako

    • @tumsifuhosea2353
      @tumsifuhosea2353 6 ปีที่แล้ว

      Mwanaisha Suleiman hawa ni chama kimoja lazima wafanane kila kitu labd ndo masharti

    • @tumsifuhosea2353
      @tumsifuhosea2353 6 ปีที่แล้ว

      Mwanaisha Suleiman chama kimoja lazima wafanane labd ndo mashart

    • @mwanaishasuleiman7278
      @mwanaishasuleiman7278 6 ปีที่แล้ว

      Dah

    • @rayahsadik4106
      @rayahsadik4106 6 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅

  • @veronicajoel499
    @veronicajoel499 5 ปีที่แล้ว

    umenena waachen namaisha yaoooo

  • @priscahaddy802
    @priscahaddy802 5 ปีที่แล้ว

    hahah mtangazaj ad ww umevaa uchi hahah

  • @halimalwayo1073
    @halimalwayo1073 6 ปีที่แล้ว +3

    mishauo iyo veepe lol

  • @lilianjeremiah2880
    @lilianjeremiah2880 6 ปีที่แล้ว

    Siku izi naww unajisikia siku izi jmn wat unatok mbli

  • @ZaharunZaharun
    @ZaharunZaharun 6 ปีที่แล้ว

    Ww daiyuth mwaenda kuchomwa waona no masifa

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 ปีที่แล้ว

    Chuiiiiii ni Chuiiiiii tu

  • @rachaeldhahabu5096
    @rachaeldhahabu5096 6 ปีที่แล้ว

    Tufatilie hivyo unavaaa eti?😂😂😂😂😂 Unapotea dear.

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 6 ปีที่แล้ว

    hujielewi ndo maana unasema hivyo

  • @sajdahprecious2142
    @sajdahprecious2142 6 ปีที่แล้ว

    makubwa

  • @bernadethangale1659
    @bernadethangale1659 5 ปีที่แล้ว

    punguza nyodo nyoooo

  • @aishaaisha18
    @aishaaisha18 6 ปีที่แล้ว

    Wakat gani huo pumbavu

  • @omanioman8952
    @omanioman8952 6 ปีที่แล้ว

    Mbona mapozi meeeengi veep🙄🙄🙄🤔🤔🤔

  • @tinermjema6493
    @tinermjema6493 6 ปีที่แล้ว

    umevaa ma nn jamani

  • @officialeidon4583
    @officialeidon4583 6 ปีที่แล้ว

    Akivaa uchi

  • @rosemarymwangi6438
    @rosemarymwangi6438 5 ปีที่แล้ว

    lol... mtangazaj umevaa mchanikomchaniko

  • @bintabu1713
    @bintabu1713 6 ปีที่แล้ว +1

    Makubwaaa

  • @bonnysappe9729
    @bonnysappe9729 6 ปีที่แล้ว

    sio poa

  • @kenyansingulfarabscountrie2988
    @kenyansingulfarabscountrie2988 6 ปีที่แล้ว +1

    I respected you but leo umeongea mharo 😏😏😏😏ghasia

  • @upendomtui1790
    @upendomtui1790 6 ปีที่แล้ว

    Van boy unaringa lol

  • @yanah6931
    @yanah6931 6 ปีที่แล้ว

    Awudhubillah

  • @ubahabdisahal7012
    @ubahabdisahal7012 6 ปีที่แล้ว

    Vanyboy respect ✊

  • @edinapastory8931
    @edinapastory8931 6 ปีที่แล้ว

    punguza kujishaua

  • @zaharalisu3475
    @zaharalisu3475 6 ปีที่แล้ว

    pumba tupu

  • @nusaybasaid3378
    @nusaybasaid3378 6 ปีที่แล้ว

    humpend mpenz wako kwani wala huna wivu nae kwa hali iyo

  • @jackrinaman7521
    @jackrinaman7521 6 ปีที่แล้ว

    Pesa sabun ya loho .nikikukumbuka ww enzi hizo isanga mbeya

    • @arafatsalehplyamohd7312
      @arafatsalehplyamohd7312 6 ปีที่แล้ว

      jackrin aman amebadilika kweli kesha harika ray

    • @jackrinaman7521
      @jackrinaman7521 6 ปีที่แล้ว

      @@arafatsalehplyamohd7312 ukiwa napesa bs mtu wamiaka 60atakuamkia

  • @neyjoseph7112
    @neyjoseph7112 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @simaotv8560
    @simaotv8560 6 ปีที่แล้ว

    twende sawa MWANA ndugu naomba JIBEBE th-cam.com/video/T2LMD-yg5wk/w-d-xo.html

  • @leemassawe8968
    @leemassawe8968 5 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaha ungekuw unampenda ungemfundisha kuvaa mavazi yakiheshima dah kushika pesa tu kidgo unaanza kujiona dah dunia hii syo yakwetu jamn

  • @omanioman8952
    @omanioman8952 6 ปีที่แล้ว +2

    Jamani ustar shikamooooo
    Si kwa kujilemba ivyo 🤔🤔🤔🤔
    Kama demu ulaya wametuteka

  • @mwanaidihussein1462
    @mwanaidihussein1462 6 ปีที่แล้ว +2

    Ckuwahi kujua kama van boy nae anakulaga bangee mbichi😂😂😂😂 sio kwa majibu hay kuhusu feym

  • @sadiaabeid7552
    @sadiaabeid7552 6 ปีที่แล้ว +6

    wazimu mtu mpenzi wako wamucha avae uchi jamani watu wamepotea

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว +4

    #Rayvanny Ashuo
    Eti watu wote wanamtizama yeye, anaviiimba. 😏😏

  • @sish7012
    @sish7012 6 ปีที่แล้ว +1

    Yani ww nilikuwa nakukubali sana lakini Leo nimekutoa hamakweli ukitembea na shoga naww lazima huwe shoga sikutegemea atasiku mmoja kama utakuwa ivi

  • @OmannitumienikwanambahiiMusna
    @OmannitumienikwanambahiiMusna 5 ปีที่แล้ว

    Jamn huyu mwanamke au vp naon mapambo yamezid Pete zote ivo vp mbn mnapend usenge nyie

  • @latifaali779
    @latifaali779 4 ปีที่แล้ว

    Uko good Kabisaa vanny boy waacha kufatilia mavazi ya mtu

  • @berthampandagoya7143
    @berthampandagoya7143 6 ปีที่แล้ว +1

    Eti Umevaa mamchanikochaniko

  • @princeshadau1980
    @princeshadau1980 6 ปีที่แล้ว

    Rayvanny kumbe pia boya tu...

  • @bernadethangale1659
    @bernadethangale1659 5 ปีที่แล้ว

    punguza nyodo nyoooo

  • @KhadijaKhadija-mk6jf
    @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbona sehem zote umevaa maurembo Hadi umefanan na mwanamke mmmh

  • @princessaidal1130
    @princessaidal1130 6 ปีที่แล้ว

    Rayvan siku hizi anatombwa ama? Sasa hiyo miurembo akiwa na mkewe si wote wanaonekana wanawake tu uuuuuuuuwiiii manina ww umenichefua,,,, wqkuangalie na kiunoni utakua umeweka shanga

  • @bashiluswalehe7853
    @bashiluswalehe7853 6 ปีที่แล้ว +2

    Mning'inizo

  • @happysawe4586
    @happysawe4586 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji kama anambembeleza mtoto duuuuuhh

  • @ali2lovely73
    @ali2lovely73 6 ปีที่แล้ว

    hawa jamaaa wanatuvimbia sasa yeye na boss wake na hawajui kama sisi maahabikintunewafikiaha hapo pua juu ya nini kwa mashabiki wenu au ushamba mwingi mna matatizo ndugu zetu be humble

  • @tumafreedom896
    @tumafreedom896 6 ปีที่แล้ว

    Mmmmh rayvanny ama nivile hujamuoa unavyo ongea nikama fayma haumjali nakumthamin kama bb yako bado unamchukulia kama mchepuko tu OK

  • @bahatimosha4193
    @bahatimosha4193 5 ปีที่แล้ว

    mung akup nin ray mke umepata unataka nn wamependeza kwel

  • @barakabaraka7096
    @barakabaraka7096 5 ปีที่แล้ว

    Potn

  • @fatmahbakhar9686
    @fatmahbakhar9686 5 ปีที่แล้ว

    Jamoniiii viiii van vanny boy vipuli babaa.but u looks awesome😃😃😃

  • @ashayahaya5789
    @ashayahaya5789 6 ปีที่แล้ว

    kweli pesa mwanaalum mmmmmmh aiseee umejilemba balaaaa yan ulembo kila mahali mn sio kwa mashauzi hayo km unamilik dunia

  • @saadsalum3253
    @saadsalum3253 6 ปีที่แล้ว

    Wabongo bwana akipata vipesa vitatu tu anajiona kama hanyi

  • @ashayahaya5789
    @ashayahaya5789 6 ปีที่แล้ว

    kweli pesa mwanaalum mmmmmmh aiseee umejilemba balaaaa yan ulembo kila mahali mn sio kwa mashauzi hayo km unamilik dunia

  • @salamahamadi4123
    @salamahamadi4123 6 ปีที่แล้ว

    Mazali hawaraa asikupe shidaa wee kuowaa pembaa mwakaa ujao hhhh

  • @jessicamm3171
    @jessicamm3171 6 ปีที่แล้ว

    Funny boy

  • @zakiamaungazakia720
    @zakiamaungazakia720 6 ปีที่แล้ว

    Mipete kama shetani

  • @paulsantanatzee8301
    @paulsantanatzee8301 6 ปีที่แล้ว

    Leo rayvanny kaongea utumbo harafu anaonekana anajiskia Sana kweli maji ufuata mkondo ndio amekua Kama bosi wake diamond mwanamke wako huwezi mruhusu akae uchi eti hoo ndio maisha yake aliyozoea wee ni mwanaume inatakiwa umpange mkeo acha ufala vanny nilikua nakuaminia Sana pale WCB sababu nilikuona upo tofauti Sana na wenzako lakini umebadilika Sana inaonekana umelewa ustar na ww

    • @esterpromy3183
      @esterpromy3183 6 ปีที่แล้ว

      paul Santana tzee sasa ampangaje hao wanaojifunika ndo malaya hawafai