❤ 2:32 😮imeenda na impenya vizuri hongeri sana wote mlio shirki kufanikisha uu wimbo nimeuelewa san Salam nying zmwendee kaka angu mpendwa James John makaranga😅😅😅😅
Asanteni sana the pebris Family grace kutoka Nairobi Mungu azid kuwabarik sana tunaenjoy sana na kazi zenu. Tunahitaj sana msaada wenu maana ndio tunaanza Chanel yetu changa pia
@@laurianntuja5507 Sawa kabisa ndugu nitafanya hivyo ni heri tutumie talanta zetu tumwimbie Mungu kwa sauti hizi Bado zikiwa na nguvu maana siku itafika tutanyamaza kimya kabisa🙏, tuendelee kueneza injili kwa kuimba. Hongera sana kwa chaguo hili, Mungu awaongoze, Amina🙏🏻
Hongereni sana
❤ 2:32 😮imeenda na impenya vizuri hongeri sana wote mlio shirki kufanikisha uu wimbo nimeuelewa san Salam nying zmwendee kaka angu mpendwa James John makaranga😅😅😅😅
Hongereni sana ❤❤🎉🎉🎉
Nimependa kispika Cha Ahmed Ally hapo mwishoni, Simba oyee...... Twendeni na zawadi tukamwone amezaliwa
Hakika amezaliwaa
Mbarikiwe washiriki woteee❤❤❤❤
Kazi nzuri sana MUNGU awabariki
hongereni kazi nzuri, Pascal (Duke) 🎉🎉🎉
bravooooooo
Hakika amezaliwa
❤❤❤❤❤❤
Hongereni waimbaji wooooooooote
Kazi safi🙏,
Miso misondo umepigaje hapo
Akonpoa sana
Hongera Sana ndugu mungu awabariki kazi nzuri mnoooooo🎉❤❤
Amina sana kaka tunahitaj support yenu sana ili tuweza kurecord wimbo mwingne tena
Ondoa hofu tupeane taarifa kiongozi
🎉❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hakika ezaliwa🎼🥰
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kali sana❤🎉
Hongera nyingi Kwa waimbaji, sound engineer, ETUNEZ na Director, kazi mzuri sana aseee
Ubarikiwe sana kaka
Mwana wa Mungu amezaliwa kweli twendeni wote na zawadi zetu tukamwone. Kazi safi sana. Hongera kwa wahusika wooote
Asanteni sana the pebris Family grace kutoka Nairobi Mungu azid kuwabarik sana tunaenjoy sana na kazi zenu. Tunahitaj sana msaada wenu maana ndio tunaanza Chanel yetu changa pia
Mkombozi wetu amezaliwa, twendeni tukamwone, wimbo mtamu sana🥰🎄🥳
Asante sana Mary endelea kuhamasisha na wegine waendelee kuzaliwa nasi ktk Chanel yetu hii chnga, tunahitaj sana support yenu
@@laurianntuja5507 Sawa kabisa ndugu nitafanya hivyo ni heri tutumie talanta zetu tumwimbie Mungu kwa sauti hizi Bado zikiwa na nguvu maana siku itafika tutanyamaza kimya kabisa🙏, tuendelee kueneza injili kwa kuimba. Hongera sana kwa chaguo hili, Mungu awaongoze, Amina🙏🏻
Nice one 👍 👌
Amezaliwa!!!!❤❤ Merry Christmas to you 🎉🎉🎉
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Hongera kwenu nyote
Asante sana endelea kutupa support pia kwa watu wengine
DJ umepigaje hapoo
Good🎉🎉🎉🎉🎉
Wimbo mtamu
Kazi hiyo chief
Hongereni kazi ni nzuri mno nasubiri na vigongo vingine vijavyo
Amina kaka tunakukaribisha nawe maana lazma utuandalie kigongo kigne
@@laurianntuja5507 mkiwa tayari tuu mtaniambia