#HIKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 99

  • @abdulmagina3350
    @abdulmagina3350 4 ปีที่แล้ว +12

    Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu kipenzi Dr John Joseph Pombe Magufuli.

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 4 ปีที่แล้ว +19

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 4 ปีที่แล้ว +5

    Ben Mwanantala nakupa hongera saaana kwa kazi yako na kwa kutujuza kazi ya SGR inavyokwenda

  • @ericadelard4730
    @ericadelard4730 4 ปีที่แล้ว +33

    Ben .. much love from kenya 👍 zawadi first coment kama kawa jamani.... Big up trc

    • @besumitv8674
      @besumitv8674 4 ปีที่แล้ว +2

      Kweli umetisha kiongozi daah

    • @gastonponera7962
      @gastonponera7962 4 ปีที่แล้ว +1

      Heh heh heeee!! Mlithema hatuwedhi, oneni wenyewe sasaaa! Magu kapiga bao la kisiginoooh!
      Wenzetu endeleeni kuvaa barakoa mpaka slave masters wenu wawakabidhi diplomas and certificates of 'lockdown' and 'night curfews'

  • @Johnmasanja27
    @Johnmasanja27 4 ปีที่แล้ว +8

    Safi sana haya ndiyo tunayataka bwana magu oyeeeeeeee😆😍😍😍

  • @setholivier4862
    @setholivier4862 4 ปีที่แล้ว +30

    Anaye ichukia tz na mandeleo yake atakufa kwa presha.... hafu ben usisahau kunywa ka Pepsi baradi ✊

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว

      Pespi big

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 4 ปีที่แล้ว

      Bila kusahau na Alikasusu

    • @setholivier4862
      @setholivier4862 4 ปีที่แล้ว

      @@abbyadams8691 hapo sasa ☕

    • @conorfabian7386
      @conorfabian7386 3 ปีที่แล้ว

      A trick: watch series at flixzone. I've been using it for watching lots of of movies recently.

    • @russellcairo3821
      @russellcairo3821 3 ปีที่แล้ว

      @Conor Fabian definitely, I have been watching on flixzone} for since november myself =)

  • @bongobongo1755
    @bongobongo1755 4 ปีที่แล้ว +19

    uyo ndio magu my friend mpe kura yako, upate uroda zaidi ndio ameanza mambo bado

    • @monicahovda5890
      @monicahovda5890 4 ปีที่แล้ว

      Hapo a baada ta Baba Magu aje kiongozi Mzembe, na kucheka cheka, unaanza uharibifu tena. Wakati watu wametumia nguvu nyingi kuwekeza na kujenga. Hapooo chachaaa!!!!!!!

    • @bongobongo1755
      @bongobongo1755 4 ปีที่แล้ว +1

      @@monicahovda5890 magu hakuna sehemu anaenda mpaka kuwe kama ulaya

  • @amanichanga3448
    @amanichanga3448 4 ปีที่แล้ว +9

    Keep going TANZANIA

  • @georgenyalulu4550
    @georgenyalulu4550 4 ปีที่แล้ว +10

    JPM tumpe miaka mia mnaonaje wazalendo wenzetu

    • @gastonponera7962
      @gastonponera7962 4 ปีที่แล้ว

      Haitoshii, apewe miaka mia moja na moja!!

  • @samwelimdika9551
    @samwelimdika9551 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu ibariki Tanzania

  • @abdulmagina3350
    @abdulmagina3350 4 ปีที่แล้ว +8

    Ben vip kuhusu bwawa nijibu please wambie Tanesco uriport na mradi huo unaweza kuhudumia miradi yote sina shaka na wewe nchi itakukumbuka sanaa Kaka.

  • @allenmsuya002
    @allenmsuya002 4 ปีที่แล้ว +18

    Iv wanaopinga pinga wanaona kweli haya mambo uskute wametolewa akili ata wasione.Mangufuli kwa maendeo ya nchi tulipaswa tufike huku mda sana

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว +6

      Wanaona ila wanafanya vichwa vigumu but wengi wanaelewa Sana, ni kweli tulipaswa kufika huku mapema Sana but ndo hivyo ndugu serikali zilizopita zilijikita kwenye ufisadi zaidi na mafanikio binafsi na kuiba fedha kwenda kuwekeza nje na mabenki ya nje ndo maana unaambiwa mabenki ya wingereza, marekani na uswizi yamejaa zaidi fedha za waafrika tena mala nyingi wanaishia kuwaekea vikwazo na kutaifisha Mali zao walivyo wajanja kula na vipofu hawa wazungu, but kiukweli zerikali za nyuma zingekuwa kama hii yaani zaidi ya miaka 20 iliyopita tungekuwa na hivi vitu mfano tyuu ishu ya bwawa la rufiji ni mawazo ya serikali ya kwanza ya baba wa taifa but serikali tatu zimepita hakuna kitu so wawezaona ni jinsi gani kumekuwa nyuma komaendeleo kisa mafisadi yaani ufisadi ni adui mkubwa Sana wa maendeleo so kwa Sasa watz wenzangu tumuombee jpm na kumuunga mkono ili azidi kutufanyia mengi zaidi na zaidi ona hata Sasa nchi yetu imeanza kuheshimiwa so ni kwa Sasa tunaenda Sawa tuzidi kumuombea Mola amuongoze vyema na asimpe kiburi ili azidi kutufanyia makubwa zaidi ya aliyofanya kwa hii miaka mitano ya awali, please watz tuwe wazalendo tuache ushabiki wa kisiasa tujitambue tujue tulikotoka na tusiombe kurudi tena huko kamwe na Allah atujaalie na kutulinda milele na kuilinda amani na ushirikiano wetu daima amen.

    • @jamalfauz4264
      @jamalfauz4264 4 ปีที่แล้ว +2

      Jicho bovu huona vizuri kuliko akili mbovu. Wale wamepofushwa na chuki zao.

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว +1

      @@jamalfauz4264 wakashindwe na walegee

  • @mavuzijiwe6805
    @mavuzijiwe6805 4 ปีที่แล้ว +4

    JPM Ni Rais wa kweli kabisa Anafanya Kazi Nzuri sana Yaan

    • @michaelsiweya6500
      @michaelsiweya6500 4 ปีที่แล้ว

      Badili neno mavuzi ndugu..unaweza kushangaa una komenti vizuri..lakini haupati like

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 4 ปีที่แล้ว +11

    JPM NI MASHINEEE

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 4 ปีที่แล้ว +6

    Tunahitaji viongozi wanao penda Taifa lao kama JPM na siyo wanaopenda matumbo yao tu kwa kujilimbikizia Mali wanajali masilahi yao Mungu mlinde Rais wetu John Pombe Magufuli mpe afya njema azidi kulijenga Taifa letu la Tanzania.

  • @mymuamsrrr7884
    @mymuamsrrr7884 4 ปีที่แล้ว +3

    Ajira kama yotee kwa wazawa, safi kabisa.

  • @Given-Norman
    @Given-Norman 4 ปีที่แล้ว +10

    Alafu vijana wengi hawa mpendi Magufuli, sijui wanamtaka rais gani tena

    • @eliezadaniel9431
      @eliezadaniel9431 4 ปีที่แล้ว +2

      Hawana akili ndo ujue yale gadafi ndo uone hata huku tusipokuwa makini yanaweza kutokea wakati rais anajitahidi but hawaoni

    • @neemakilomoni4258
      @neemakilomoni4258 4 ปีที่แล้ว +2

      Walizoea maisha feki ya mtelemko sio wazalendo, wavivu, wanapenda shortcut , wanapenda kulelewa kama watoto yatima ndio maana washenge wame kuwa wengi sanubu ya kupenda vya rahisi rahisi Sorry to said that but it’s true.

    • @godfreypetermasana8168
      @godfreypetermasana8168 4 ปีที่แล้ว

      Wamepandikizwa chuki na chama fulani kinachodhaminiwa na mabeberu walioko nje ya nchi yetu

  • @sumaroma2041
    @sumaroma2041 4 ปีที่แล้ว +7

    kunamtu bado haelewo nchi inaelekea wapi

  • @eyumededu2948
    @eyumededu2948 4 ปีที่แล้ว +6

    Hivi wanaotupigia kelele ajira hamna hao mafundi ni wachina au wazungu jaman nem wapige sera zao waache uongo

  • @davidmasanja5047
    @davidmasanja5047 4 ปีที่แล้ว +2

    God bless my country..God bless my beloved President

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 4 ปีที่แล้ว +2

    Kadiri siku zinavyosonga mbele na sura mpya ya reli ya kisasa inazidi kupendeza....Ni faraja kubwa sana kuwa na mkuu wa nchi anayependa maendeleo

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 4 ปีที่แล้ว +2

    "Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 4 ปีที่แล้ว +7

    Kwenye hiyo njia ya kuingia kwenye platform ya train waweke partition yakuingia na yakutoka ndio abiria wasigongane wakitembea.

    • @hudsson75
      @hudsson75 4 ปีที่แล้ว +6

      Hiyo ni kama ndege, abiria wanashuka wote, kisha treni inasafishwa ndio abiria wengine wapande. Inaweza kuchukua hata masaa mawili ndio wengine wapande. Hakuna kupishana kama daladala

    • @waluohopaulo2116
      @waluohopaulo2116 4 ปีที่แล้ว

      @@hudsson75 ok sikujua hiyo ndio mpangilio

  • @johnmbugani6532
    @johnmbugani6532 4 ปีที่แล้ว +8

    Magufuli oyeeeee

  • @maryamzubery4436
    @maryamzubery4436 4 ปีที่แล้ว +2

    Kazi safi

  • @theopant916
    @theopant916 4 ปีที่แล้ว

    Tanzania one magufuli oyeeeeee

  • @polloz77
    @polloz77 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @alonsamson6062
    @alonsamson6062 4 ปีที่แล้ว +2

    Saf Sana pongezi kwake rais magufuli kwamaono yake yambar

  • @rajabalfarazliganja397
    @rajabalfarazliganja397 4 ปีที่แล้ว

    Safiiiii

  • @gregorychogelo2013
    @gregorychogelo2013 4 ปีที่แล้ว

    #VivaJPM

  • @helmanmlenda7124
    @helmanmlenda7124 4 ปีที่แล้ว +2

    TANZANIA KAMA ULAYA

  • @mangobase
    @mangobase 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani nikiona haya yanayofanyika halafu namuona lisu na hasira zake kwamba huu wote ni upuuzi nashindwa kumuelewa

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni balaaa

  • @kaijagekabaju2289
    @kaijagekabaju2289 4 ปีที่แล้ว +3

    MSALIMIE AGUSTINO BULEGEA

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 4 ปีที่แล้ว +2

    Ben hatuko ukingoni, hebu fanya mahesabu vizuri, sema tunakaribia kufikia ukingoni. Kazi inaonekana bado kuna kazi hata huko Ruvu bado kuna vipande havijamalizika na hapo Dar pia bado kuna vipande havijafanyiwa kazi kati ya Pugu na central station.

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว

      Ndugu vipo vipande viwili ambayo ndo bado coz cha kutoka ruvu hadi ngerengere station ndani ya mwezi huu kitakuwa kishaunganishwa na tren ya mkandarasi itakuwa na uwezo wa kutoka pugu station hadi ngerengere station so vipande vitakavyobaki ni kutoka ngerengere station kuunganisha hadi Moro ambapo na chenyewe hakikombali Sana kwani hadi November itakuwa tayari kwa speed hii waliyonayo Sasa afu na kile kinachounganisha kutoka pugu hadi dar station ambapo hapo mwenyewe naona bado changamoto ipo at least waweke nguvu zaidi ili na penyewe hadi December wawe wamepaunganisha ili January wakaanze trial rasmi, hope hapatokuwa na serious challenges ili by December iwe imekamilika kabisa coz watz tunaisubili kwa hamu na Allah atutangulie ishallah

    • @gastonponera7962
      @gastonponera7962 4 ปีที่แล้ว

      Hii ngoma imeisha hii, Magu keshapiga bao hapo dadadaaaaaddekk!!

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 4 ปีที่แล้ว +5

    Bado kuna watu hawamuelewi Magufuli sijui wana matatizo ya akili

    • @eischerschwederm7876
      @eischerschwederm7876 4 ปีที่แล้ว +4

      Wana utopolo🤣

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 4 ปีที่แล้ว +4

      Ukiona hivyo jua ao ndio walikuwa wanaibia nchi

    • @machaggechacha3422
      @machaggechacha3422 4 ปีที่แล้ว +4

      Ukigundua mwizi na unataka kumshika atajaribu kila njia kubeza na kujificha. Basi ndo hao wasiotaka kuona na kumuelewa Pombe Magufuli.Wacha wakae na kunung’unika sie twende zetu bwana. Malofa mafisadi majizi yatabaki kuvuna manyoya.
      Heshima na shukrani zote kwa Pombe Magufuli.

    • @davidmasanja5047
      @davidmasanja5047 4 ปีที่แล้ว +1

      Ni mataaira sana ......ila chema n kwamba hawatatuzidi sisi tunaompenda Rais wetu mpendwa

    • @emmanuelreuben5014
      @emmanuelreuben5014 4 ปีที่แล้ว +1

      Hao NI wale waliotumbuliwa,Kama sio wao wazazi wao

  • @hddhhddhdhhd7466
    @hddhhddhdhhd7466 4 ปีที่แล้ว +1

    magufuli juuu

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 4 ปีที่แล้ว +1

    GPM

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 4 ปีที่แล้ว +4

    Alafu mjinga anakuja ana chechemea anataka apewe nchi kama tonge la ugali wa Tanzania 🇹🇿 sio wajinga .tumuwache mwanaume afanyiwe kazi miaka 20 tena Kwa Magufuli Oyeeeeeeeh

    • @meshacktimoth1370
      @meshacktimoth1370 4 ปีที่แล้ว

      Hapa kwa nn JPM akiongoza CCM apewe miaka ishirini baada ya mitano kuisha .

    • @meshacktimoth1370
      @meshacktimoth1370 4 ปีที่แล้ว

      JPM tunakukumbusha katiba yakulinda haya unayoyatengeneza

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 4 ปีที่แล้ว +2

    Magufuri ni mtu na nusu

  • @kahroogall5695
    @kahroogall5695 4 ปีที่แล้ว +2

    Eee Kaka ben Mimi sisemi kitu nyumbani kutam wo

  • @brianm3160
    @brianm3160 4 ปีที่แล้ว +4

    Kwa hizo render nimeonza majengo mawili kwenye station ya dar, kwa hiyo wamjenga moja mpaka sasa right?

    • @abascasamsi4813
      @abascasamsi4813 4 ปีที่แล้ว

      Hata mi nliona mawil yaan Hilo la sahv na lingne refuru likiwa limeungana ila sahv cjaliona tena

    • @brianm3160
      @brianm3160 4 ปีที่แล้ว +1

      @@abascasamsi4813 labda hiyo itakua project ya mda mwingine, for now wataanza na hilo

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว

      @@brianm3160 yes

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 4 ปีที่แล้ว +3

      wameanza na jengo la abiria wakati wanaendelea na jengo la maofisi na uwekezaji.

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว +4

      @@kambamazig02024 sure we hope na lenyewe litaanza soon coz pia litakuwa kitega uchumi kikubwa kwa shirika letu na ukizingatia mwonekano wake wa tanzanite gamestone look like itakuwa Safi Sana kwa kweli litakuwa mojawapo ya kivutio pia

  • @issayamshana3750
    @issayamshana3750 4 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa Mkoan Kilimanjaro nikawa nafatilia channel hii.. Kwa sasa nipo Dar hakika nimeona na ni kweli kabisaaa

  • @mjmeshackjiseph9087
    @mjmeshackjiseph9087 4 ปีที่แล้ว +2

    Mi Ntakujua itaanza ktumika lin?

  • @georgenyalulu4550
    @georgenyalulu4550 4 ปีที่แล้ว +1

    Wale wa lissu mbona hamkoment humu nyumbu nyinyi

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 4 ปีที่แล้ว +1

      Hawawezi kukoment wajinga wale

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว +1

      Wanaona aibu tyuu

    • @salimali1900
      @salimali1900 4 ปีที่แล้ว

      Wanataka madonge ya UGAlI wafuasi wa tundu la mavi

  • @frankd1156
    @frankd1156 4 ปีที่แล้ว

    Bado sana hii kelele nyingi tu

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว

    Tatzo watz hawapendi kazi wanapiga porojo tu alafu wanataka rais awapelekee pesa mfukoni, kitu ambacho ni hadithi za abnuasi hakuna nchi ya hivyo duniani humu tunakoishi

  • @abdulmagina3350
    @abdulmagina3350 4 ปีที่แล้ว +17

    Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu kipenzi Dr John Joseph Pombe Magufuli.