RAGNAR WA VIKINGS, HANDSOME ASIEMUAMINI MUNGU, KUMBE ALIKUWA MKULIMA KABLA YA UMAARUFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @SALIMZABRONI-yy9xr
    @SALIMZABRONI-yy9xr 11 หลายเดือนก่อน +4

    Wakwanza ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa twende kazi

  • @marrypius576
    @marrypius576 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hii movie ni noma

  • @presstv7700
    @presstv7700 11 หลายเดือนก่อน

    Ukweli utabaki kua mungu ni mawazo tu yaliokubalika sana ila hayana ushahidi kwamba yuko kweli

  • @MrNoLevel
    @MrNoLevel 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yes

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 11 หลายเดือนก่อน +2

    Regna,floki,lagatha,ivan,Bion

  • @GasperDanielkulaya-jf7ct
    @GasperDanielkulaya-jf7ct 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa twende kazi 🔥🔥🔥🔥

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 11 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana

  • @mohamedalidarabunyange4879
    @mohamedalidarabunyange4879 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali kaka mkubwaaa

  • @juliusmagunila6308
    @juliusmagunila6308 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo jamaa anaimani sawa na jamaa yangu mmoja nimependa sana hii story

    • @huthhuthlih5858
      @huthhuthlih5858 11 หลายเดือนก่อน

      Ni ukweli Yaan tu binadam mwenzio akuambie kuna mungu na wewe uamini

  • @pendojulius6275
    @pendojulius6275 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa umenipata

  • @HarrisonMpangile-xr3mn
    @HarrisonMpangile-xr3mn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Leta historia ya jet li

  • @SuleimanAlawi-s8j
    @SuleimanAlawi-s8j 11 หลายเดือนก่อน

    Wakwanza ndo nin?? Yani watanzania bwana

  • @alawisaid280
    @alawisaid280 11 หลายเดือนก่อน

    Tuletee ya alaxder draymon aliecheza kwenye film ya the last kingdom akiwa Kama uhtred

  • @estatekisombola9251
    @estatekisombola9251 11 หลายเดือนก่อน

    Canberra na Melbourne sio mbali

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 11 หลายเดือนก่อน +1

    👊✌️👍.

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 11 หลายเดือนก่อน

    SASA TWENDE KAZIIIIII

  • @pitabilali4553
    @pitabilali4553 11 หลายเดือนก่อน +1

    itakuwa unyama kama utatupa historia ya Kaisari wa Roma au M23 wa Congo

  • @huthhuthlih5858
    @huthhuthlih5858 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni nani aliekuambia kuna mungu?

    • @kingsolomoni-xp3dv
      @kingsolomoni-xp3dv 11 หลายเดือนก่อน

      Napenda kuwasikiliza watu ambao wana amini hakuna mungu je na ww nimmoja wao

    • @kingsolomoni-xp3dv
      @kingsolomoni-xp3dv 11 หลายเดือนก่อน

      Embu niambie unaelimu gani kuhusu mungu ninaweza nikajifunza jambo kwako

    • @gatekanene5753
      @gatekanene5753 11 หลายเดือนก่อน

      Makubwa haya sasa 😮😮😮

  • @jumamachano2388
    @jumamachano2388 11 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @guccij6236
    @guccij6236 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ikifika kwenye Suala la movies huni ambii kitu kuhusu Tony Jaa

    • @marrypius576
      @marrypius576 11 หลายเดือนก่อน +1

      Usipende kuangalia movie ain moja utapitwa na mengi 😂😂😂 na hautajua mengi

    • @eliuskamwelwe1018
      @eliuskamwelwe1018 11 หลายเดือนก่อน

      We bado hujui movie 🤣🤣🤣 yaan unamkubali muigazaj ambae hana movie kubwa hata tano🤣🤣

    • @marrypius576
      @marrypius576 11 หลายเดือนก่อน

      @@eliuskamwelwe1018 soma sentence yangu uelewe wew unamjua artist mmoja tu eti tom jaa 🤣🤣🤣 alafu ukute ww unaangalia movie za kutafsiriwa ndomaan unapamban na movie zakitailand tu 🤣🤣 acha ushamba utachekwa ww uend hata series iliyotok aliyoshirikishwa huijui ninyi ndo wale wavivu wa ngeli mnatak kutafsiriwa uongo kila siku ni huy huy artist ww jiulize mpk nimemjua huy ambay han movie ninyi hajulikan san ujue mim ni mpekuzi hakun movie inatok nisiiangalie 🤣🤣🤣

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa twende kazi