ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Watanzania hata tusikie milio ya risasi tunakimbilia kushuhudia sehemu zinapo lindima badala ya kujihami tunazifwata zinalia wapi ahahahah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Washasahau mzee wa kuchomoa betri😢
🎉🎉 naipenda nchi yangu Tanzania ❤❤
Wenzao waliunguaga wakakauka kama kuni hawakumbuki
Morogoro wanakaza fuvu wakati yashawah wakuta 😢
Morogoro jmn mpaka afe nan ndio muelewe hatari?
Daah washasahau haraka hivi yaliyowakuta wenzao?? Kweli binaadamu vichwa vigumu sana
wana vichwa vya panzi
Njaaaaaasaa
Mngewaacha asee kwani wamesahau mbona mapema sana
Dah jamn wananchiiii tubadilike jmn ndugu zangu
Aiseee watu wamesahau vifo
Duuuh kwel jaa baya jmn at hawaongopi
Hawaogopi tyuu yaliyowakuta wenzao?
Yani wana roho ngumu kwakweli
Morogoro - Morogoro Amuwakumbuki wenzenu miaka iliyopita, video mpaka Leo TH-cam zipo. 😔🙄😥😳😳
Tunakumbuka sana ila maisha😅😅
Tamaa ya hela itawaponza
😅😅😅😅😅😅😅
Washasahau
Njombe
Aise truck ya NFS poleni
Kuna watu washaanza kugema kwenye vidungu
😂😂😂Nacheka kama mazuri. Watu wanataka kufanywa NDAFU tena. Weshasahau mkoani hapo hapo August 2021 kilitokea Nini...?
😂😂
Waacheni wafe
From #EconomicallyGrowthMusicians Moro mna shida gani?? Miaka 5 tu mliungua kama Kuku😢😢 ila bado mnataka mrudie tena duh kweli maisha ni mgumu guys Mungu atujaalie Kheri😢😢 anyway Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
Watanzania hata tusikie milio ya risasi tunakimbilia kushuhudia sehemu zinapo lindima badala ya kujihami tunazifwata zinalia wapi ahahahah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Washasahau mzee wa kuchomoa betri😢
🎉🎉 naipenda nchi yangu Tanzania ❤❤
Wenzao waliunguaga wakakauka kama kuni hawakumbuki
Morogoro wanakaza fuvu wakati yashawah wakuta 😢
Morogoro jmn mpaka afe nan ndio muelewe hatari?
Daah washasahau haraka hivi yaliyowakuta wenzao?? Kweli binaadamu vichwa vigumu sana
wana vichwa vya panzi
Njaaaaaasaa
Mngewaacha asee kwani wamesahau mbona mapema sana
Dah jamn wananchiiii tubadilike jmn ndugu zangu
Aiseee watu wamesahau vifo
Duuuh kwel jaa baya jmn at hawaongopi
Hawaogopi tyuu yaliyowakuta wenzao?
Yani wana roho ngumu kwakweli
Morogoro - Morogoro Amuwakumbuki wenzenu miaka iliyopita, video mpaka Leo TH-cam zipo. 😔🙄😥😳😳
Tunakumbuka sana ila maisha😅😅
Tamaa ya hela itawaponza
😅😅😅😅😅😅😅
Washasahau
Njombe
Aise truck ya NFS poleni
Kuna watu washaanza kugema kwenye vidungu
😂😂😂
Nacheka kama mazuri.
Watu wanataka kufanywa NDAFU tena.
Weshasahau mkoani hapo hapo August 2021 kilitokea Nini...?