“Msimlipe mtu yeyote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote. Kama ikiwezekana, kwa upande wenu kaeni kwa amani na watu wote.” Warumi 12:17-18
Amen halleluya dada keren be blessed,akika dada when u saw that vision is true we need to work on this as married wifes may the Lord really help us my life has changed from Gino gennings teachings completely im looking upto one of his churches in Kenya that's where the true doctrine of God is.God bless u sister continue to teach us
Amiina Mungu akuzidishie sana . naomba your wassup no. Plz ... Nimepata ndoto nkiwa nanena kwa lugha na hii lugha imefanana na yako kabisa nafurahia kweli ni mm nanena
Dada keren Mimi nilikuwa nimeolewa miaka 20sijawai kufunga ndo na huyu mwanaume alikuwa namke wa kwanza waliachana na yupo Mimi baada ya kujua mafundisho yako nimemwacha nimemwambia arudi Kwa mke wake hataki na Mimi nimekatwa kumpa unyumba Nina mwaka mzima Sina amani naye tena analala chumba chake na Mimi changu Nina watoto 4je naomba uniombee dada mungu anipe mme kutoka kwake
“Msimlipe mtu yeyote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote. Kama ikiwezekana, kwa upande wenu kaeni kwa amani na watu wote.”
Warumi 12:17-18
Amen 🙏 🙏 MUNGU akubariki sana 🙏
Shalom Shalom Dada
Dada Keren Bwana akubariki sana,
Haleluya tubarikiwe sote na Bwana
Amen and amen
Ubarikiwe mtumishi Wa Yesu
AMEN AMEN ubarikiwe pia na Bwana
Amen amen amen
Amen Amen
AMINA ALLÉLUIA MAMAN
Ameeeeen
Mariam musa AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
MUNGU akubariki sana kwa kazi iyi mjakazi wa BWANA
AMEN Asante sana mjakazi wa Bwana, ubarikiwe pia
Halelujah,, Amen Amen ubarikiwe sana Mjakazi,,,napokea mafunzo ya kutosha hapa
AMEN AMEN mjakazi; Bwana apewe sifa
Ameeen
Sauti dd
Hahaha dada keren unanibariki sana
AMEN AMEN ubarikiwe na Bwana
Amen 🙏🏾
Ameeen barikiwa sana
AMEN AMEN
Amen dada❤
AMEN ❤
Amen halleluya dada keren be blessed,akika dada when u saw that vision is true we need to work on this as married wifes may the Lord really help us my life has changed from Gino gennings teachings completely im looking upto one of his churches in Kenya that's where the true doctrine of God is.God bless u sister continue to teach us
AMEN AMEN, glory to Jesus my sister may God help us all and be blessed too sister
Amiina Mungu akuzidishie sana . naomba your wassup no. Plz ... Nimepata ndoto nkiwa nanena kwa lugha na hii lugha imefanana na yako kabisa nafurahia kweli ni mm nanena
Wow Amen kwa ndoto hiyo Bwana Yesu apewe sifa number zangu zipo kwenye live ambayo imepita
Amena, naomba number yako nisungumze na wewe tafadhali
Sauti bado
Sikiliza yote
Dada keren Mimi nilikuwa nimeolewa miaka 20sijawai kufunga ndo na huyu mwanaume alikuwa namke wa kwanza waliachana na yupo Mimi baada ya kujua mafundisho yako nimemwacha nimemwambia arudi Kwa mke wake hataki na Mimi nimekatwa kumpa unyumba Nina mwaka mzima Sina amani naye tena analala chumba chake na Mimi changu Nina watoto 4je naomba uniombee dada mungu anipe mme kutoka kwake
Shalom shalom mjakazi wa Bwana, Bwana Yesu Kristo akusaidie ila nitafute whatsApp number zangu zipo kwenye live iliyo pita
Namimi naitaji namba
Mjakazi weka option ya kuweka offline
Oh asante sana dada nitajitaidi kufanya hivyo
Amen
Amen amen
Amen Amen
Amen