KUJITENGA NA MKEO ZAIDI YA MIEZI 4 ( MAFUNZO YA NDOA 7)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- KARIBU KATIKA CHANNEL YETU HII KWA VIPINDI VYA MAFUNZO YA DINI YA KIISLAMA NA DONDOO ZA AFYA
#nyundotv#masjidmtoroonlinetv#sheikhothmanmaalimtv#mwanahalisi#darsatv#hatuatv#khidmatv#millardayotv#manaratv#zanzibar#oman#kenya#alfatahtvonline#alhudatvkenya#kishkionlinetv#ustadhshaiionlinetv#mpalaupdates#africatv2#muhammadnassorbachu#simulizizone#tanzania#rwanda#uk
je kwa wale wenye sifa ya kusafiri zaidi ya miezi 6 nje ya nchì kwa ajili ya kufanya kazi je wanahukumu gani
Sheikh naomba kuuliza, hiyo talaka ilaa inaama ikishapita au mtu akiifanya ndo hatoweza kumrudia mkewake, akihitaj kumuowa tena au nimeskia vibaya, em naomba uniwekee wazi maneno yako
Amesema ni talaka isiyo rejea,kwamaana ikishapita huwezi kumrejea,sasa sijui kama unatakiwa kuanza mwanzo,imma ina eda sheikh nae katuacha njia panda kuna mambo ya muhimu hakuyazungumzia,yani mazungumzo yake hayajajitosheleza
Asante kwa suala lako,kwa faida ya wengi majibu tumewawekea ktk kipindi leo tafadhali sikiliza kwa makini