OMMY DIMPOZ AFUNGUKA UGOMVI WAKE NA WASAFI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 ปีที่แล้ว +3

    Jamani Omari nakupenda mpk naumwa nakupenda eti ishi sana mpnz wangu🥰♥️

  • @jumannerajabu8259
    @jumannerajabu8259 ปีที่แล้ว +4

    dah safi sana mwanangu omy nimtu unaejitambua huku toboa sikio wara bua kama joice

  • @fistonmpaka4012
    @fistonmpaka4012 ปีที่แล้ว +1

    mungu asifiwe sana kaka momy kwasa babu tume kuwa atuku sikiyi tuna shukuru tena gisi ume rudiya kwenye music

  • @samniza1763
    @samniza1763 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku sio wa kumpa airtime.

  • @samniza1763
    @samniza1763 ปีที่แล้ว +2

    Nyie mko busy kulipa machawa lol!

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 ปีที่แล้ว +2

    Ommy ana hekma

  • @ignatiomartinezjr940
    @ignatiomartinezjr940 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea point sana

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha ommy kituko

  • @samniza1763
    @samniza1763 ปีที่แล้ว +1

    Tena media za bongo ni hovyo kabisa hakuna ethics.

  • @hairuissa7452
    @hairuissa7452 ปีที่แล้ว +1

    Nkbr

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +3

    🥱🥱🤔😅🤣🤣🇷🇺🇨🇳💪

  • @wakatv3704
    @wakatv3704 ปีที่แล้ว +2

    Hana pesa atoboe atavaa mikufu ya mbwaa ama

    • @rashidyally8715
      @rashidyally8715 ปีที่แล้ว +1

      Hivi mo bahresa au dangote dangote mwenyewe from naijeria hawana pesa?:mbona hawajatoboa pua kutoboa pua au masikio ni ushoga tu

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 ปีที่แล้ว +1

    Mbona sauti hakuna

    • @jumannerajabu8259
      @jumannerajabu8259 ปีที่แล้ว +1

      sauti hakuna kwani apo inaongea redio au acha upuuzi ww kinachokiwa kuonbea mungu ampe afya njema

    • @andrewkilave3532
      @andrewkilave3532 ปีที่แล้ว +1

      Nivyoanza kufungua kwenye simu yangu kulikuwa hakuna sauti kumbe sikuongeza sauti. Shida yako umeanza kutukana bila kujua

    • @andrewkilave3532
      @andrewkilave3532 ปีที่แล้ว +2

      @@jumannerajabu8259 andika vizuri kwanza ndio uje na sio kudandia comment bila kuchunguza kiundani