Nabarikiwa sanaa katika siku kumi hizi za maombi na ni Imani Mungu ataenda kutenda kwa ajili ya mahitaji yangu ndani ya siku izi kumi tusikosee mibaraka hii ni Mungu TU pekee ataenda kutenda kwa utukufu wa jina lake
From kenya watching replay from Lebanon 🇱🇧 mungu atanitendea katika hizi siku kumi the pain have been feeling can't be compared with the joy am going to receive in this 10 days of prayer 🙏 mungu niko hapa nitazame masikio yako yanasikia sikia kilio changu mumgu kwa wakati upendekezayo
Kwa mujibu wa marko 11:24 na matayo 7:7 Mungu wetu atakutendea yeye hakawii wala hachelewi yuko kwa mda omba san kwa bidii ukijua kwamba mafanikio yetu yamebase sana kiroho zaidi heri ukose vya dunia lakini usimkose yesu Mungu akubariki sana 🎉
Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kusikiliza naomba Mungu ajibu maombi yangu leo
Nabarikiwa sanaa katika siku kumi hizi za maombi na ni Imani Mungu ataenda kutenda kwa ajili ya mahitaji yangu ndani ya siku izi kumi tusikosee mibaraka hii ni Mungu TU pekee ataenda kutenda kwa utukufu wa jina lake
Nami Mungu anijalie afya njema nina shida ya uti wa mgongo
Asanteni wapendwa naomba tafadhali zote tujiunge na maombi ya siku kumi mwaka, kama tumezoea kukosa wengine this time tusikose, Bwana yesu yu karibu ❤
Nimemarikiwa sana somo la jana mungu amubariki sana mchungaji Devid mmbaga amina
Nsuru mungu nabarikiwa nikiwa Saudi Arabia lakini nimukenya nasikia wepesi ndani ya mwili wangu
From kenya watching replay from Lebanon 🇱🇧 mungu atanitendea katika hizi siku kumi the pain have been feeling can't be compared with the joy am going to receive in this 10 days of prayer 🙏 mungu niko hapa nitazame masikio yako yanasikia sikia kilio changu mumgu kwa wakati upendekezayo
Mungu wetu ambaye ni upendo atakutendea mpendwa
Kwa mujibu wa marko 11:24 na matayo 7:7 Mungu wetu atakutendea yeye hakawii wala hachelewi yuko kwa mda omba san kwa bidii ukijua kwamba mafanikio yetu yamebase sana kiroho zaidi heri ukose vya dunia lakini usimkose yesu Mungu akubariki sana 🎉
Habari
@SebastianChediel Amen amen amen asante sana kwa kifungu barikiwa zaidi na tusidi kuombeana kila na wakati mungu awe nawe
It's fantastic lessons from Sabbath facilitators there forever let's join together inorder to archive a goal
Tuwakumbuke ndungu marafiki jamaa tuwaombee wawe imala kwajina layesu 🙏🙏🙏
Amina naomba namba tutume maombi
Nimebarikiwa nikiwa Oman Sana na nimepona ganzi katikati ya Ombi la Pr.Mbaga.
Mungu aliyeniponya aendelee kuinuliwa
Mungu atukuzwe
Mimi pia nimepona, Mungu ni mkubwa
Amen
Iyeyo
For watching Kerwa Rwensinga
Amen and Amen
Nimebarikiwa na somo la leo, muweke namba hapo maan nahitaji kutuma ombi mniombee
Sioni number yoyote hapa