UHARAMU WA KUSHEREHEKEA 'HAPPY BIRTHDAY'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 ปีที่แล้ว +7

    Shukraan sheikh kwa ukumbusho wako Allah akupe jannah firdaus I nasi waja wake dhaifu atuongoze njia ilionyooka Aamiin

  • @fatmaali2475
    @fatmaali2475 4 ปีที่แล้ว +5

    Allah Akbar.Allah atujalie tufate Yale alotuamrisha na kuacha yasiyofaa.Ammii.

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว +9

    Shukran sheikh kwa ukumbusho Allah akuzidishie umri wenye afya njema. Hakuna siku naichukia kama hii naikifika siku ya kuzaliwa kwangu namshukru Allah huwa nasahau

  • @neemakoi6635
    @neemakoi6635 8 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢allah awasamee maana mm nilikasirikiwa kisa naambiwa sijali watoto sijishughulishi na maswals yakuzaliwa kwakoo mm nimama nilioko aje😢😢😢 saii hawana imani na mm niliwaambis kus dua nimuhimu kuliko kila kitu. Nikamuachia allah ivo nilitaka kujua lilihalalishwa? Au ni haram nashukru Allah nilikua sahihi❤❤❤😊

  • @almasseleman8368
    @almasseleman8368 3 ปีที่แล้ว +1

    Allahumah bariik,,,,shukran saana sheikh kwa ujumbe madhubuti Allah akuzidishie kheri Insha Allah🙅🙅🙅

  • @zaitunimuhammad8546
    @zaitunimuhammad8546 3 ปีที่แล้ว +2

    يا الله اجعلنا من يسمعو و اتبع

  • @mubiynamakame7904
    @mubiynamakame7904 3 ปีที่แล้ว

    Jazakallah khayra Ni ujumbe mzito na umefikisha lengo kwa jamii shukran

  • @hadyaally6587
    @hadyaally6587 2 ปีที่แล้ว

    Shukran jazillah,jambo ni kubwa na hatari ktk jamii zetu

  • @esharmluba7655
    @esharmluba7655 2 ปีที่แล้ว

    Allah akujalie kwa kutupa elimu tunashkuru sana maana watu dini yetu tumeiweka pemben Nashkuru kwa kupata darasa

  • @Hasaniyusufu3689
    @Hasaniyusufu3689 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallaah ustqdhi ilove you shekhe wetu

  • @lutyali4964
    @lutyali4964 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakika ni mtihan Allah atusamehe tumeyatenda tusio yajua 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @allylichimba1493
    @allylichimba1493 5 ปีที่แล้ว +3

    Sheykh Ibrahim twaha
    Allah akubakishe
    Naajaalie manenoyako yawe yenye kubaki daima ilaa yaumi tubeathuuuuuuuun
    Allah akujaalie ikhlasw na akukinge na riyaaun
    الله المستعان

  • @hawachenela7650
    @hawachenela7650 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi shehe tunaelewa Sana mawaidha yako

  • @binothman9284
    @binothman9284 4 ปีที่แล้ว +2

    Innalillahi wainna ilayhi rrajiuun Shukran shekh wangu Allah akulipe kheri Inshaa Allah

  • @sidratybinkhamis2837
    @sidratybinkhamis2837 5 ปีที่แล้ว +6

    Binadamu wa sasa allah atuongoze .tumekua tukufuata mila zisizokuwa zetu .khelu siku hiyo ufunge sunna kwamkubwa . Na mtoto bora hiyo gharama umnunulie sadaka akatoe hata kwa yatima ama madrasan ama kwa wagonjwa .

  • @zuhuralawoga8455
    @zuhuralawoga8455 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran jazillah 🙏,, shekhe kwa elimu yenye manufaa

  • @masoudalbalush8834
    @masoudalbalush8834 3 ปีที่แล้ว +4

    Nani anaiangalia hii kila akiona stts ya birthday kwenye whatsapp
    Like kama na wewe unarudia rudia kama mm!!!!

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 4 ปีที่แล้ว +6

    sitofanya birthday tena wala sitomtakia yeyote

  • @mfaumeatimwanga9227
    @mfaumeatimwanga9227 5 ปีที่แล้ว +2

    mtihani tunao umetufikishia zima imekutoka shekhe.

  • @mrishojumaamrisho3212
    @mrishojumaamrisho3212 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa ujumbe siku zote mungu ananipenda sana huu ujumbe umekuja muda muafaka xana coz 20/10/ni birthday yangu kam nikiwa hai

  • @abuahlaam
    @abuahlaam ปีที่แล้ว

    Na je hizo anashid mnazoweka na sound effect zipo katika dini ama ni happy birthday pekee ... mkiamua k7fata uislam fateni kikamilifu msitague msoyapenda yakawa haram na mnayoyapenda halali .. happy birthday haifai na hizo.nashid pia yazifai wala.sound effects

  • @mudyjumanne7435
    @mudyjumanne7435 2 ปีที่แล้ว

    Kweli shee uyasemayo

  • @yasinijuma6646
    @yasinijuma6646 4 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania kaz kuiga,, tumeiga adi uchoko

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 11 หลายเดือนก่อน

    Ni mtazamo wa mtu kuwa halali ni mtazamo wa mtu kuwa haramu ni kama kuchana nywele au kusuka Haina andiko.kuvaa viatu au kutembea peku hamna andiko na kubatizwa sio kumwagiwa maji Wala kuoga Kuna vigezo na masharti kubatizwa ni kazma injili ihubiriwe kwanza na kubatizwa ni kuzamishwa ndani ya maji kwa jina la baba mwana na roho mtakatifu

  • @jamilahassan3582
    @jamilahassan3582 2 ปีที่แล้ว

    Shukurani

  • @jihadmohammady9355
    @jihadmohammady9355 4 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah Allah bilahy

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว +1

    Utakuta kizee anafanya hii kitu yani naichukia hii siku nikiona mtu anafanya natamani nimkimbie. Halafu watu wanafanya kwa kushindana kilammoja anataka awezaidi kuliko mwezie bora pesa nikazitole sadaka bas🙌😞

  • @mrishomasikini3290
    @mrishomasikini3290 3 ปีที่แล้ว

    Mash Allah

  • @yahayahabibu8827
    @yahayahabibu8827 4 ปีที่แล้ว

    Alla Akujalie kalibu kwetu

  • @mohamedmnjeja3271
    @mohamedmnjeja3271 4 ปีที่แล้ว

    Subhana Allah

  • @mfaumeatimwanga9227
    @mfaumeatimwanga9227 5 ปีที่แล้ว +2

    unasherehekea siku ya kuzaliwa maana yake nini? unafurahia kuiyacha dunia bila kujitasmin nimeumbwa na nikaletwa duniani.je mwenyewe kaniacha niishi nitakavyo? mimi kabisa kitu bathidei

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว +1

    هههههههههههههههههههههههههههههههههه sasa unabatizwa

  • @jmbwng9962
    @jmbwng9962 5 ปีที่แล้ว

    Mahasin 📺 with

  • @anasmalongo9071
    @anasmalongo9071 4 ปีที่แล้ว

    meseg sent

    • @abdulkarimsalim6309
      @abdulkarimsalim6309 3 ปีที่แล้ว

      Ukafiri 2 huo wengine mtapinga illa ujumbe ndo umefika kazi kwenu mashehe wanajitahid kupaza sauti zao waoneni wapumbavu mjielewe haswa wanawake

  • @KingPrince1917
    @KingPrince1917 4 ปีที่แล้ว

    Sheik mimi niko naswali .mimi na familiya yangu hatu hatusherehekei birthday ila rafiki akinialika kwenda ni makosa??nataka jibu sheik wangu

    • @suleimanmohmed1754
      @suleimanmohmed1754 4 ปีที่แล้ว

      mashaalla mwenyezimungu akulipe mema

    • @islamicvideos6177
      @islamicvideos6177 3 ปีที่แล้ว

      Ukhti ni makosa Kwenda kusherekea na rafiki yako birthday
      Anayepeana kisu kwa ajili ya kuuwa na muuwaji wote wakona makosa

    • @mwakabulufuahmed8494
      @mwakabulufuahmed8494 3 ปีที่แล้ว

      ndiyo ni haramu ata kula chakula cha sherehe zao.maana iyo ibada kwao. ALLAH akuongoze insha ALLAH. dadaangu

  • @aboubakarahmad234
    @aboubakarahmad234 3 ปีที่แล้ว

    Microphone unazotumia Ni bidaa

    • @hashimsalim1621
      @hashimsalim1621 3 ปีที่แล้ว

      A.alkum kijana nakupa nasaha tu kma ndugu yangu muislam kma jmbo alijakufurahi bora unayamaze kuliko kuleta istihizai katika dini mungu anachikia mno jambo hlo istihizai ktk dini mm ninaimani kumwa hya maneno ww yamekuingia ila bdo kuyatafakari tu ukiyatafakari utkuwa ktk wenye akili unjuwa ninaposemwa jambo dae jambo hlo ujikuta ulalichukia na unanchukia hta yule msemaji bs jambo hlo huwa unalo imaniyangu kukwa ww ni mwiongoni mwa wanosherehekea ila ujumbe umeshakufi ukifayia kzni Utoka na upotefu wa maigizo ulionanao ukiwacha hkun atake kuforce ukubli ila ujumbe umefika akili kichwani mwako

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 ปีที่แล้ว

      @hassan ally Microphone Ni Umagharibi Huo Kaka Au Wasemaje?!!