ESMA PLATNUMZ DADA YAKE NA DIAMOND AORODHESHA WANAWAKE WA KAKA YAKE /WEMA/ZUCHU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 150

  • @FatmaFyeku
    @FatmaFyeku 4 วันที่ผ่านมา +8

    Apendwaye na kaka ni wifi😂😂😂😂😂 yule atampenda chibu ss pia tutampenda😊

    • @YahyaMakame
      @YahyaMakame 4 วันที่ผ่านมา

      Hujambooo

  • @elizabethlekunani5638
    @elizabethlekunani5638 6 วันที่ผ่านมา +14

    Wa Zari Bado tupo sana❤❤❤

    • @OliviaOlivia-rh1eb
      @OliviaOlivia-rh1eb 4 วันที่ผ่านมา

      Team zari habibi come to uganda 🇺🇬 ❤❤❤

    • @judywambui3409
      @judywambui3409 3 วันที่ผ่านมา

      Zari ❤❤❤❤

  • @DevidKipala
    @DevidKipala 6 วันที่ผ่านมา +14

    Tupo Kwa zuchuuuuuu❤❤❤

    • @khadijaamour7654
      @khadijaamour7654 2 วันที่ผ่านมา

      Bado wengine wa pembeni huwajui tu😅

  • @shikoshania953
    @shikoshania953 4 วันที่ผ่านมา +4

    Kwa Wema tupo sana!!!

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 3 วันที่ผ่านมา +4

    Wema ndo habari. Ya mjini alimpenda dai. Wakati hana chochote

  • @HawaKatamara
    @HawaKatamara 2 วันที่ผ่านมา +1

    Zuchu watamuweka pembeni zarialiwika san̈a tena sana mama yawatoto wenu nikamaisiyo katika

  • @joycemallem7427
    @joycemallem7427 3 วันที่ผ่านมา +3

    Sisi mashabiki wata upepo😂😂😂

  • @yasminally1015
    @yasminally1015 3 วันที่ผ่านมา +2

    Asallam maalequ Allahadulilah Allahadulilah Allahadulilah Maashallah Maashallah Esma Allah hjelp you Ishaallaha Ishaallaha llove you so much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JanethSaka
    @JanethSaka 3 วันที่ผ่านมา +2

    M nampend xna zuchu hmuowe tuhtaleo❤❤

  • @RaylaElmi
    @RaylaElmi 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa zuchu tupo wengi❤❤❤❤❤

  • @happypiusi3801
    @happypiusi3801 6 วันที่ผ่านมา +12

    Mna roho mbaya

  • @zulfakibwana2330
    @zulfakibwana2330 3 วันที่ผ่านมา +2

    Zari kiboko bwana❤❤❤❤❤

  • @Lizawansima
    @Lizawansima 6 วันที่ผ่านมา +4

    eeee kaka yako.mweana tuonesha tu na mu shabikia zuchu jo iko kwa sasa ❤❤❤

  • @TatuJanuary
    @TatuJanuary 2 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤ zuchu nice

  • @DeborahLongor
    @DeborahLongor 3 วันที่ผ่านมา +2

    Usituone kama matako yako dada...tushajua kuna mwingine anakuja bado..😂😂😂

  • @sakinaomary7207
    @sakinaomary7207 5 วันที่ผ่านมา +10

    Wema bado tunampenda

  • @NgomboAggy
    @NgomboAggy 6 วันที่ผ่านมา +10

    Kaka ndo ana msimamo

  • @azizawaziri1507
    @azizawaziri1507 3 วันที่ผ่านมา +3

    Yaani tuko kama bendera tunafata upepo😂😂😂😂 sisi mashabiki maandazi

  • @vero57
    @vero57 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mie niko kwa zari na tanashaa

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 3 วันที่ผ่านมา +1

    Yuda kachokaa kusemwa 😅😅😂😂😂 Na Zuchu soon atatupwa hukoo

  • @SelemaniMndai-ox8dy
    @SelemaniMndai-ox8dy 4 วันที่ผ่านมา +3

    Funga domo . Nanyinyi ndugu si mpo ivoivo kira mwanamke akiwa nae nduguyenu mnamfuraina na kumnanga, kwanini mnashindwa kumpa msimamo ndunguyenu aoe mke akaturia tatizo wazinifu mama mzazi Hana ndoa namtoto ndio anazidi kuzini kishelia diamond watoto alio zaa nje ya ndoa sio wake😏😏😏😏

  • @AlinifaVwalema
    @AlinifaVwalema วันที่ผ่านมา

    Nampenda Zuchu hana mengi

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 4 วันที่ผ่านมา +2

    TEAM TANASHA BADO TUPO SANAAA

  • @minnahhers7437
    @minnahhers7437 3 วันที่ผ่านมา +1

    waache kufata maisha ya watu...kila mmoja afate lake

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 4 วันที่ผ่านมา +2

    Esma we mrembo sana .

  • @ShabaniNgoma-n2e
    @ShabaniNgoma-n2e 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmh huu ni upuuzi umenimalizia mb zangu asio na msimamo nimdogoako cjui angekua mwanamke ingekuaje

  • @fridamnyambii7175
    @fridamnyambii7175 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kwamba kwa zuchu atakuja mwingine tena hata wew dada unaroho mbaya tayari kumuombea tuu kaka yako apate mwingine vibaya hivyo

  • @ramladhire
    @ramladhire 3 วันที่ผ่านมา +1

    Aliyempenda diamond ukweli kwa dhati ni wema

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 4 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe mwenyewe mnafkii ata usiongeee kbs

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 5 วันที่ผ่านมา +3

    Zuchu ndio kigoma mwisho wa relli,haiingii mtu hatoki mtu right!!!

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 4 วันที่ผ่านมา

      Na ndiyo tunataka wakae kimya hivyo hivyo mana tunajua yy na mama yake ndiyo wanafiki wa kwanza

  • @beatman401
    @beatman401 2 วันที่ผ่านมา

    Diamond anachezea Wanawake kama Ugali,Sio Nzuri Ata yeye Anamadada, je atapenda madadazake wachezewe kama mpila?from🇰🇲🇰🇲🇰🇲comoros

  • @pyraxme
    @pyraxme 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe pia huna msimamo
    Ni mnafiki mkubwa
    Huna elimu wacha ujinga

  • @Rita-c5u2g
    @Rita-c5u2g 4 วันที่ผ่านมา +1

    Simba chibu alipo kaka sisis tupo kwa daimondi

  • @Godelivemwamba-z6p
    @Godelivemwamba-z6p 5 วันที่ผ่านมา +1

    Zuchu ni msaniii hata akiachana na simba tutaendelea ku mu shabikia kwa musik wake mzuri ambawo tunapenda.

  • @AngelaMpogola
    @AngelaMpogola 6 วันที่ผ่านมา +4

    Nyinyi wachawi Wewe n'a mamaako mnamroga zuchu wetu

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 3 วันที่ผ่านมา +1

    Usituchambe kwendra buana utajijua mwenyew😢

  • @MessyProsper
    @MessyProsper 5 วันที่ผ่านมา +5

    Sasa apo mashabiki wanakosa gani apo ongea na kaka ako atelier na mmoja

  • @comm611
    @comm611 6 วันที่ผ่านมา +7

    msimamo wetu. uko kwa zuchuuuuu

  • @richardkiritha
    @richardkiritha 5 วันที่ผ่านมา +2

    Kumbe baadae anakuja mwingine

  • @NasraWaziri-l9f
    @NasraWaziri-l9f 5 วันที่ผ่านมา +4

    Wawema❤❤

  • @shamlimah5682
    @shamlimah5682 5 วันที่ผ่านมา +2

    Wema❤❤

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 5 วันที่ผ่านมา +1

    ONGELEYA YA KWAKO MBONA WEWE UNAUCHAFU MWINGI KAMA FAJIYO LA CHOO CHA TANDALE

  • @esternkwabi181
    @esternkwabi181 4 วันที่ผ่านมา +1

    Anamaanisha zuchu nae atapita , huyu nae mnafki tu
    Apo anamsema tu zuchu ataachwa , na kakukomesha

  • @QueenNelson-y8t
    @QueenNelson-y8t 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa hamisa bado tupo

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 3 วันที่ผ่านมา +1

    SASA ASIYEKUWA NA MSIMAMO NI KAKA YAKO

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 4 วันที่ผ่านมา +1

    Unajifanya hauyajuwi mahusiyano ya diamond na Aalliya wewe chazo cha kuacana Aaliyaah alifumwa na keni unafikiriya atuyajuwi na mimba katowa

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 5 วันที่ผ่านมา +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤naweye ndoaababu

  • @mumtazshee1582
    @mumtazshee1582 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ukiona hv ni kumaanisha wamemchoka zuchu

  • @fadhilamumbi6081
    @fadhilamumbi6081 3 วันที่ผ่านมา +1

    Zuchu anaolewa lini mbona mnampotezea muda?

  • @Rita-c5u2g
    @Rita-c5u2g 4 วันที่ผ่านมา +2

    Alipo kaka sisis tupo

  • @Fatma-rj7vs
    @Fatma-rj7vs 6 วันที่ผ่านมา +4

    Kweliii wapeee

  • @alanoudalseari7208
    @alanoudalseari7208 3 วันที่ผ่านมา +2

    sema yako kwanja

  • @madammubiruhamsin5205
    @madammubiruhamsin5205 4 วันที่ผ่านมา +1

    kwa Hamisa tupo tumehamia kwa Zuchu.

  • @MayasaKitambwa
    @MayasaKitambwa 4 วันที่ผ่านมา +2

    Sisi mashabiki ni bendela sasa kama wameachwa tuwashabikie nn😂😂😂

  • @ashajongo7670
    @ashajongo7670 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe na mamaako mnalala na daimond malaya na wachawi

  • @catherinesembeka1417
    @catherinesembeka1417 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wanawake uliowataja wote hao hakuna mke kati ya hao ilitakiwa baada ya zuchu mondi akimtaka mwanamke yeyote wamkatae naona kama ameshaona jinsia ya kike kama binam zake.

  • @catherinesembeka1417
    @catherinesembeka1417 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka Yako ndo Hana msimamo kati ya wote uliowataja hakuna make tu.

  • @RajabuRamadhan-cy4cj
    @RajabuRamadhan-cy4cj 4 วันที่ผ่านมา +1

    Esma umeyataka ungekaa tu kimya ungezulika na nini jamani😂

  • @JustNadia322
    @JustNadia322 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli kabisa Esma

  • @AngelaMpogola
    @AngelaMpogola 6 วันที่ผ่านมา +4

    Wanga www n'a mamaako mnamrogamahusiano ya ndugu yenu ilakwa zuchu mmechemsha

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 6 วันที่ผ่านมา

      Huwezi shindana na mama wa mtu ukashinda

    • @AishaNgoyi-vi2ku
      @AishaNgoyi-vi2ku 6 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabsa

  • @malkamohammed4821
    @malkamohammed4821 5 วันที่ผ่านมา +5

    Wema tupo 🌹❣️❣️

  • @LatifaRajabu-l3n
    @LatifaRajabu-l3n 4 วันที่ผ่านมา +1

    We mwenyew wifi maandaz kila dem wakaka yako unamkubal na unaishi nao

  • @WahidaHilaly
    @WahidaHilaly 5 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa hv Mond amekua Ashikiwi Akili nendeni zenu uko😏😏Sasa hv wamekutana Mond kin'gang'a Mond kin'gang'a kaeni Kwa kutulia 😅😅

    • @triceyanga
      @triceyanga 4 วันที่ผ่านมา

      mpk amuoe ndo useme hiyo kauli😂

  • @minnahhers7437
    @minnahhers7437 3 วันที่ผ่านมา +1

    hao ndo binadmu hawatabiriko

  • @WivinaFrance-xn3mk
    @WivinaFrance-xn3mk 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe nyie ndo mnafanya zuchu asiolewe😭

  • @omranalbarwani7190
    @omranalbarwani7190 5 วันที่ผ่านมา +1

    Shetaninŷie mnafiki ni wewe!!! Sasa hutaki wShabikiwe sisi ndio mabosi wa huyo mond bila sisi angering?? Kwanza huzaliwi nae mond yupo peke yake😂😂

  • @HaznaLuhanjo
    @HaznaLuhanjo 2 วันที่ผ่านมา

    Aliya mbona umemuruka😊

  • @Mb0g0z
    @Mb0g0z 2 วันที่ผ่านมา

    Kasemaje naye zuchu atapita atakuja mwingine

  • @hamisaally968
    @hamisaally968 3 วันที่ผ่านมา

    Yaani jinsi gani ndugu yako alivyokuwa mzinifu hadii majina mnayasahauu mtihanii huu

  • @khadijaamur6032
    @khadijaamur6032 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona na ww kaja wakuache, msauzi, na huyu serengeti boy wooteee tuliwashabikia mda wao kila mmoja😂

  • @PriscarKandonga
    @PriscarKandonga 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ila mond kawakula karibuni wote mastar

  • @ZayMandepa
    @ZayMandepa 3 วันที่ผ่านมา

    Ivi awa mbwa wasikuangaishe achananao awajielewi

  • @claudia1500
    @claudia1500 3 วันที่ผ่านมา

    Mimi ni team Allyah kama wewe Yuda😂

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 3 วันที่ผ่านมา

    Mnafki Wewe na mamako, sisi mashabiki maandazi na wewe na mamako mashabiki kaimati

  • @beatricenjambi5695
    @beatricenjambi5695 5 วันที่ผ่านมา +2

    Soooo huyu anamaaanisha niniiiii😅😅😅😅 roho mbaya

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 2 วันที่ผ่านมา

    Ila wote zary the best

  • @NasraWaziri-l9f
    @NasraWaziri-l9f 5 วันที่ผ่านมา +2

    Umezeekaaa

  • @SarahKwekwe-dt9zx
    @SarahKwekwe-dt9zx 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mafiwi wengi mpaka huwakumbuki Santa

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 5 วันที่ผ่านมา +1

    Hao ni mashabiki wa kakaako kwaiyo usiwalaumu

  • @yusternyirenda7231
    @yusternyirenda7231 5 วันที่ผ่านมา +1

    Tupo na zuchu mpaka wewe na mama yako mjue kumaind maisha yenu 😂😂😂 mnavyotaka na cc mashabiki wa zuchu TUNATAKA

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 4 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣🤣wooooyoooooooo 👌

  • @sakinaomary7207
    @sakinaomary7207 5 วันที่ผ่านมา +2

    Hamisa pia tunampenda hatuingilii maamuzi ya mahusiano ya mtu

  • @giztony2009
    @giztony2009 5 วันที่ผ่านมา +1

    Umezeekaaa ngoja yule mtoto wako atiwe mimba uitwe bibi pumbavuuuu

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 6 วันที่ผ่านมา +1

    Zary bdo tunampenda miaka mia.Hyo kaka yko ndio anawaleta kwenye mitandao.Kzi yawashabiki nikuchambua.Usituchambe.Hmtaki msijiposti msituleteee mambo ynu yandani yafamiliya humu kwenye mitandao.Kaeni kwakutulia

  • @MwanahamisNyenzi
    @MwanahamisNyenzi วันที่ผ่านมา

    Zari ndo mwanamke apendwae na sisi kina wifi

  • @Maryam-s6e
    @Maryam-s6e 2 วันที่ผ่านมา

    Ww ni yuda tu mwanzo mwisho😂😂

  • @arafaomari1832
    @arafaomari1832 5 วันที่ผ่านมา +1

    Da mondi sipo poa wote kapita nao

  • @irenemakundi-og9xg
    @irenemakundi-og9xg 3 วันที่ผ่านมา +1

    We yanakuhus nn

  • @TatoOman-s5t
    @TatoOman-s5t 3 วันที่ผ่านมา

    Bendera twafata upepo

  • @ZahalaOmaly
    @ZahalaOmaly 5 วันที่ผ่านมา +1

    Alipo mondi na sisi tupo😂😂 ata akimpenda ebitoke tutamshabikia😂😂

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 4 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂si ndio sasa anataka tubaki ampapo kaka yake hayupo

  • @Mb0g0z
    @Mb0g0z 2 วันที่ผ่านมา

    Tatizo diamond sisi tunafata tu upepo.

  • @MumClage
    @MumClage 6 วันที่ผ่านมา +1

    Good ❤

  • @Rita-c5u2g
    @Rita-c5u2g 4 วันที่ผ่านมา +1

    Daimondi kaka wa Tanzania sio wako peke yako

  • @SigwaMkinga
    @SigwaMkinga 4 วันที่ผ่านมา +1

    Aripo. Mondiiii tupooo nyokooo ww

  • @MonicaBenito-x8n
    @MonicaBenito-x8n 4 วันที่ผ่านมา +1

    Joketi umemsahau

  • @DianeManirakiza-vt5bl
    @DianeManirakiza-vt5bl 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa kaka yako mwenyewe hajatulia na wowote

  • @LailatAbdullah-w9d
    @LailatAbdullah-w9d 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Usitusumbue hana msimamo kaka yako sasa kaka yako anawaacha watakujakua mashabiki

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi kuhama apana namutakazar

  • @VictoriaSamson-x5p
    @VictoriaSamson-x5p 4 วันที่ผ่านมา +1

    Tutamshabikia weeeee

  • @NasraWaziri-l9f
    @NasraWaziri-l9f 5 วันที่ผ่านมา +1

    Umefulia sikuizii

  • @Godelivemwamba-z6p
    @Godelivemwamba-z6p 5 วันที่ผ่านมา +1

    Maman yuda upo tuuuu