ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nipo moja muheshimiwa
Safi sana MBUNGE mahili sana. Niko Kigoma nimemkubali jamaa ni CHUMA kwelikweli hongereni mliomchagua.👏👏👏
Hatari kwa mndomo tu vitendo ziro
🤣🤣🤣🤣wawakilishi wazur tunashukuru kwa habar unazotupa bro millad ayo🙏🙏
Tuko pamoja mbunge wetu hiyo ndo kazi tuliyokutuma mungu akubariki
Piga kazi Mh.tumewatuma na tunawaamini Flatei na Mh.Isaay 👏💪
Yaan baba uko vizur sana duh raha kumcjagua anayejielewa saf sana
Kama hilo nalo hawajasikia,kweli tutazinguana.hongera sana kwa kufikisha kero za wananchi.
Milard ayo habari zako ni za kweli,hongera sana!.
Safi sana tukiwa na viongozi kama hawa tutafika mbali
Penda sana mh..Flatei
Huyu ndio anajua kilicho mpeleka bungeni.
kwelii
Nimeipenda sana nipige sarakasi?
Leo umeongea kweli manyara tuko nyuma yaani barabara mbovu sana
Hatimaye akapiga sarakasi bungeni mwaka moja baadae😁
Hahahhaha
Hooovyooo bungeni hii mijitu, hamna kinachofanyika wote wanafocus kwenye vile watatoka kwenye mitandao.
Barabara ya kilombero,ifakara, hadi malinyi ni shida jamani duuu cjui mtatusaidia lini
Hongera sana Mheshimiwa Flatei
Safi sana Mbunge. Umechangia vizuri sana.
Safi sanaaa tumewatuma
Hongera sana mheshimiwa
Me chadema lakin maneno yako nimeyakubali
Awamu ya 6 Nani kamchagua bhana,Samia sio rais wa awamu ya 6 bado ni awamu ya tano
Tena kushika nafas ya mwezie tu c yake
Hukutumwa sarakasi ni aibu wananchi Kama wanakusikia Ila muhimu kujua hatima ya watu unaowaongoza
Hahahahaahha hatari Sana Mbuge wetu huyo anauchungu
Pole sana mheshimiwa,tunalia 😭😭😭😭
Mbona asipige sarakasi kuhusu peshen ya dereva wake
Huyu ndio mwawakilishi sasa
That's is why you're her mr flatey big up kaka angu
Hapo maneno
Mbona tie nyekundu
hali mbaya,tunawataka wabunge kama huyu
Mh flatei anaongea kwa machungu Sana
Ila huyu jamaa kaongea point na kwa uchungu sana
Hahahaaaa.!Kwa Uchungu Sana.
Mbunge wa mufindi kusini yumo humo ndani hii inamuhusu au ndo
Mshikaji anaziruka angeruhusiwa mambo tangekuwa hot kwel
wangemuach apigee sarakas
We piga sarakasi kadhaa hapo nahs watakuelewa 😅😅😅😜😜😜
Piga sarakasi mzee baba
Huyo mtu anafanana na lowasa
Kaka yangu amenifurahisha
Sekunde ya 21 imeachiwa me naiangalia like za kutosha
Upembuzi ni usanii wa wizara
Hizi ndo hoja za msingi tunazotaka za kutetea wananchi siyo kupiga vijembe
Huyu jamaa Yuko vizuri cy Kama wa bbt vijijini katulia bungeni
😂😂 tatizo ni hiyo tai.
Manyara hoyaaaaa
Hoyeeeeee
Hahaha wabunge wa ccm hao!
Naibu spika kazingua,tunaitaka hiyo sarakasi 🤔
Bongo sihami komedi Hadi bungeni 😀🤣
Ukipiga salakasi ndiyo hela😆😆😆😆😆
Kashapiga uko 😂
Namuona magogo
He yamekua hayo jmn🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo waziri wa ujenzi kazi yake ni nini
PIGA SARAKASI WAKUELEWE !!!
Tie nyekundu yenyewe inasemaje?
th-cam.com/video/4l07S_4Jw3o/w-d-xo.html
Ako on fire😂🔥🤣
Ni hatari huyu jama namkubali
@@patriciahkiio9692 kama wewe vile😛😛
Naomba kujua tie nyekundu inatoa ishara gani bungeni?
Wabunge wanaingia bungeni washatumia malijuana
Huyu mbunge ana akili sana
🤸♂️🤸♂️🤸♂️
Duuuu haya chacha,,, Hii ndio sisiem buaana
😭😭😭😭😭😫
Wabunge wanaingia bungeni wameshakunywa gongo 😆😆😆
Hilo bunge lataka machizi hivyo
huyu jamaa hadi nimeumia watu kama hawa wapo wachache sana
Wapo kibao wananyamazshwaga km ulikua hujui
😃😃😃
Hapa ndo unajiuliza baadhi ya wabunge wameingia vipi bungeni. They belong vijiweni
Pigaaaaaaaa
Kakaetuuuuuuuu !!!!!!¡ Safiiiiiiiiiiiiiii mbunge wetuuuuuu
🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaaaaaa!!!
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
😂😂😂
Sawa mmbulu
Pigaa unatutsha
piga ufeeeee....
Nipo moja muheshimiwa
Safi sana MBUNGE mahili sana. Niko
Kigoma nimemkubali jamaa ni CHUMA kwelikweli hongereni mliomchagua.👏👏👏
Hatari kwa mndomo tu vitendo ziro
🤣🤣🤣🤣wawakilishi wazur tunashukuru kwa habar unazotupa bro millad ayo🙏🙏
Tuko pamoja mbunge wetu hiyo ndo kazi tuliyokutuma mungu akubariki
Piga kazi Mh.tumewatuma na tunawaamini Flatei na Mh.Isaay 👏💪
Yaan baba uko vizur sana duh raha kumcjagua anayejielewa saf sana
Kama hilo nalo hawajasikia,kweli tutazinguana.hongera sana kwa kufikisha kero za wananchi.
Milard ayo habari zako ni za kweli,hongera sana!.
Safi sana tukiwa na viongozi kama hawa tutafika mbali
Penda sana mh..Flatei
Huyu ndio anajua kilicho mpeleka bungeni.
kwelii
Nimeipenda sana nipige sarakasi?
Leo umeongea kweli manyara tuko nyuma yaani barabara mbovu sana
Hatimaye akapiga sarakasi bungeni mwaka moja baadae😁
Hahahhaha
Hooovyooo bungeni hii mijitu, hamna kinachofanyika wote wanafocus kwenye vile watatoka kwenye mitandao.
Barabara ya kilombero,ifakara, hadi malinyi ni shida jamani duuu cjui mtatusaidia lini
Hongera sana Mheshimiwa Flatei
Safi sana Mbunge. Umechangia vizuri sana.
Safi sanaaa tumewatuma
Hongera sana mheshimiwa
Me chadema lakin maneno yako nimeyakubali
Awamu ya 6 Nani kamchagua bhana,Samia sio rais wa awamu ya 6 bado ni awamu ya tano
Tena kushika nafas ya mwezie tu c yake
Hukutumwa sarakasi ni aibu wananchi Kama wanakusikia Ila muhimu kujua hatima ya watu unaowaongoza
Hahahahaahha hatari Sana Mbuge wetu huyo anauchungu
Pole sana mheshimiwa,tunalia 😭😭😭😭
Mbona asipige sarakasi kuhusu peshen ya dereva wake
Huyu ndio mwawakilishi sasa
That's is why you're her mr flatey big up kaka angu
Hapo maneno
Mbona tie nyekundu
hali mbaya,tunawataka wabunge kama huyu
Mh flatei anaongea kwa machungu Sana
Ila huyu jamaa kaongea point na kwa uchungu sana
Hahahaaaa.!
Kwa Uchungu Sana.
Mbunge wa mufindi kusini yumo humo ndani hii inamuhusu au ndo
Mshikaji anaziruka angeruhusiwa mambo tangekuwa hot kwel
wangemuach apigee sarakas
We piga sarakasi kadhaa hapo nahs watakuelewa 😅😅😅😜😜😜
Piga sarakasi mzee baba
Huyo mtu anafanana na lowasa
Kaka yangu amenifurahisha
Sekunde ya 21 imeachiwa me naiangalia like za kutosha
Upembuzi ni usanii wa wizara
Hizi ndo hoja za msingi tunazotaka za kutetea wananchi siyo kupiga vijembe
Huyu jamaa Yuko vizuri cy Kama wa bbt vijijini katulia bungeni
😂😂 tatizo ni hiyo tai.
Manyara hoyaaaaa
Hoyeeeeee
Hahaha wabunge wa ccm hao!
Naibu spika kazingua,tunaitaka hiyo sarakasi 🤔
Bongo sihami komedi Hadi bungeni 😀🤣
Ukipiga salakasi ndiyo hela😆😆😆😆😆
Kashapiga uko 😂
Namuona magogo
He yamekua hayo jmn🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo waziri wa ujenzi kazi yake ni nini
PIGA SARAKASI WAKUELEWE !!!
Tie nyekundu yenyewe inasemaje?
th-cam.com/video/4l07S_4Jw3o/w-d-xo.html
Ako on fire😂🔥🤣
Ni hatari huyu jama namkubali
@@patriciahkiio9692 kama wewe vile😛😛
Naomba kujua tie nyekundu inatoa ishara gani bungeni?
Wabunge wanaingia bungeni washatumia malijuana
Huyu mbunge ana akili sana
🤸♂️🤸♂️🤸♂️
Duuuu haya chacha,,,
Hii ndio sisiem buaana