@@mtangacomedy sio kuwakatisha tamaa. Mimi ni shabiki yenu since kitambo unaposema hivyo unazingua mno. Sisi mashabiki ndo hua tunaona kazi nzuri au mbovu. Combination yenu na zimwi hua mnafanya kazi nzuri sana. Siku hizi Masai haonekani hata yy hua anafanya poa sana. Sikitu mlimtimua au vipi?? Alikua anafanya poa sn.
Safi sana kazi nzuri our best comedians of all the time
Hahaaaaaa bamboo fala,eti nitakuhonga kitu kingne
Huyo dada anaedai hati ya nyumba anajua kuigiza sana shirikianeni nae Sana ili azibe pengo la sikitu
Bambo Na Mtanga kazi safi💪
Mtoto mdogo kiatu kusema kitanibana😂😂😂
Mtanga tabiya mbaya hiyo 😥😅😅😅😅🤦♂️🤦♂️
😅😅😅umezaa wezi
Omar Aboud upewe tuzo mtanga commedy,deile wakwanza kupokea mzigo wa , wataaaram wetu mtango commedian
Hii saf sana ulitaka africast ndo hyo
Second comment...greetings from Manchester United kingdom
Thank you guys awesome video
Asante sana
😀😀😀 wakongwe kazin
Nitakuhonga kitu kingine
Masihalo masihalo kama babu na mjukuu.
Mwambie adaiwe adi zambi😅😅
Lakini haka kasura Ka mtanga kanakaa tuu kakuchekesha😅
wako wengi hao wanaopitia hiyo mitihani
Baba lenu nambar ek wenu kama kawa kama dawa naload taratibu na mzigo huu mkubwa kwa hisani kuu ya Mtanga Comedy
Heshima kwako
@@mtangacomedy asante sana Mkuu ubarikiwe hadi uote nywele kuchwani
Baba mkwe acha tamaa 😅
Sema hii ipo unakuta mzee kapagawa na penzi la binti anatoa hati ya kiwanja 😂
Bambo ni hatari
naomba like tu
Ili iweje?
Yuku wapi zimwi
Bila zimwi hua mnachemka sana aiseee 😂
Sio kweli na usitukatishe tamaa bro
@@mtangacomedy sio kuwakatisha tamaa. Mimi ni shabiki yenu since kitambo unaposema hivyo unazingua mno. Sisi mashabiki ndo hua tunaona kazi nzuri au mbovu. Combination yenu na zimwi hua mnafanya kazi nzuri sana. Siku hizi Masai haonekani hata yy hua anafanya poa sana. Sikitu mlimtimua au vipi?? Alikua anafanya poa sn.
Tunamtaka zimwi
Zimwi akiwepo hua wanaupiga mwingi sn
😂😂😂😂👍🥰♥️♥️🙏
🇰🇪🇹🇿
Yuwapi zimwi
Alikuw anaumwa
😂😆😆😆 mtanga umeiona nguvu ya zimwi ss?
🤣🤣