Welcome tanzania karibu magufuli bus terminal kwa usafiri wa mikoani even nchi za Africa mashariki na kati pia Also mbali na usafiri na usafirishaji pia kupo na fursa kedekede kama biashara ofisi za kiserikali so unapokuwa magufuli bus terminal unakuwa tayari umefika katika kitovu cha jiji la Dar es salaam Tanzani 🎉 Karibu sana jiji salama zaidi Duniani ❤
I like for sure
Wow
Amazing 👏 🎉😂
Good information ❤
Hapa ndio pangekaa magufuli bus terminal
Welcome tanzania karibu magufuli bus terminal kwa usafiri wa mikoani even nchi za Africa mashariki na kati pia
Also mbali na usafiri na usafirishaji pia kupo na fursa kedekede kama biashara ofisi za kiserikali so unapokuwa magufuli bus terminal unakuwa tayari umefika katika kitovu cha jiji la Dar es salaam Tanzani 🎉
Karibu sana jiji salama zaidi Duniani ❤
Zamani ilikuwa watu wanalala Hadi kituoni nakumbika nilienda moro nikajikuta napanda IT cars