I called the person incharge of the apartment wanting know about the house. He refused to talk to me because I had called from a landline. He categorically told me he doesn't answer or discuss anything by people calling him from a landline. Mind you I used an app to call from here to Kenya. Sometimes it happen because the appp we use will connect with a proxy random number. That means even me I was not aware of the number showing on his phone. But hio ni kiburi ati hawezi ongea na mtu akimpigia from Landline
Mabwana wengine hawapendi kukupiga wewe bibi direct. Hutumia family zao. Ndio wao waonekane wazuri. But hiyo ni kifumba macho. Ni yeye huyu huyu bwana anakupiga, but kutumia watu wao. Usijisumbue, toka ukiweza. Toka kabla hakili hazijajifunga zaidi kwa hayo mateso.
Huyu story hajui kupeana ama ana guess her own story hata kama alikua naive at that age right now she's mature enough to narrate her story mpangilio ..shes ommiting mzee and the kid in her story only focusing on her and the Her mom so boring
huyu mama ni mkora maneno yake hata haieleweki anarukaruka hata hajatuambia ameka na hiyo jama miaka ngapi na hajatuambia alishika mimba ya pili lini na hako na watoto wangapi kwani hakukuwa na akili ya kufikiria kinacho endelea .kwanza hapo kwa kusema ati alimkuta bwanake na mtoto kwa kitanda first reaction kabla kuenda kwa landload alifanya nn.
Don't brame the girl.maybe mama yake used kumuacha anarapiwa na huyo dad wake bt the mother ajui cox yy attention yake ilikuwa Kwa mama yake juu akuna mahali tunaona akikaa na huyo mtoto kuuuliza ako aje after kujua bwana alikuwa anamtoa nguo na anapereka kichwa chini may it worse nt only Abt kutolewa nguo tu other things like fuck was happening from the tym walifika uko tanzania ,Take heart mama na utafute mtoto wako cox you have a lot to discuss
Ukirapiwa just take care sana kwa huyo mtoto,the same spirit may follow your kid,if he’s a boy he maybe sodomized if she’s a girl she may get raped like you,that’s why huyu mtoto alimalizia kulala na mzee wako😢😢😢😢aki huyo babako namuhurumia sana shamba ikauzwa mama amekula imeisha amekufa,huyu mama alizikwa wapi
Today guest number +254796437482 ...pray and guide her pain we always need each other
😅
Kuongea ni form of healing therapy.
Mwangi hio background noises imezidiiiTAFATHALIII!!!
😢😢😢😢😢😢😢😢
Nani mwingine siku hizi anakuja kwa comment section kwanza kama mimi😅😅😅😅
Dont judge her she was taken advantage at such an early age..imagn 13 yrs what meaningful decision can any child do ..very vulnerable...poole dada
Why that body exposure.directors guide your clients.otherwise pole
I called the person incharge of the apartment wanting know about the house. He refused to talk to me because I had called from a landline. He categorically told me he doesn't answer or discuss anything by people calling him from a landline. Mind you I used an app to call from here to Kenya. Sometimes it happen because the appp we use will connect with a proxy random number. That means even me I was not aware of the number showing on his phone. But hio ni kiburi ati hawezi ongea na mtu akimpigia from Landline
Hi,Kris,s Mwambie huyo mugeni wako afinike matiti tumechoka kuiona.
Huyu mama nikama anazunguka kwa kila media house...mama take a pause,heal and pray...ata sikuskizi tena.Let me skip on this one😊
Media gani? Ni check nione kama story kama ni ile ile
Mimi sijawahi ona, naamini kuna wengine kama mimi
@@nyarsakwa1492she has been to more than 3
I was busy listening but then I realized I have watched this more than 2 times in different channels, I think ni watu hawachangi
@@Zainab_salat symo k ,nikio kiigaga tv
Huyu dem bana amfungua media business big up duu pole
Huo ni mseto kuchanganya wanaume 😮😮
Mabwana wengine hawapendi kukupiga wewe bibi direct. Hutumia family zao. Ndio wao waonekane wazuri. But hiyo ni kifumba macho. Ni yeye huyu huyu bwana anakupiga, but kutumia watu wao.
Usijisumbue, toka ukiweza. Toka kabla hakili hazijajifunga zaidi kwa hayo mateso.
Maybe she wants to start her own podcast later to assist women who have gone through a rough patch in life,a situation known as"Mugerekanio"
Prt 2 iko wapi
What is going on in Naivasha? So many stories in Naivash.
Nimesoma comment nimeshashiba na hii story next
Pole sana mrembo haki
Weee pole sana My dear hii inauma akii watching from Saudi 😢😢😢😢
Instead ya kufanya umalaya na mama yako siungechukua mtoto wako upotee na ukaanze life yako! Ingine ni laana mtu anatafuta kwa life
Let me ask, hii nguo yake bona iko hivo inaonyesha bra, si aweke kipini? N story is very boring
C aende avae ingine mmmmh ata amefanya nirudi tiktok
Very sad story!!!
Watu wawache kuwa sympathy saker wafanya job
Mamako anakuuza tu kama ngombe
Na caro wa mwangi kriss alienda wapi😅😅😅...i miss those moments za loyalty test
Huyu story hajui kupeana ama ana guess her own story hata kama alikua naive at that age right now she's mature enough to narrate her story mpangilio ..shes ommiting mzee and the kid in her story only focusing on her and the
Her mom so boring
Bona mamaa haujiheshimu vaa vizuri uheshimike
Kiislamu inakubalika bwana yako kuoa mtoto wako so long as sio biological dad wake
What are you talking about ? That's disrespectful to her and the daughter.
@@anneferguson1158 those are the rules , let it be known.
@@M-tu3kq that's ridiculars
Wewe wajua islamic laws hau waongea tu.
huyu mama ni mkora maneno yake hata haieleweki anarukaruka hata hajatuambia ameka na hiyo jama miaka ngapi na hajatuambia alishika mimba ya pili lini na hako na watoto wangapi kwani hakukuwa na akili ya kufikiria kinacho endelea .kwanza hapo kwa kusema ati alimkuta bwanake na mtoto kwa kitanda first reaction kabla kuenda kwa landload alifanya nn.
Her story lacks authenticity....cant buy it
Weee pole sana My dear hii inauma akii😭😭😭
Khaii huyu. Mama ss atulia amezuguka sana😢
Weka full information ya hizo apartment
Mimi siwezi Wacha mtoto wangu
Story za jabaa unakubali kuishi aje na mtu hadi kazi hanaaa.... story zako aziji add😅😅😅ata mwangi ameboeka.
Dada ulikuwa Tanzania mkowa gaani????
Mungu wangu jamani
Pastor mkali na starehe wwee😅😅😅
Alifanya makosa kumuacha yule bwana wa kwanza n a kwenda kujiuza na mama yake😢😢
Hapo sasa! Na si ati yeye ni mtoto mdogo. Kidogo namuona ako na mauongo mingi😂so boring story though
On the story 😊😊
Don't brame the girl.maybe mama yake used kumuacha anarapiwa na huyo dad wake bt the mother ajui cox yy attention yake ilikuwa Kwa mama yake juu akuna mahali tunaona akikaa na huyo mtoto kuuuliza ako aje after kujua bwana alikuwa anamtoa nguo na anapereka kichwa chini may it worse nt only Abt kutolewa nguo tu other things like fuck was happening from the tym walifika uko tanzania ,Take heart mama na utafute mtoto wako cox you have a lot to discuss
I buy my credit & then sit down the whole day watching. Why not to make the story short short.
Umaskini ndo unakusumbua
Ulikuwa unefugw na kamba miguu "mab zingine n za kugitakia""mwaume n mboga gani ndio nifanie hiyo unga yote toka enda church upate usaidizi
Alikuwa anafurahia kazi yenyewe aache kupretend
She needs counseling please.
Huyu ni madam mdogo sana kuniliko am 47na ninafanya kazi kwa mwarabu si uweke kibanda ya mboga
Tuko pamoja huku🇸🇦🇸🇦
😢😢
Ukirapiwa just take care sana kwa huyo mtoto,the same spirit may follow your kid,if he’s a boy he maybe sodomized if she’s a girl she may get raped like you,that’s why huyu mtoto alimalizia kulala na mzee wako😢😢😢😢aki huyo babako namuhurumia sana shamba ikauzwa mama amekula imeisha amekufa,huyu mama alizikwa wapi
Aii huyu mama ni channel gani hujaenda,,,, heal and move one 🤮🤮
@@annfavoured6155 ikr?! Ako kila mahali
@@KateKary-l1q yes na story ni moja angekam atushow vienye alisaidika kwa hizo platform zingine
❤❤❤❤❤ tune in from the kingdom
Here we are 💪
This tale is boring mwangi kriss
Sorry sorry
A wicked mother
This woman has alot of hatred towards her mother,, a very boring story 😏
Story teller
Not adding up!
How?
Yea it's not adding up...hapo ati they were really poor in Tanzania..kidogo they have mbuzi ya kuchinja every two months
🥲🥲
Lies
Kwani hujawai pelekwa shule??? Hapo husemi
Booring
Story za jaba
Na bona uko uchi madam😢😢what are u trying to show mwangi..weeee behave
Really
Ulikosa nguo ya kuvaa ukaona ni hii tu na hii miaka yote
Umemaanisha nini?
@@Aidhjuma kwa studio anaonyesha watu chakula ya watoto kuna mavazi ingine huwezi vaa kulingana na miaka yako
Miaka inakujia wapi hapo
Nakuunga mkono@@princessvivian0
Mwangi abia huyo Dem aende a change hiyo dress kwaza ndio muongee
Very sad when you cannot take care of yourself as a woman. Why not get a job and move on?
'Joki jinga. Wewe ni mjinga sana. Ole wako. Kitakuja kuramba, utakumbuka haya uliosema.
Umenibore na mavazi Yako mwas good job but 2meet in next victim
😢😢