Nimenda through many coment ,na watu wanatusi huyu dame juu kile anasema hapa ni kweri ,mm nko mwaka wa 8 yrs ,na pia mimi kwenye kuote nimefanya wamenichukua kaa family zao ,,wengi wale hutusi warabu ndio wanateswa juu hua hua wanaletea mwarabu ujuaji na umagaa , 100% ,what you said is true ,i salute all arabs has employed mi ,,juu they have changed my name
Huyu ako tu na kiherehere, hakuna mwarabu mzuri, kwanza kwa chakula ni wachoyo,. Alafu wanaume hulazimisha mtu kulala naye,hata ukikataa. Mimi penye niko siwezi sema ni wazuri 100%.but ni vile tu kuvumilia.
@@MaggyNganga-hb7ol wewe ndo ulipata mwarabu mubaya...kila mahali kuna watu wazuri na wabaya 6 yrs no regrets,,salary on time,food kwa wingi,and the family is very respectful especially my boss
Imgn ni ww ulipatana na bad luck for me awa wangu ni wazuri zaidi infact I feel safe in everything....we travel together in other countries eat together salaries on time mashallah I thank God
I even have my iqama and my passport with me ...everything nimejiekea na tunaishi kwa apartment whereby kuko open soo they just trust me for nothing soo kuna wazuri
Na uko na mdomo kum,sema tu ulipatana na mwarabu mzuri sio warabu wote wazuri na sio wote wabaya...personally wangu ni wazuri and still kuna my frds wanakapitia...just thank God for the favor
UKIENDA UKO MWARABU AKIKUSHAUTIA USISHOUT KEEP CALM few seconds alinileta juu na Mimi nikakuja juu 😂😂😂ALIKUA MZURI NA ALINICHUKULULIA KAMA SISTER YAKE few minutes nilikua namwaga Clorox na hakua anajua 🤣🤣😂😂WHY DO WORK IN SHORT CUTS WHEN YOU ARE TREATED AS A SISTER …..Pthooooo Komdomo sana my dear Niko Saudi same house for almost 7yrs na hio mazoeano ama kujipendekeza huwezi jiachilia kwa mwarabu siwezi sema am being mistreated but Kuzoeana na wako sijawahi even many things najua uwanga nafanya Kama newcomer never show mwarabu ujuaji just stay put and know no matter how many yrs you work for them you are just a nobody to them so don’t take this thing ya you are like my sister to your heart Kaa tu muguruki amechanganyikiwa na you will have peace
True kuna wazuri pia mm tangu nikuje kwa hii nyumba 6yrs now hajawai nishoutia wala kunikasirikia hana watoto ako tu na 25 cats and am okay with it also i thank God for this far...
Aii wenye wanamtusi pia mm niko na madam mzuri sana hakuna kitu hukosa naamka time nadai kazi nafanya vile nataka na hataki nichoke tips kwa wingi gulf tano tena 👍
I don't like her thinking....how our girls are mistreated,beaten,raped and killed is NOT about vile umewachekesha...so kama hujui kitu na umetembea kwa nyumba moja tu zip up you are not the best person to advise watu!
Mwaarabu whether bad nor good first 3months even them thy know thy are under law so so bad or good huwa wanapretend then from 5,7or 1yr or wengine at end of ur contract thy change either to angels or devils so hkuna kitu eti mwaarabu mzuri by saying
Nowdays kuna mpesa kwa bank awache kujifanya anajua sana 😅 lazima turudi nyumbani tuone familia kwanza ata kama tuna kitu this life I can't kill myself
Eti ni home mtu aniambie nipe nibuyie, bora my mum ako sawa na my son basi, sitaki kuolewa sitaki mtu forever amen. Sitaki stress ya watu eti nilipie fare 😂😂😂😂
Sasa hii matusi mnatusi warabu wanyama ,ata ndio mungu anakasitika ata mwarabu mubaya huwezi badirika ,ata akiwa mbaya ,ujue yy ndio anafanya watoto wako wakule na wasome ,ukiwa na roho mbaya pia mungu hukupee hao ya warabu wambaya ,mm hii ni mwaka wa 8 different countrly ,na wote wameniajiri ,hua nawaombea mazuri nikiomba juu wamefanya nikue landlady ,,
Wazur. Wako pia mimi nashukuru ALLAH naishi kama nyumbani nilifanya miaka minne na nusu nalirud tena ninamiez miwili nashukuru mungu nafanya kaz nikichoka napumzka wazur wako na wabaya wako handanganyi
I was so polite my madam took advantage of me until even she told her kids to disrespect me but siku moja niliamka kwa hiyo nyumba ni kama nilikuwa nimelala. Mpaka wakashangaa
Nimenda through many coment ,na watu wanatusi huyu dame juu kile anasema hapa ni kweri ,mm nko mwaka wa 8 yrs ,na pia mimi kwenye kuote nimefanya wamenichukua kaa family zao ,,wengi wale hutusi warabu ndio wanateswa juu hua hua wanaletea mwarabu ujuaji na umagaa ,
100% ,what you said is true ,i salute all arabs has employed mi ,,juu they have changed my name
Aki ukweli
I agree 💯 with her,anasema ukweli kabisa 😊
Huyu ako tu na kiherehere, hakuna mwarabu mzuri, kwanza kwa chakula ni wachoyo,. Alafu wanaume hulazimisha mtu kulala naye,hata ukikataa. Mimi penye niko siwezi sema ni wazuri 100%.but ni vile tu kuvumilia.
@@MaggyNganga-hb7ol wewe ndo ulipata mwarabu mubaya...kila mahali kuna watu wazuri na wabaya 6 yrs no regrets,,salary on time,food kwa wingi,and the family is very respectful especially my boss
Sio wote wachoyo kwa chakula
Mine are the best 👌 I mean the best ❤
Imgn ni ww ulipatana na bad luck for me awa wangu ni wazuri zaidi infact I feel safe in everything....we travel together in other countries eat together salaries on time mashallah I thank God
I even have my iqama and my passport with me ...everything nimejiekea na tunaishi kwa apartment whereby kuko open soo they just trust me for nothing soo kuna wazuri
mwarabu ni mwarabu..wacha kuchocha watu
Kama wewe ulipata nyumba poa shukru mungu wacha kudanganya watu
Wewe unafanya nini kwa mwarabu kama niwabaya jitoe enda kenya ukae uko😂😂
Acha kihereher@@Mileyb.
Your boss is exactly the same like mine..heading 6 yrs no regrets.. next yr am going home to settle with my family inshaAllah.
Wow congratulations
You must be a luhya😅😂
@keepitreal335 what do you mean,,kwan luhyas ndo wanakaa gulf more than 2 yrs...for your information am not a luhya
Na uko na mdomo kum,sema tu ulipatana na mwarabu mzuri sio warabu wote wazuri na sio wote wabaya...personally wangu ni wazuri and still kuna my frds wanakapitia...just thank God for the favor
Mm niko hapa nafkiria vile ntakemboi, wengine nikusifu hawa watu,
@@CynthiaWanjiru-f1b watu hawaezi elewa hii maneno,kwa ground vitu ni tifauti
@@annmuriuki7854 nashangaa vile anaongea huyu.
UKIENDA UKO MWARABU AKIKUSHAUTIA USISHOUT KEEP CALM few seconds alinileta juu na Mimi nikakuja juu 😂😂😂ALIKUA MZURI NA ALINICHUKULULIA KAMA SISTER YAKE few minutes nilikua namwaga Clorox na hakua anajua 🤣🤣😂😂WHY DO WORK IN SHORT CUTS WHEN YOU ARE TREATED AS A SISTER …..Pthooooo Komdomo sana my dear Niko Saudi same house for almost 7yrs na hio mazoeano ama kujipendekeza huwezi jiachilia kwa mwarabu siwezi sema am being mistreated but Kuzoeana na wako sijawahi even many things najua uwanga nafanya Kama newcomer never show mwarabu ujuaji just stay put and know no matter how many yrs you work for them you are just a nobody to them so don’t take this thing ya you are like my sister to your heart Kaa tu muguruki amechanganyikiwa na you will have peace
😂😂😂😂😂😂 Cjui nacheka nini
True kuna wazuri pia mm tangu nikuje kwa hii nyumba 6yrs now hajawai nishoutia wala kunikasirikia hana watoto ako tu na 25 cats and am okay with it also i thank God for this far...
6 yrs bila kuhome
Aii wenye wanamtusi pia mm niko na madam mzuri sana hakuna kitu hukosa naamka time nadai kazi nafanya vile nataka na hataki nichoke tips kwa wingi gulf tano tena 👍
Ndio nasoma coment hapa ,huyu dame ameongea kila kitu ukweri ,juu hivio anasema ukifuta hizi rules kwa gulf hamtakosana na warabu
Mwangi congrats for good job be blessed we salute you
Team strong hadha kethab mohok mafi koyes.ameingia Saudi term moja na anatupea advice huyu ?,mmmh
I don't like her thinking....how our girls are mistreated,beaten,raped and killed is NOT about vile umewachekesha...so kama hujui kitu na umetembea kwa nyumba moja tu zip up you are not the best person to advise watu!
But sometimes if you are so polite they take advantage of you
You're doing an amazing job...kongole bro
Mwaarabu whether bad nor good first 3months even them thy know thy are under law so so bad or good huwa wanapretend then from 5,7or 1yr or wengine at end of ur contract thy change either to angels or devils so hkuna kitu eti mwaarabu mzuri by saying
Nowdays kuna mpesa kwa bank awache kujifanya anajua sana 😅 lazima turudi nyumbani tuone familia kwanza ata kama tuna kitu this life I can't kill myself
Eti ni home mtu aniambie nipe nibuyie, bora my mum ako sawa na my son basi, sitaki kuolewa sitaki mtu forever amen. Sitaki stress ya watu eti nilipie fare 😂😂😂😂
you work in one house tembea mrembo ujue uko mwarabu wazimu
Tell her..aache mdomo mingi
Mwarabu na chakula no go zone
I think you have to ask God for favor that’s all hiyo tu na you’ll be well ❤
Hata siku hizi hakuna need ya kutuma home ndio utumiwe kwa mpesa...huku unatumiwa tu direct kwa mpesa.
Huyu ata haeleweki
Ukopata boss mzuri shukuru mungu wako warabu ni wanyama
Sasa hii matusi mnatusi warabu wanyama ,ata ndio mungu anakasitika ata mwarabu mubaya huwezi badirika ,ata akiwa mbaya ,ujue yy ndio anafanya watoto wako wakule na wasome ,ukiwa na roho mbaya pia mungu hukupee hao ya warabu wambaya ,mm hii ni mwaka wa 8 different countrly ,na wote wameniajiri ,hua nawaombea mazuri nikiomba juu wamefanya nikue landlady ,,
Matusi ndio mbaya lakini kile najuawa watu ni nitofauti kuna wale wako na utu kuna wanyama hata hii kenya yetu kuna wanyama na wale wa utu
Kiherehere imeenda group of schools 😂😂
Aki maringo huyu Dem ako nayo 😂😂umeona venye ametungiza kichwa aki sema jina 🤣🤣🤣🤣
Mmmm minilirud naniko sawa tu
Yah kuna wazuri na wabaya but i don't know why i don't trust this lady.
😂😂😂😂😂
Wazur. Wako pia mimi nashukuru ALLAH naishi kama nyumbani nilifanya miaka minne na nusu nalirud tena ninamiez miwili nashukuru mungu nafanya kaz nikichoka napumzka wazur wako na wabaya wako handanganyi
Saudia sahi wanapesa
Huyo madam
Ni mchoyo 😮sana ata hawinzi saitia wa
mm sijawai kosana na boss yangu hajawai nishoutia ata siku moja but naonanga ananiogopa juu huwa anashout kwa mfilipino na watoto wake
I thought it was a safe place to put my money bt no.
14:42 kwani oman na dubai si gulf 😂
But kuna mpsa huku
Mwagi mabo na carol mlifikia wapi are u still single
😂😂😂😂😂
Sio wote wazuri
Wengi ukipika wanachukua chakula chote na hawastuki
Nitasifu uyu wangu nikifika Kenya this people are pretenders kasichana uko na mdomo
Sidhani huyo alikua mwarabu
Ebu tuambie uko na miaka gapi gulf..naujue sio warabu wote wazuri.
Why our girls don't like to try to go to Europe??.
Tupee connections
Tusaindie na connection
Hawa watu lazima ukuwe mkali sana ndo utoboe