Huyu Ambokile anapewa pesa ili aiongelee Yanga, lakini kiukweli hii mechi yanga anatakiwa kuwa makini sana maana Ibenge sio boya anawajua yangu vizuri sana na anajua kucheza hizi mechi zakimataifa hakurupuki kama sisi wabongo tunavyo kurupuka
Uchambuzi dhaifu unaohanikizwa na Mahaba ya Kikolo, hakuna kitu kinachoitwa eti Al Hilal wasiwe katika ubora wao. Subirini dkk 90 maana hiki mnachokisema kinatafsiri kubwa kwa wenye Uelewa.
Yanga hii mechi razima tuxhinde iwe isiwe uxhindi lazima🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Mungu yu mwema yanga itashinda
Mungu.lbariki.yanga.timu.tupate.hiyo.alama.3..hiyo.amina.ee.mola.tutangulie
Huyu Ambokile anapewa pesa ili aiongelee Yanga, lakini kiukweli hii mechi yanga anatakiwa kuwa makini sana maana Ibenge sio boya anawajua yangu vizuri sana na anajua kucheza hizi mechi zakimataifa hakurupuki kama sisi wabongo tunavyo kurupuka
Huyo ambokile mnafiki huyo dada ambokile
Tuambie kaka gusa achia twende kwaooo
Muda utaongea. Sidhani kama kutakuwa na mipango ya kupanga mechi
Ibenge mjanja
Uchambuzi dhaifu unaohanikizwa na Mahaba ya Kikolo, hakuna kitu kinachoitwa eti Al Hilal wasiwe katika ubora wao. Subirini dkk 90 maana hiki mnachokisema kinatafsiri kubwa kwa wenye Uelewa.
Hawa wachambuzi wote ni wana Yanga wanaongea kimihemko ya kishabiki sasa subiri uone moto watakao pelekewa.
Hakuna uchambuz hapo niupigaji keleletu
Gusa achia baki nafasi uliyonayo..