We huyu jamaa Yuko vizuri hii dunia achana nayo me mpaka niliacha kazi nilikuwa nimechoka nataka kujiuwa but mungu amuweke mume wangu alipambana mpaka Niko vizuri Alhamdulilllah ❤❤❤❤
ukiangalia muonekano hul wa 2021 na sasa alivyo na jinsi anavyojieleza ndipo utajua kuwa Mungu kamtengeneza huyu mtu sio yule wa mzaha wa zamani ni mtumishi sahihi kwa majira haya ya uamsho
sikiliza interview yake aliyofanya gozbert ministry part 1 and 2 yote ndipo uje ukoment.....sio unaamdika tu juujuu tu pasipo kusikiliza muhusika kwa kina
Pole sana brother MUNGU Ni Mwema sana 🙏
We huyu jamaa Yuko vizuri hii dunia achana nayo me mpaka niliacha kazi nilikuwa nimechoka nataka kujiuwa but mungu amuweke mume wangu alipambana mpaka Niko vizuri Alhamdulilllah ❤❤❤❤
Goodluck mungu akutie nguvu nyakati za mwisho mambo yote ya Siri yatawekwa wazi nawatajana wao kwa wao life is spiritual
Waliotoka kule PART II tujuane
tuko hapa.....ni kitu kikubwa kipo ndani ya hii interview, mpaka nimeamua kuidownload yote......
Mungu akusaidie
Ndugu una point nzur sana Asante
ukiangalia muonekano hul wa 2021 na sasa alivyo na jinsi anavyojieleza ndipo utajua kuwa Mungu kamtengeneza huyu mtu sio yule wa mzaha wa zamani ni mtumishi sahihi kwa majira haya ya uamsho
Binafsi huyu kuna kitu kipo kwa kichwa yake??😢🤔 hata cjui kwanini nimejiuliza ivi, ilaaa aya Mungu amsaidie
Tupo naye toka kwenye part 1 and 2 ya kwenye channel ya gozbert ministry
Depression ipo Jamani
Kabisa tupoo
Pole sana kaka
Pole kaka simama kipenzi changu ubarikiwe inshallah ❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏
Wasanii na depression ni mtu na mdogo wake😂
UKOSAHIYI KAKA MUNGU AKULINDE KAKA UYU ANAYE JIHITA NABII NI FRIMANSON MUKUBWA KATOWA MUTOTO WAKE KAFARA 😢😢😢 MUNGU AKULINDE KAKA AMEN 🙌🙌🙏🙏🙏😭😭😭😭
This unbelievable people are so funny
Sychological problem
Goodluckgozbert anaitaji msaada wa kisaikolojia kwa ssa bado ayupo sawa😢
sikiliza interview yake aliyofanya gozbert ministry part 1 and 2 yote ndipo uje ukoment.....sio unaamdika tu juujuu tu pasipo kusikiliza muhusika kwa kina
@achi_raymond nimesikiliza vizur zote na sijakulupuka soma nlichoandika uwelewe vizur acha shobo
@@Nuru9568Basi wewe kuna mahali akili yako imeshindwa kung'amua baadhi ya vitu.....kuna vitu huwezi kuvielewa kwa mtazamo wa kawaida
We ndo unaitaji saikolojia ni nyakati za mwisho mambo ya Siri yote yatawekwa wazi
@@esterkimath1214 acha shobo n comment za watu
Unaugonjwa wa akili
Kuchoma gari ulitaka trend ...ww na geodevi mnasevu for the same MASTER
Hakuna mtu anaomba awe na akili timamu
Du
Muongo sana uyu jamaa.....hicho unachoongea hakuna uhalisia.....ULIPOTEA KWNY GEMU HELA HUNA .. DEPRESSION IMEKUJA ...
🥲🥲🥲 wewe angalia hiyo interview ya mwaka 2021, usilopoke
Huyu chizi