ALHAMDULILLAH Shukrani pia kwa Sheikh Kiongozi wetu Mufti Mkuu wa Tanzania Kwa hakika tunajivunia uwepo wako Sheikh wetu Congratulations Sheikh Walid Alhady ALLAH Akuongoze Katika Kututumikia Waislamu na Umma wote Kwa Ujumla ALLAHU Akujahalie uwadilifu Uliotukuka ALLAHMMA AMIIN AMIIN AMIIN THUMA AMIIN. Tunakupenda Kwa Ajili ya ALLAH Na tunakuhakikishia Tupo pamoja Sheikh.
Hajasimamishwa kaenguliwa yani sio sheikh mkuu wa mkoa dsm tena. Wewe kama ni muungwana sidhani kama utamfurahia yule alhad mussa.mazungumzo yake hayana busara wala hekima hakustahili kuwa pale.tena naona wamechelewa ilitakiwa aondolewe miaka kadhaa nyuma.
Hongera Sheikh Walid, Allah akusimamie na akuingoze katika kumtumikia yeye na waislamu kwa ujumla. Nakupenda kwa ajili ya Allah.
MaaaaaaashaaaaAllaaaah. Mufti wetu kichwa sn. Ana nuru kubwa. Anaona mbali sn. Allahu akbar...
Masha Allah mwenyezi mungu amuongoze kwa kila zuri na kutatulia waialamu matatizo ayo in shaallah mwenyezi mungu atamuongoza
ALHAMDULILLAH
Shukrani pia kwa Sheikh Kiongozi wetu Mufti Mkuu wa Tanzania Kwa hakika tunajivunia uwepo wako Sheikh wetu
Congratulations Sheikh Walid Alhady ALLAH Akuongoze Katika Kututumikia Waislamu na Umma wote Kwa Ujumla
ALLAHU Akujahalie uwadilifu Uliotukuka ALLAHMMA AMIIN AMIIN AMIIN THUMA AMIIN.
Tunakupenda Kwa Ajili ya ALLAH
Na tunakuhakikishia Tupo pamoja Sheikh.
Shk.walid ushauri wangu fanya mpango pale kichangani awepo imamu mpya badala yako!!!km umekubali ushaur wang nipe like zangu
Sawa ushauri ntaufanyia kazi.inshallah.
Maashaallah Maashaallah Maashaallah Allah awajaze kheri nuru na hekma Masheikh zetu inshallah.
Tena awazidishie elimu inshallah.
ALLAH KARIM AKUONGOZE UTENDEE MANZURI NA HAKI KWA WATU WAKO.
Ee alhamdulillah, alhamdulillah, alhamdulillah,
Au Kama atakwenda kuyarelebisha mambo na kuwa mfano wa kuigwa kwa masheikh wengine basi ni kheir inshaallah
masha allha
Binafsi Mimi sikupenda sheikh Walid awe katika hiyo nafasi alikua aendelee na majukumu yake sakata lao bakwata awaachie wenyewe
Nyie twendeni Tu Kama yote yanayo endelea ni Kwaajiri ya dini Sawa nakama yanayo endelea mnailenga dunia majibu mtayapata insha'Allah
Huu ni pumbavu kwanini sasa na hii tumesahau imekwisha
sababu ya kusimamishwa ushekh wa mkoa wa dsm ni nini
Hajasimamishwa kaenguliwa yani sio sheikh mkuu wa mkoa dsm tena. Wewe kama ni muungwana sidhani kama utamfurahia yule alhad mussa.mazungumzo yake hayana busara wala hekima hakustahili kuwa pale.tena naona wamechelewa ilitakiwa aondolewe miaka kadhaa nyuma.
Mumeonesha udhaifu brand ya dkt mwaka ni bora kuliko Allah yatafakarini
Bora mmrmtoa jmn alikimua hatufai piten na mikoan mtumbue