MTOTO wa MIAKA MITATU AFARIKI BAADA ya KUTUMBUKIA KWENYE SUFURIA la SUPU INAYOCHEMKA....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 27

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  วันที่ผ่านมา

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 วันที่ผ่านมา +6

    Wee mama unasema muuza supu akamatwe kwani alimweka ndani ya sufuria au ni kuhangaika kwa watoto wenu kwenye vigenge vya watu😢

    • @spesiozabisansaba6424
      @spesiozabisansaba6424 วันที่ผ่านมา +1

      Nikweli,, kosa hapo ni la walezi wake, kwann hawakumlinda mtoto

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wanawake wa uswahilini ndo walivyo unakuta mtoto mdogo anaswampa anamaliza mtaa mzazi Hana habari subhannallah

  • @christinelokaji664
    @christinelokaji664 วันที่ผ่านมา +4

    Poleni sana wafiwa, lakini huyo mwenye supu hajafanya makusudi ni bahati mbaya. Pia huyo mtoto ametokea wapi kwenye supu ya watu hadi atumbukie humo jamani? Kilichotokea ni kibaya sana lakini tuwe makini na watoto wetu jamani

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi วันที่ผ่านมา

      Kabisa

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 วันที่ผ่านมา

      @@christinelokaji664 Wapate maelezo Kwa muuza supu na mama mtoto haki itendeke wasitumie nguvu ya umma kukandamiza upande mmoja

  • @fatihiyadossa375
    @fatihiyadossa375 2 วันที่ผ่านมา +2

    Inalillah wainailah rajiun dah siniyule wajuz jmn

  • @TatoTato-t7s
    @TatoTato-t7s วันที่ผ่านมา +3

    Uyo muuza supu mshenz kwanini alikua ana mwangalia tuu bilayakumtoa kwenye sufulia yasupu

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi วันที่ผ่านมา +1

      Ungeenda ww kumutoa ww ulikuwa wapi kumchunga mtoto

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 วันที่ผ่านมา +1

      @@TatoTato-t7s Tuambie basi alifikaje hapo huyo mtoto hadi muuza Akae kuangalia unajua Kuna mambo mengi hatujui tunajiongelea tu

  • @ChausikuAli
    @ChausikuAli วันที่ผ่านมา

    Inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia pamoja na jamaa wote wa marehem

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo วันที่ผ่านมา

    Inna lilaahi waina ilayhi rajiuun
    Poleni sana
    Allah amrehemu allah awape subra wazazi

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 2 วันที่ผ่านมา +1

    Subhallah

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u วันที่ผ่านมา +1

    Sasa mwenye supu kosa lake nini hapo?? Mtoto alikuwa wapi au alichukua akamtumbukiza!

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 2 วันที่ผ่านมา +2

    Msiba hauna kiga ila mama tupuguzeni uzembe unamtoaje mtoto alfajiri njee wala hujenda popote duh ila si kwaubaya wamama tuwe makin sana dunia hii sio yetu

    • @fatihiyadossa375
      @fatihiyadossa375 2 วันที่ผ่านมา

      Mbona walisema ivi uyo mamaake alienda ospital akamuachia jirani yake

  • @Jamila-kf1es
    @Jamila-kf1es 2 วันที่ผ่านมา +1

    Polen sana aise

  • @NasraKambimtoni
    @NasraKambimtoni 2 วันที่ผ่านมา

    Dah nashindwa niongehe nini inauma sana ila mimi nahamin ata yey kachanganyikiwa sana labda have mchaw sas ataxiwea vip kwani ndiyo kawaida yake mbona mim mtt wangu alikunjwa mafuta ya taa yani kaponea chupu chupu kwaiyo sizani kama Ali fanya makusd kam itakuw makusudi saw au kazowea saw dah .hii nduni changamoto san mwenyez mung atupe mwisho mwema wafiwa wote Pole dan

  • @AishaAisha-q4t
    @AishaAisha-q4t 2 วันที่ผ่านมา

    Poleni

  • @UmmyJumaa
    @UmmyJumaa วันที่ผ่านมา

    Innalilah wainnallah rajuuni 😢

  • @خديجهخديجه-ط1ه
    @خديجهخديجه-ط1ه วันที่ผ่านมา

    Iyo .sijaierewa. Mwenye. Supu. Akamatwe

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 2 วันที่ผ่านมา

    Inalilah wainalilah rajuuni

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa muuza supu ana makosa gani?!

    • @TatoTato-t7s
      @TatoTato-t7s วันที่ผ่านมา +1

      Makosa anayo mtoto alivyoingia kwenye supu ajamtoa anamwangalia tuu nauyo mtoto wapili kuungua

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi วันที่ผ่านมา

      Kwa nn wenye watoto hamuamgaliaga watot wenu yule ni mfanyabiashara mnataka awatunzie na watoto wenu asubuhi asubuhi mnawarusu watoto kuzurura nje​@@TatoTato-t7s