Hii biashata miaka ya zamani sana ilikuwa ikifanywa chalinze watu waliokuwa wakiwekwa sokoni wanau.e wanakuja kujichagulia na kuondoka nao baadae ikapigwa marufuku kwa madai udhalilishaji Sasa Naona imwrudishwa ki dezine watu tunaona kama vichekeaho kumbe Ndio mnada wa wanawake unaemdelea.
SAMHANI NDUGU ZANGU JE HAYA YANAYO ENDELEA NIKWELI AU NA JEE KUNA KI INGILIO YANI LAZIMA ULIPIE PESA NDIO UWINGIE AU NAOMBENI MAELEKEZO NA MM NATAKA KUSHIRIKI
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. Isaya 4:1
Hizo vitu my dear sikubali nipangilio tu wanakua wapenga huezi kuona mtu hata hujui kama nikahaba ama mwizi kisha kihelehele chako uchukue mtu umueke ndhani na hujui tambia yake sikubali mimi hata mukiish ndoa yenu haiezi kudhumu kbs 😂
Yani mazingua natamani muweke vipande virefu tuelewe yani sielewi wanaoelewa nihao tu ambao wakohapo natamani nipatenamba ya mtetezi asikie ushauri wetu
Hiii kitu fanyen na mikoani basiiiii,,tuwe tunaenjoy live
Am watching from Kenya i enjoy your show but one mistake your video are incomplit
Hii biashata miaka ya zamani sana ilikuwa ikifanywa chalinze watu waliokuwa wakiwekwa sokoni wanau.e wanakuja kujichagulia na kuondoka nao baadae ikapigwa marufuku kwa madai udhalilishaji Sasa Naona imwrudishwa ki dezine watu tunaona kama vichekeaho kumbe Ndio mnada wa wanawake unaemdelea.
Du Neema the way she be like JAMANI with that amazing voice ,
Uwa inafanyika wap nmeipenda jaman
Jaman tafadhali tunaomba v clip viwe vrefu kidogo jaman tumechoka vifup fup vinakatisha tamaa sana kwawale tunao fatilia
SAMHANI NDUGU ZANGU JE HAYA YANAYO ENDELEA NIKWELI AU NA JEE KUNA KI INGILIO YANI LAZIMA ULIPIE PESA NDIO UWINGIE AU NAOMBENI MAELEKEZO NA MM NATAKA KUSHIRIKI
Jamani sadam nimempenda sanaa
Ayo macho sasa Mmmh! hapo kazi ipo 😀😀😀😀
😂😂😂
Mpo vizuri
Mpaka 2035 kutakuwa na masoko ya kununua wanawake hasa wasiomcha Mungu
Kwel mummy
😀😀😀
I really appreciate for the smartness of Mr.right
Namimi
Naomba kujuzwa hivi haya yanayo endelea katika hiki kipindi nikweli au nikama Move tu
Ni kweli sio moves
Nyie nyie Mwenzenu naona kama maigizo haya
Mwenyewe sielewi kama kweli wanapata waume au wake
Yaan hta mi huwa najiuliza sana
We'd
This show is just legit💯💯💯mwapendeza wakuu😘😘tz ladies are just yummy👌😂😍
Murume ukuje na kakitu kakutafuna
Nawe unipee gal totoh mmoja wa tz
Safi
This is game 🎮
Jinsi ya kushirik Mr right ipoje
hizi video ni fupi jamani...tuwekee video mzima tujiburudishe jamani
Yaani uwa na enjoy sana iki kipindi nimetamani jamani 💋💋
Mi lini na wapi
Yani uwa sijaelewa maana yake kwamba mtu anapata mke kabisa au
Umalaya unakusumbua!
..hawa ni matoto yale machokoràa,halina wazazi ndg nk..limepata Neema ya vipesa sass anaitumia Neema vbaya
Usilitaje jina la Mungu bure..Tena unalitaja kwenye ushenzi huu
Nitafikaje hapo??? Please nielekezeni....i wish nifike hapo one day
Mbona wanavaa uchi uchi watachezewa sana hao
Inawezekana kweli hata ka mtu hujawahi kuonana nae anakubali na unaondoka nae
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Isaya 4:1
Hahahahhaa
Hakika.siku zimekuja
Kweli mtumishi
Lakini hilo fungu halina maana hiyo unayofikilia ww
Eliza yupo wapi??
Mahusian ya kusakan hiv huwa hayanag safar ndef hat
Huu ni mswiba jamani dalili za kiayama
*macho kama joti anajamba geto kwa sauti ahahhaaahhaha*
Mambo yasiwe mengi nawakubali
Mbona mnaweka fupi sana jamani
Kuona kwenye cm hata mwez hauish ndoa chali
Jamen mbona sielewi au nimelewa sana
Dr me nakuelewa sana if possible nifanye niwe mr light
Mambo kwanza yanaanza
Ongezeni mda
Ahaha 🤣🤣🤣 hayo macho sasa. Ety ananukiaa
Mpo vizur napenda Kaz yenu
Nafikaje hapo please
Hivi mnangaliaga ileyakenya au maana kunamapungufu nsombdni muangalie naile ya kenya
❤❤❤❤❤😂😂😂
Eti mrefu mweupe kwani we mweupe ?
Nimependa ubunifu wenu
Engine magoti ndizi za kuchoma meuc
I shot cjawaelewa nini lengo lunu
Shoo inafanyikaga wap jmn
Clouds tv
Natamani nipajue nije
@@beatriceclement5282 Mapenzi
Salut à tous
Hawahitajiki
I always Admire these mcs
Mnarusha nusu
Hivi kweli ukimpenda hapo mdada ndo mnakuwa wapenzi seriously au ni jokes tu wanafanya? Ngoma hii ni seriously kweli?
Hizo vitu my dear sikubali nipangilio tu wanakua wapenga huezi kuona mtu hata hujui kama nikahaba ama mwizi kisha kihelehele chako uchukue mtu umueke ndhani na hujui tambia yake sikubali mimi hata mukiish ndoa yenu haiezi kudhumu kbs 😂
Nikweliii MM nina ndugu yangu piya amejipatiya mke hapo hapo nasasa wameza watoto 2
Nafatili sana
Ndio unamkubali mtu kutokana umeumizwa hata mm natafuta jamani
Huyu cleopatra haondokag tu mbn km waongo
Jamn
Mbona mnalusha nusu😣
Taatuu
Uyu wa kwanza s boyfriend wangu 🙄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jmn
😀😀😀
R.I.P
Jaman MTU anawezaje kufika apo hata kuangalia tu
Hii ni move au ni kwer
Ni kweli
Ukitaka kwenda nunua mapupu ndo hapo
Mimi pia nauliza kweli au
Sas mbon sijaona ndoa zawa watu
Kwani hiki kipindi cha kutafuta mchumba au mbona silewi
@BeamNG Race Trick mmh nipo single ndio lkn nataka mme aliye owa tu
❤️❤️❤️❤️
Yani mazingua natamani muweke vipande virefu tuelewe yani sielewi wanaoelewa nihao tu ambao wakohapo natamani nipatenamba ya mtetezi asikie ushauri wetu
👏👏👏💖💖💖💖
Nyiny mnapatika sehmu gn
Mambo pambe kabisa
th-cam.com/video/uL9EHn5uMGw/w-d-xo.html&feature=share kaz nzur hii hapa
Mnaiga sana wakenya sisi ndo role model wenu
😛😛😛
Nonsense kwa kipi walicho iga kwenu hiyo ya kwenu haiwezi fikia ya tz hata kidogo tutolee hasadi zako nyehuba
You wish
Kuna ulisikia kipindi kipo Nairobi kwenda uko
@@maedaabdul2155 kubali you are still way behind,,,,Hello MR RIGHT was pioneered in kenya
jaman naitaj msaada wenu nataft mchumba
Kama unpesa mm nko tyr
@@fir-dausothman8252 🤣🤣
@@fir-dausothman8252 hahahaha pesa
👏👏🧡🧡🧡
Jamn na mm natft mchumb nawapt wap jmn
Mimi mwenyewe nahitaji mwenzangu lakini sielewi ntapata vipi maelekezo
@@minamina4240 coment zenyww hawajib jmn
Hapa hapa TH-cam wapo weka tu number ya simu
Hapa ni kujifurahisha tu akuna ukwl wowote
Kama kuna mtu anataka mchumba basi awe serious
ichi kipindi niwapi na Mimi nije
😂🤣🤣
Acting 2...
hahahahhahaahhahhahha omg
Wafupi
❤❤
Nimependa ubunifu wenu