Dada habari mm nimesoma arts A level na nilitakiea kwenda chuo mwaka huu Ila nataman Sana nisome computer science na Sina uelewa wowote wa computer je naweza kufanyaje naomba ushauri wako please😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏
Swali je windows ukisha iweka kwenye laptop mfano window 10 unapo iweka leo na ukawa una update mala kwa mala swali langu lipo upande wa kukaa kwenye laptop itakuwa na .muda kwamba ifike muda isifanye kazi maana tunakutana na wale wajuaji unapereka laptop .kwa fundi anakwambia leta 20 niweke window iliyomo imeisha windo unaisha vipi sijui nimeeleweka
Utanisamehe my sister but I got a question What is the the difference between compTIA courses like compTIA A+, compTIA network+, compTIA security+ and computer science course
IT (Information Technology) inahusika na nyanja zote za managing na processing information, haswa ndani ya shirika kubwa au kampuni. Computer A+ ni certification ya compyuta kwa wale wanaotengeneza PC (computer PC technicians) Comp TIA Network+ inawasaidia wale wanaokata kukuza utaalamu wao kwenye field za IT zanazohusu troubleshooting, configuring, na managing networks. Comp TIA Security+ inazingatia mienendo na mbinu za hivi karibuni katika risk management, risk mitigation, threat management na intrusion detection. (sijui mambo mengi sana kuhusu hizi field ila natumai nimeweza kukueleza kidogo.
Jean Johnny hapana courses za CISCO zinadeal na system ya CISCO tu na courses za computer science ni more broad unaweza kusema CISCO ipo chini ya field ya computer science (inawezekana isiwe Sahihi ni mfano)
Habari dada hiv Ulisoma chuo gan dada mali❤
Waoh! Hongera asante hii ilikuwa funzo zuri sana. Nimeenjoy kusikiliza na I wish you can do more of these! Can’t wait to listen to the Tovuti 😀
Thank u sister now ninafurahani good voice the video ipo good you are the best @ jeanjohnny
hehehe asante kwa kuangalia, hopefully hizi video zitakusaidia
Nataman sana kujua computer science
WE NEED MORE OF THESE VIDEOS
Pamoja sister@Binti Malu Ubarikiwe..usichoke kua nasi...
Mustyyyy umeiangalia :) nitajaribu kutengeneza video zaidi
Yah iko poa..Ongeza video tu zaid 🤗
Dada habari mm nimesoma arts A level na nilitakiea kwenda chuo mwaka huu Ila nataman Sana nisome computer science na Sina uelewa wowote wa computer je naweza kufanyaje naomba ushauri wako please😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏
Ni kwa mda gani unaweza kusoma computer science
Swali je windows ukisha iweka kwenye laptop mfano window 10 unapo iweka leo na ukawa una update mala kwa mala swali langu lipo upande wa kukaa kwenye laptop itakuwa na .muda kwamba ifike muda isifanye kazi maana tunakutana na wale wajuaji unapereka laptop .kwa fundi anakwambia leta 20 niweke window iliyomo imeisha windo unaisha vipi sijui nimeeleweka
Na ni vigezo gani nahitaj kujifunza computer science
Unaelezea vizuri kama nipo darasani vile
Asante sanaaa 😇 hopefully inaeleweka
👍🏼
Dada mimi naitwa saidi nataka kusomea kozi hiyo ya computer lakini sijui kiingereza je nitaweza
Je computer science inahusikaje na hesabu yaani mathematics na topics Gani zinafundishwa
Utanisamehe my sister but I got a question
What is the the difference between compTIA courses like compTIA A+, compTIA network+, compTIA security+ and computer science course
IT (Information Technology) inahusika na nyanja zote za managing na processing information, haswa ndani ya shirika kubwa au kampuni.
Computer A+ ni certification ya compyuta kwa wale wanaotengeneza PC (computer PC technicians)
Comp TIA Network+ inawasaidia wale wanaokata kukuza utaalamu wao kwenye field za IT zanazohusu troubleshooting, configuring, na managing networks.
Comp TIA Security+ inazingatia mienendo na mbinu za hivi karibuni katika risk management, risk mitigation, threat management na intrusion detection.
(sijui mambo mengi sana kuhusu hizi field ila natumai nimeweza kukueleza kidogo.
What about CISCO courses zenyewe pia ni sawa na computer sciences course??
Jean Johnny hapana courses za CISCO zinadeal na system ya CISCO tu na courses za computer science ni more broad unaweza kusema CISCO ipo chini ya field ya computer science (inawezekana isiwe Sahihi ni mfano)
Aisee nafwatilia hii maana nilikua napenda kufahamu sana kuhusu codes
tutakuwa pamoja :) asante kwa kuangalia na kufwatilia
Qn. Naweza kuwa white hacker kwa CS
hehehe ndio, mara nyingi kampuni wanahire white hacker ili waweze kufix na kupdate security yao.
Eti dada samahani hivi ukisomea IT unaweza ukafundishwa mambo ya stationery na graphics design au hizo ni tofauti na kozi ya IT
Ni tofauti
Je mtu aliye soma combination ya PMCs anaweza kusoma course ya Cs akifika chuo
Ndiyo
Kati ya computer engineering na computer science ipi inasoko zaidi 🤔
Zote zina soko
Jeh inahitaji vielelezo gani kujiunga na hio computer science
inategemea na chuo/shule unayotaka kwenda kusomea computer science!
Hi
Upo vizuri dada%
mm nataka niulze unatakiwa uwe sf zp ili kusoma computer science
Fom4 unanza diploma it alafu degre ndo unamalizia computer science
Uwe umesoma Physics na Mathematics A-level au uwe una diploma ya IT au Computer Science.
Dada mimi naitwa saidi
nataka kusomea kozi ya computer lakini sijui kiingereza je nitaweza
Level yako ya elimu?