Jee ukimuotea mtoto wako nywele amenyolewa na baba yake kw mda wa sk mbili tofauti na katika moja alimnyowa kati na kt akamdizain km kisi na nyota na silaha nyingine au chombo cha risasi nn maana yke au mtt wangu ataweza kupata na nn jmni naomba😓😓😓😓
Kwema nimeota nimemsuka nywele mtu ila akaenda kubana pengine nimeingia kuangalia hichi kipindi leo ni kweli yametokea kuna watu wamenichukia bila sababu sielewi kosa sina hata raha
Usijali mpendwa 🙏, kinacho takiwa ni kumuomba Mungu na Endelea na maisha yako. Siyo lazima kila MTU akupende. Fanya mambo yako yaende binadamu hubadilika . Jiamini mwenyewe tu na usimchukie mtu yoyote
Barikiwa sana nimejifunza kitu
Asante sana Mimi nimeota dada yangu anamkata nywele mtoto wangu , nini maana yanke ,barikiwa,sana ndungu
Thank you so much
Be blessed jipe media nimejifuza mengi kwako
Ukiota umesukwa Rasta nandio marayako yakwanza tena unafuraa sn.inamaanisha nn
Asante nimeota nipo NA wanawake wawili wote wanandevu
Hakika
Nami nmeota nashuka dada mmoja nywele ina maana gani manake sikumaliza
Umenipatia kweli Jami nakupeda make hua unaeda kwenye maanda moja kwamoja
@maryndanu
Nimeota niko kwenye chumba kilichojaa uvundo na maji na Utelezi,nilikua na uoga mwingi
Jee ukimuotea mtoto wako nywele amenyolewa na baba yake kw mda wa sk mbili tofauti na katika moja alimnyowa kati na kt akamdizain km kisi na nyota na silaha nyingine au chombo cha risasi nn maana yke au mtt wangu ataweza kupata na nn jmni naomba😓😓😓😓
Ondoa hofu kwanza mtangulize Mungu katika yote na weka Imani
Je ukiota nywele zako zmenyolewa afu ukaziokota au ukazibebe pia maana yake nn
ASALEIKUM,NAOMBA KWELI NIJUE NDOTO JUU YA WIVU INA ISHARA GANI,KUNA MTU NAMUOTAGA NIKIWA NAWIVU NAE WA KIMAPENZI HUO NI EX WANGU
Kwema nimeota nimemsuka nywele mtu ila akaenda kubana pengine nimeingia kuangalia hichi kipindi leo ni kweli yametokea kuna watu wamenichukia bila sababu sielewi kosa sina hata raha
Usijali mpendwa 🙏, kinacho takiwa ni kumuomba Mungu na Endelea na maisha yako. Siyo lazima kila MTU akupende. Fanya mambo yako yaende binadamu hubadilika . Jiamini mwenyewe tu na usimchukie mtu yoyote
Mi nimeota nakula nywele naomb maana
Nimeot na muwek mtu daw kweny nywele