Dk Riziki interview

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 91

  • @emanuel1269
    @emanuel1269 2 ปีที่แล้ว +5

    Riziki pole sana BWANA YESU AKUTOE HUKO KWENYE VIFUNGO VYAKIJINI UMWAMINI YESU umtumikie MUNGU aliye Hai

  • @rjb31
    @rjb31 2 ปีที่แล้ว +8

    Mbona huyu
    Makonda!
    Kama nawe
    Umeona kama
    Mm nipe like

  • @abduharuna4691
    @abduharuna4691 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyie mbona wapumbavu mnalazimisha Kira mtu aende kwayesu wapumbavu arafu nyie wayesu ndoo warusifa eti wayesu pumbavu Tena wachawi wakubwa mnamponda arafu mnakwendapo Tena binadamu washenzi kuliko majini

  • @petrovskaminks1514
    @petrovskaminks1514 ปีที่แล้ว +1

    I had placed a harsh comment here, but upon hearing towards the end akisema anaweza tuma kiumbe cha miraba sita Marekani, weeeh😄😄🥺🥺 I had to delete my comment 🤣🤣🤣

  • @daviddavid-gq8zp
    @daviddavid-gq8zp 2 ปีที่แล้ว +4

    Neno la Mungu linasema kwamba,watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!Ni kweli kabisa huyu mtu anawatumikia Mashetani bila kujitambuwa!! Bwana YESU asifiwe!

    • @petrovskaminks1514
      @petrovskaminks1514 ปีที่แล้ว

      I find it so strange that he doesn't know he's serving the devil👿

  • @patricksindakila1909
    @patricksindakila1909 ปีที่แล้ว +1

    kwa Nini number yake ya WhatsApp amuna ?

  • @patricksindakila1909
    @patricksindakila1909 ปีที่แล้ว +1

    kwa Nini number yake ya WhatsApp amuna ?

  • @dorcasmutua8781
    @dorcasmutua8781 ปีที่แล้ว +1

    Before they start judgement to you wajiulize Kama wao niwakamilifu....karibu kwa yesu maybe umuoje kuna Raha umjaribu pia.... asante

  • @dorcasmutua8781
    @dorcasmutua8781 ปีที่แล้ว +2

    Dakitali ukosawa sana watching you from Kenya....

    • @frankinspired6486
      @frankinspired6486 ปีที่แล้ว

      Biblia Deuteronomy :18
      10 Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, 11 wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
      12 Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa Bwana; kisha ni kwa sababu ya hayo Bwana, Mungu wako, anawafukuza mbele yako.

    • @SamuelOyiete
      @SamuelOyiete 2 หลายเดือนก่อน

      Okay

  • @emj9098
    @emj9098 ปีที่แล้ว +1

    Mfate yesu akutoe uko ulipo umepotea. Hao hawana mbinu

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 2 ปีที่แล้ว +3

    Subhanallah
    Yaani mtume muhammad sala n salam ziwe juu yake katufikishia ujumbe zamani kwamba lazima tuswali, kajisahau lkn alipoambiwa na jini kamfuata, huu ni msiba kisha eti anasema jini mwema, .
    Jini wema hawajichangani na binaadamu, wanasheria zao na sisi tunazetu, na sote ni kumuabudu Allah.

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 ปีที่แล้ว +6

    YESU ni BWANA

  • @emj9098
    @emj9098 ปีที่แล้ว +1

    Majini na mashetani hawana mbingu yesu anazo mbingu

  • @Bellanna100
    @Bellanna100 2 ปีที่แล้ว +1

    😐😐😐😐Mlikataa kumtumikia yesu shetani atawahangaisha till the end of your life ..mkuje kwa yesu mfanyie yesu kazi mnaeza saidia watu sana na deliverance juu mnajua how witchcraft work

  • @theresaelizabethelijah117
    @theresaelizabethelijah117 2 ปีที่แล้ว +6

    Ni kweli kabisa waafrika bado wana changamoto mno ya kuelewa uhalisia wao ambao una faida nyingi hadi wazungu wanatuonea wivu lakini hawajui mimi najua kwakua naishi nao huku asante sana Dr Riziki kwa mafunzo 👏👏👏

    • @emanuel1269
      @emanuel1269 2 ปีที่แล้ว

      Dada acha ushabiki uyu mganga anatumia majini na Mungu kakataza kwa mwanadamu kutumikia miungu mingine isipokuwa yeye dah wewe mganga unatumia akili nyingi kudanganya watu. Wewe mganga ndo mtego wenyewe na utawanasa wasio na maarifa kuusu haya mambo

  • @aloycerobert8953
    @aloycerobert8953 2 ปีที่แล้ว +10

    YESU ANAKUPENDA SANA MWAMINI YESU NDUGU YANGU

  • @lepadaasajackrilo4679
    @lepadaasajackrilo4679 6 หลายเดือนก่อน

    Huu ni ukombozi wa fikra za mwafrika,asili yetu wana wa Afrika,..wazungu wametutoa kwa reli sasa hatujielewi,tunakula kizungu,tunafaa kizungu,tunaamini kila kitu cha kizungu kuwa bora,..namkubali sana dr Riziki mkali malela,anafanya kazi nzuri kuelemisha waafrika .

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 ปีที่แล้ว +5

    Hasbunallahu waniimal wakiil. Kaka angu ktk imani kabisa nakukumbusha hayo unayoyafanya ni shirki. Mzungu anatengeneza anachotengeneza kwa kutumia akili yake. Kitendo cha kuhusisha majini/mashaitwani ktk tiba zako basi ni wazi kua ni ushirikina. Allah akuongoze, amiin.

    • @sjfamily8121
      @sjfamily8121 2 ปีที่แล้ว

      Africa sisi n mazuzu ya mwisho tena ususan kama wewe, mzungu ametumia akili gani kutengeza nini? Kwa nn kama hujasoma na hujui unacho kiskiza watoa comment ya kukashifu, hivi unajua kama iyo simu ulio tumia kuandika iyo comment yako wajua kama ni uchawi ndio umetumika kutengeza iyo smu na kama ulijui hilo je waeza niambia uchawi kwa kizungu waitwaje? Ukinipa jibu la jina la uchawi kwa kizungu aki nitajua wewe n msomi

    • @bintsalimalbimany287
      @bintsalimalbimany287 2 ปีที่แล้ว

      Ammin 🤲😢Mtihan kwa kwel

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 ปีที่แล้ว +3

    Uongo Jini anapenda kukaa sehemu nzuri?mbona wanakaa chooni kwani chooni ni pazuri?

    • @rjb31
      @rjb31 2 ปีที่แล้ว

      Sorry,
      Those are
      Demons

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 7 หลายเดือนก่อน

    Okoka ndugu yangu shetani anakutumikisha bila wewe kujua,jini ni Malaika wa shetani achana na hayo mambo okoka ndugu yangu shetani hana urafiki na mtu,😢

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 2 ปีที่แล้ว +6

    Mzee ni mchawi tu hana lolote, japo anajaribu kujitetea! Jini hanauzuri hata kidogo, anaweza kuigiza wema lakini akibadirika lazima aondoke na roho ya mtu!! Mganga anaongea lugha ya biashara tu, kuwavutia watu waingie kwenye domo la lucifa, shetani naapepo yake!

    • @lolguy-x9n
      @lolguy-x9n 2 ปีที่แล้ว

      tena uganga ni science ya waafrica. majini ni mashetani ya aina gani jameni? wa tz mtuondeloee hizi balaa.

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 ปีที่แล้ว +2

    jamani si makonda uyu chek livo fanana duu

  • @wilonjabikey8274
    @wilonjabikey8274 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyu brother anajuwa dawa kweli

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuwa makini jombaa,majini ni viumbe wajanja sana....hawachelewi kukubadilikia na madhara yake ni makubwa sana!

  • @owagatonny6558
    @owagatonny6558 2 ปีที่แล้ว +3

    Elimu ya Uganga wake ni Upuuzi tu

  • @jovinangambeki7416
    @jovinangambeki7416 2 ปีที่แล้ว +2

    Dr Riziki naomba kujua nilivyolewa na wachawi nywele za kwenye paji la uso nafanyaje ili ziote tena?

    • @milley7185
      @milley7185 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwenye paji la uso Kuna nywele au umeona kama unatoa kitu

    • @jovinangambeki7416
      @jovinangambeki7416 2 ปีที่แล้ว +1

      @@milley7185 yaan zinapoanzia nywele upande wa kushoto jamani wameninyoa

    • @salehharuna7675
      @salehharuna7675 2 ปีที่แล้ว

      Kata kipara in shaallah zitaota

  • @fatumakhamisi1002
    @fatumakhamisi1002 2 ปีที่แล้ว +1

    Naaam nimekuelewa sanaaa tu brother sisi tumepotoshwaaa tu

  • @samuelmuasa2493
    @samuelmuasa2493 2 ปีที่แล้ว +1

    Unaweza kuwashika wezi waliomwibia mtu?

  • @swalehelshabiby5915
    @swalehelshabiby5915 ปีที่แล้ว

    انا لله وانا اليه راجعون

  • @milley7185
    @milley7185 2 ปีที่แล้ว +1

    Ufukweni na wavuvi means hata bwana Yesu alikuwa ufukweni na wavuvi hapo Kuna nini ?

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 2 ปีที่แล้ว +3

    Gharama zikoje za kumuona dr.

  • @nzaijambo3764
    @nzaijambo3764 2 ปีที่แล้ว +3

    Je wajua yesu ni bwana

  • @MussaChilongani
    @MussaChilongani ปีที่แล้ว

    Uko wp mkuu

  • @bihumbiespoire8705
    @bihumbiespoire8705 2 ปีที่แล้ว +1

    Jama kafamana sana na makonda

    • @danielmollel5538
      @danielmollel5538 ปีที่แล้ว

      uyu ni ndugu yake makonda kabisa.. na pia katisha anaweza namkubali

  • @hamboy807
    @hamboy807 2 ปีที่แล้ว +1

    Dr.Riziki upo vyema M.Mungu ukusimamishe zaydi kwa uwezo wake!

  • @thomasero6800
    @thomasero6800 2 ปีที่แล้ว +1

    Dkt nimekukubali Mungu akuongesee

    • @evakessy3282
      @evakessy3282 2 ปีที่แล้ว

      Je!!!unamfahamu thomaso alifanya nini baada ya kuambiwa YESU amefufuka????

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu pacha wake makonda ni kiboko

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 2 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu anakalia wp ??na nombar yake ipi

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 2 ปีที่แล้ว +1

      Anakalia wp huyu

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

      @Bahati Katembo kwann asitoe, majini Wana koo tofauti tofauti na sio wanafanana

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 2 ปีที่แล้ว +2

    To be continued

  • @taarashy7059
    @taarashy7059 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbengo uki kutana nae Tena muulize dini ya kiislam ina sema jini mwema akai mwilini je hao Ina kuaje Wana kaa nao

    • @abdiabdallah1995
      @abdiabdallah1995 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa kaka, maan anaelezea uongo kuhusu jini mwema !! Hawez kuingia kichwani!!!!

    • @rjb31
      @rjb31 2 ปีที่แล้ว

      Jini
      Hakai
      Mwili
      Make
      Yy pia
      Kitu
      Halis

    • @Minpresident5684
      @Minpresident5684 2 ปีที่แล้ว

      Na nyinyi mmefuga majini?
      Coz mnajifanya kujua sana
      Mbwembwe tu

  • @EMMAHMOSETI
    @EMMAHMOSETI 2 ปีที่แล้ว +1

    May God deliver you from that bondage

  • @mwamini1545
    @mwamini1545 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Dr Riziki

  • @DoctorPesandegeMgangaTibAsili
    @DoctorPesandegeMgangaTibAsili 2 ปีที่แล้ว +1

    🌳🌲🌿

  • @frankinspired6486
    @frankinspired6486 ปีที่แล้ว

    Biblia Deuteronomy :18
    10 Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, 11 wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
    12 Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa Bwana; kisha ni kwa sababu ya hayo Bwana, Mungu wako, anawafukuza mbele yako.

  • @bridgetedominic52
    @bridgetedominic52 2 ปีที่แล้ว +2

    ❤️❤️❤️

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmenishtua na uyo sanamu uko chini kwa nn lakini jamani

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 2 ปีที่แล้ว

      Usiogope KINYAGO Kapumzika tu' anakunywa na juice ila huoni kama anakunywa juice Kwa sababu huna jicho la tatu..!...Mi namuona anakula na FEGI..!

  • @jemothegrill3481
    @jemothegrill3481 2 ปีที่แล้ว +1

    Dr riziki I like 👍

  • @tonymaster3619
    @tonymaster3619 2 ปีที่แล้ว +1

    Yupo sawa 👊🤕👊 guys let's do this 👉👉👉

  • @official_manchipa
    @official_manchipa 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kama ni ndotto hiyo

  • @mariambwambo9885
    @mariambwambo9885 2 ปีที่แล้ว +1

    Naogopa😞

  • @s.flavor38
    @s.flavor38 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwnn hujaweka picha ya jini wa kiume🤔🤔

    • @rjb31
      @rjb31 2 ปีที่แล้ว

      Jin kwa
      Sura hana
      Ke wala Me

    • @hajimnzava1972
      @hajimnzava1972 2 ปีที่แล้ว

      Majini mengi yanawakamata watu kwauzinzi,maana yanakuja Kama mwanamke,ogopa Sana wanawake

    • @s.flavor38
      @s.flavor38 2 ปีที่แล้ว

      @@hajimnzava1972 tatzo mnadanganyana sana Yan mwanamke2 ndy awejini inamaana majini niwanawake2

  • @official_manchipa
    @official_manchipa 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh

  • @omarykimamure7656
    @omarykimamure7656 2 ปีที่แล้ว

    Doct rizk mkn xan

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 2 ปีที่แล้ว

    To be continued

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍

  • @esperancesudi2842
    @esperancesudi2842 2 ปีที่แล้ว

    To be continued

    • @aloycerobert8953
      @aloycerobert8953 2 ปีที่แล้ว

      meamini yesu anaweza. Yote sio majini. YESU ANAKUPENDA. SANA

    • @aisham3
      @aisham3 2 ปีที่แล้ว

      Allah Akbar ww mshirikina rudi kwa Allah utubie toooba ya kweli kweli

  • @owagatonny6558
    @owagatonny6558 2 ปีที่แล้ว

    huyu mganga jaman si kitu , yeye na uganga wake ni kitu ovyo na majini na mizimu yake anayoitumia ni Upuuzi tu jaman mbona hamnielewi

    • @Minpresident5684
      @Minpresident5684 2 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo wewe pia ni mganga?
      Wajuaje mizimu yake anayoitumia ni upuuzi ama nyinyi ndio wale wakuchafulia wenzao kazi.
      Tangaza ya kwako mwache mwenyewe na upuuzi wake.jipe shughuli

    • @consolatamasunga903
      @consolatamasunga903 2 ปีที่แล้ว

      Ww ulishawahi kwenda. Kutibiwa nae? Unaongea kama vile unauhakika?

    • @owagatonny6558
      @owagatonny6558 2 ปีที่แล้ว

      @@consolatamasunga903
      Uhakikia ni nao mkubwa na sio huyu tu bali waganga wote Duniani wanachokifanya ni Upumbavu tu na wala si kitu ni wazimu tu na Majini na Mizimu yako ni Upuuuzi mtupu wao si ki2 haifai kuwategemea maana hawawezi chochote na ikiwa wanaweza basi wanidhuru

    • @consolatamasunga903
      @consolatamasunga903 2 ปีที่แล้ว

      Huenda ulishawahi kwenda kwake ndo maana unasema hayo maneno. Pole