MWANAMKE MZURI SANA NI FITNA MIMI PIA TAABANI// SHEIKH NYUNDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ธ.ค. 2023
  • Kuna watu ni hatari kwa kuchukua wake za watu wanawatia kwenye gari ya vioo kiza.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 53

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 7 หลายเดือนก่อน +30

    Hakika kiungo cha dini yetu kimeondoka mana anaongeya na kuchekesha ila ujumbe unafika ipasavyo mola akuhifadhi pamoja na waja wema peponi.amin

    • @HusnaAlly-ip4is
      @HusnaAlly-ip4is 7 หลายเดือนก่อน +2

      Allah amuweke peponi shekh wetu kwa ukweli alikuwa akisema aamiiin

    • @ARNOLDKARISA-fs3ht
      @ARNOLDKARISA-fs3ht 7 หลายเดือนก่อน

      amiin

    • @habyalmary8132
      @habyalmary8132 7 หลายเดือนก่อน +1

      Amin, thumma Amin.
      Ni kweli kabisa. Alikua hafichi kitu kabisa. Msema kweli.
      Mungu amuepushe na adhabu ya kaburi.

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@habyalmary8132kwaiyo kafark?

    • @TharsilaAthanas-iu2qf
      @TharsilaAthanas-iu2qf 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@habyalmary8132Amin

  • @user-jc1pe2qj1p
    @user-jc1pe2qj1p 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mwenyezi mungu akupe njanatu fildaus shekhe nyundo

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 7 หลายเดือนก่อน +9

    Peponi iwe makazi yako shekhe wetu kipenzi

  • @onetap8009
    @onetap8009 6 หลายเดือนก่อน +5

    Allah akuweka Pema palipo Na Wema .Pepo ya Firdaus iwe makazi yko.

  • @AliAchimoAchimoAlifa
    @AliAchimoAchimoAlifa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah amurehemu sheikh nyundo

  • @abdullahmakame3640
    @abdullahmakame3640 4 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akusamehe na akulaze mahala pema msema ukweli sheikh nyundo

  • @HamadMussa-p7e
    @HamadMussa-p7e 29 วันที่ผ่านมา

    Allah akulaze mahala pema peponi Amin

  • @saidamure694
    @saidamure694 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanamke n dini mungu akueke pema umesema kweli

  • @AishaAisha-vt3ng
    @AishaAisha-vt3ng 28 วันที่ผ่านมา

    Allah aitiye nuru kaburi yako na pia akupe wamalaika wema wakukuliwaza

  • @user-ph9ds9dm7w
    @user-ph9ds9dm7w 2 หลายเดือนก่อน

    Allah Amrehemu shekh Nyundo.

  • @user-ui4oh8gf8n
    @user-ui4oh8gf8n 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hakika Tumeondokea. Allah akuhifadhi pema peponi. Ulikuwa uishi kutufurahisha na vicheko.

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani Ni marehemu jamani anafundisha basi apumzike Kwa amani

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 6 หลายเดือนก่อน +6

    ALLAH AKUSAMEHE MAKOSA YAKO SHEIKH AKUWE MAHAR PEMA PEPON AMEEEN THUMMA AMEEN ALLAH ATUJAALIE JANNA FEERDAUS SOTE INSHALLAH

  • @abdikarim324
    @abdikarim324 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ilaillai waina illai rajun.

  • @anwarabdallah7095
    @anwarabdallah7095 7 หลายเดือนก่อน +6

    MaashaAllah shk nyundo Allah akuingize janatul firdaus

  • @ArafaSuleiman-db9pw
    @ArafaSuleiman-db9pw 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Barakah ALLAHU fiiqum hbbi hyo ndio haki ALHAMDLLAH Allah swt akujaalie janatul firdhaus aalyah shekh nyundo akulaze mahali pema peponi aaamiin

  • @mngwalimngwali669
    @mngwalimngwali669 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah amrehemu sheikh wetu

    • @saidjamhuri4801
      @saidjamhuri4801 4 หลายเดือนก่อน

      Pepo iwe makazi yako sheikh wetu ammin

  • @sadunabdallah7303
    @sadunabdallah7303 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akufanyie wepesi ishallah akulaze peponi awauma aminii

  • @mauridcharles
    @mauridcharles 7 หลายเดือนก่อน +2

    Akuna kamawewe daima mungu akuwekesaam

  • @user-fq3gs2jx8h
    @user-fq3gs2jx8h 7 หลายเดือนก่อน +2

    Maashaalla maashaalla barikillahufiki shekhi,nyund

  • @user-fi5yw7lx7l
    @user-fi5yw7lx7l 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu amlaze mahalo pema pepon mungu kampa kipaji chapekee

  • @lalumohdyanga5508
    @lalumohdyanga5508 7 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akuwekwahali pema akupe kauli dhabiti nasi pia tuko nyuma ya ubatili tuye na kauli dhabiti siku ya mwisho

  • @jamaliabdallahjamco9604
    @jamaliabdallahjamco9604 4 หลายเดือนก่อน

    Allah amrehemu shekh..nyundo

  • @user-qh9jj5xz3p
    @user-qh9jj5xz3p 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuraham sheikh nyundo

  • @user-hv1xc2cz1s
    @user-hv1xc2cz1s 4 หลายเดือนก่อน

    Dahhh mungu akurehemu xhekh wetu kipenzi

  • @user-jn5fq1kz6q
    @user-jn5fq1kz6q 4 หลายเดือนก่อน

    Allha,,,akusameee,,,,n'a Sisi utusameee

  • @KarimuYusuph
    @KarimuYusuph 3 หลายเดือนก่อน

    mungu huwaga huchukua kabisa watu ili wasipotee tena

  • @user-dq6uk1zc3c
    @user-dq6uk1zc3c 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @user-jj8rv3eb6z
    @user-jj8rv3eb6z 4 หลายเดือนก่อน

    Maashallah pasua

  • @abdikarim324
    @abdikarim324 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jannah iwe kheri kwako kaka,

  • @DuuSaid
    @DuuSaid 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulaze pahala pema peponi amiin shehh w etu amiin ......Basi mungu auongoze

  • @salimgojero4027
    @salimgojero4027 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @barakamussa1773
    @barakamussa1773 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akurem

  • @MohdOthman-te5co
    @MohdOthman-te5co 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa hakika almarheem sheikh hussein hassan nyundo alikua kiungo wa dini yetu ya kiislaam

  • @musamohamed4265
    @musamohamed4265 4 หลายเดือนก่อน

    Allahu Akbar

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 7 หลายเดือนก่อน

    Ni hatari kubwa.

  • @utaani1
    @utaani1 6 หลายเดือนก่อน

    Hiyo kali ati "kilo yako 1 ya mchele wa mapembe atautaka nani" huku kashapigiwa simu zamani aje achukuliwe saa ngapi kwa mlango wa nyuma, anaagwa mume kuwa mke anaenda kwa mama kutembea mara moja

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 4 หลายเดือนก่อน

    daaa,! mungu alikichukua mapema sana iki chuma make kinachana ukweli mbaka mrengwa unaona aibu na kuacha mahovu

  • @arahmantvonline
    @arahmantvonline 7 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji mbuzi jamani

  • @sheemohamed7280
    @sheemohamed7280 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuandalie Pepo ya firdaus ameen