PATANISHO: Hii ndio siku ya mwisho nakuongelesha.”Bwana amuambia mke wake ( Episode 12, October)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2019
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
Subscribe TH-cam - bit.ly/2MeQ4ki
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Siku zote ogopa watu wapole wanavituko vya ajabu sanaa madharau na kichwa ngumu
45 na 32 yrs wamekomaa inafaa waelewane Gidy, watarudiana tuu
This man ako kwa relationship already. Akona hard character only Lilian can tell. Lily Mungu atakusaudia.
Uyu mwanaume Ni wale uzurura wakichoka wanakosa mtu wa kuhung nayy ndio anakupigia .....had one of that type...shdwe
Comments b4 listening
Naitaji kupatanishwa !!
Uyu mzee already alishamove on kitambo,he is not even remorseful 😂😂😂mama you are strong you shall overcome 🙏🏾
Gidi wanaume huongea polepole ni "pretenders then worse x1000times let me tell you kama hamjui.....
Alafu hawa ndiyo Wanaume wanalilia kwa media eti wamenyimwa watoto
Aki ndoa ya kisasa nomaz
Ghost I like how you lough😃
Laugh*
1st u gona hate but ghost makes my day nice funny laughter
Kicheko cha niudhi
patanisho inasaidia sana
Wanaume wengine hawajui kuomba msamaha
Watching from..+211....patanisho ya leo Noma...
Wellington wanawake ni wengi lakini wa muhimu ni bibi yako mmoja. utajua maana yake akienda. Heshima, upendo ni muhimu.
Watu WA soft ndiyo wambaya 😂🤣😂😂huyu ameshajipanga na mke mwingine amekuja kusumbua gidi na ghost
Aki mwenyesi mungu Nakuomba to utakapo nipee mupezi nipee musuri to
Huyo mwanaume ni noma
Team hamamu muko wapi tujisikizie mambo ya ndoa Kenya yetu
Tuko tunaskiza
@@tabbywambs3205 Hapo Sawa my dear
😂 😂 😂 😂 😂 team hammam
Kuchelewa nayo lakini tumefika
🙋♂️🙋♀️🙋♀️
I love the way ana anachekaka
🤣 Lilian we are always patient, na tukipenda tunapenda na roho moja, but tukigeuka haturudi nyuma!!! Lilian achana na huyo taxi hajielewi, angalia kazi lea watoto wako, mwanaume anaejua thamani yako atakuja
True am Lilian too
Gidi na ghost I love you continue you will unite me too
Wanachekanga hivyo kweli
Hii kicheko ya Ghost iko top
Waaah kumbe Catherine Kashuvuli bado huwa anatangaza News.... poverty imenifanya niwatch KBC
Aende for the second option
Yawa Ghost kucheka nayo 😂😂😂
Huyu mwanaume ana mke mwingine aache uongo
wanaume aki na uongo
huyo jama ako na dem kando hata i think huyo dem wake already ako na ball.
Jamaa hajui kujitetea mke arudi nyumbani
Aky gost hio kicheko hunibamba
Kid na Ghost leo hamjanipa notification but nimefika
Mbona Ghost huwa haongei???🤣🤣
Yeye niwa kucheka mimi upenda
Kazi yake ni ku😂😂😂😂😂😂😂😂
Iiiiiiiiiiiiihiiiii
Kucheka
Ni wa kucheka
Ooo
Eti hajui kutongoza.....?Gidi hujui kuna ndoa zenye mtu hutongozewa! So pengine iyo yao ilikua yakuchumbiwa.
+966nawakilisha
Lilian tunakuwanga hivyo
waah!,'hard' pple, thou nikama wana story refu iliyo wafanya watengane sio hivyo hivyo tu ..yaani seems they are 😴 of each ..lakini 👨 u should not be 😴 of yours kids ...hapo iyo eti bibi awalee watoi umeamua kwa haraka.....play your part too..
😂😂😂😂😂😂😂 Ghost shikilia kicheko kwanza yawa sasa huyu ndiye anasema ameokoka jameni 😂😂😂😂😂😂😂 Gidi
Wa pili leo.
Huyo hakua anamtaka arudi alikua anajaribu tu
Saitan mwanaume mjinga
That guy is real man.hakuna kulambana....
Ghost yawa unacheka mbaka unapepa mkono juu jamani🤣🤣🤣🤣huyu mwanaume alishajipanga.
Roho gumu kama ya jiwe
Ya Leo imeshindikana kwel
Hmm baba we ulikuwa unangoja tu firimbi aoe na ishapulizwa
+966 Ndani ya patanisho
Wakwanza leo
Wewe ninafaa nikuchunguze Wewe kila Siku number one
@@sweetmumwake9729 😁😁😁😁
Gidi hao wanaume huongea polepole kama hujagundua in""pretenders tena worse let me tell you......
.
@@ferdnandnyongesa6734 Hapo anajifanya amakujia neno la kumove on
@@jeccym8715 NIko mm uyu
Huyo Welington ni Bure kabisa tokea alipoanza kuongea statemnts zake hayuko hapa kuomba msamaha.
Ungekuwa wa kutafuta mwingine ungeharakisha mbona unamfuata????? Wacha kujigamba dumesuruali..
True
Huyu jamaa alikuwa amejoka na lilian, mungu akukumbuke lily🤔🤔
Tricky sana uyo ako na mke mwingins
Watu wengine wanakuanga na roho haki huyu mwanaume ako na mtu
The best solution is that man should look for another woman wanabembelezane kwa nini? She isn't the only fish in the sea to hell with her
Ghai, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 otek small
Gedi na Ghost mpee mafunzo ya kuomba msamahaaaaaaaaa
Pole mpeza yngu
Sikuhizi mbona hamko live TH-cam mbona
Mimi nimeokoka....bh uko na plan b even if n hasira xakuongeresha manxe....enyewe n mlima🤣🤣🤣🤣🤣
Ghost kazi yake ni kucheka tu😁😁😁😁
😂😂😂😂😂Hehe jamaa alijipanga kitambo
Roho ngumu 🤭🤭🤭
Walai hii kicheko ya ghost
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Leo wacha nicheke tuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Huyu jamaa ni mjanja seriously.
Nkt,ghost hucheka kama shetani.....anakatsia niaje
Ww unajua vile shetani ucheka
I hate him akicheka so much
Ka huna kitu ya kucomment c heri kunyamaza aki.... matusi ya nini jamani
Hawa kila mmoja ako na mpenzi
Samson ujambo
Huyu jamaa. Nishenzi type yani bila kujali anaachia Mwanamuke akulelee watoto nawewe bado uko Hai je watoto watakuja jua dhamani ya babayao kweli
Roho chuma
Anaye tafuta safari na ajui vile atanza mm nipo hapa naweza wasaidia atakama mtu Ana passport atatafutiwa free. Kazi ya nyumba Baharin, Qatar, Saudi. Comment chini yangu
Mimi
@@fazzikikuyu2088 uko upande gani wa Kenya
nitafute what's up +254710657282
@@fazzikikuyu2088 hope umechukuwa number yangu coz nimefuta nitumie sms atakama sipo online
@vincent mudenyo Mombasa
That guy, duh, ignorant, hard to apologies, kuokota maneno, ,,
Roho mawe sio siri
Roho ngumu 🤣🤣🤣
Huyu mzee alikuwa anakuja Uamuzi wa mke wake .SASA ako free anaenda Kuowa sasa hivi so ataki Huyu mwanadada arudi kuongea naye tena
Aki
Ata watoto amewacha
@@RoroRoserororo Huyo nijinga sijui ni yawapi
@@agneswanjihia1383 Wanawake wako nashida
@@sweetmumwake9729 nakwambia sijuwi sisi twaelekea wapi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
munasinya na huyu jimi gate
gost mule ume niambukisha kicheko.😂😂😂😂😂😂 maneno matamu ya mutumishi wa MUNGU.🤔🤔🤔🤔
Majina ya Lilian wapendagi ujinga. Lilian njoo Saudi tufanye kazi ulee watoto wako... Mimi pia niko Saudi na nalea mtoto wangu
Pia mimi niko Saudi
Team Lilian , strong woman
@@lilliannelima7009 upande gani mm Dammam
@@bahatililian7291 yani uwa tuko strong Tena wapole atuna maneno mengi
@@stellaloves9879 niko abha
Huyu mzee ni maviii tuu😒😒😒😒😒😒😒😒😒
Hii sms hutumwa kwenye namba ipi alafu mtu hutuma Mara ngapi ndio isomwe? Juu naamini million za watu hutuma😎😎
Pia mimi uwa nauliza aki
Ino.ni ngui 😂🤫🤫🤫
Antony Ndirangu huku no irumi tu
@@marywambui6489 😂😂😂😂😂
+964 nambar two ndani ya pataniso
Anna J Pamoja
Pamoja sana
Mjinga alee watoto..watoto hawana hatia
Uyu mzee already alishamove on kitambo,he is not even remorseful 😂😂😂mama you are strong you shall overcome 🙏🏾
Ww mzee hiyo damu yako itakudai.ujui kubebeleza ww