Rose Muhando Asema Yeye Ni simba wa Kike👏 Kindly subscribe to my YouTube channel.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 428

  • @dorothykemuma838
    @dorothykemuma838 4 ปีที่แล้ว +4

    I love the lines used in describing kasolo stephen

  • @sharlynalgatany613
    @sharlynalgatany613 6 ปีที่แล้ว +1

    Rose simama na Mungu majaribu utashinda mamangu, u are a winner

  • @bensonotieno7901
    @bensonotieno7901 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Rose Mungu akushike mkono, utembee kwa ujasiri

  • @LLL3712
    @LLL3712 6 ปีที่แล้ว +1

    Replaying her songs to listen to the powerful message she used to deliver through them. May the good Lord and our Christ Jesus deliver you from all your tribulations Rose.

  • @tondisangasangasanga9507
    @tondisangasangasanga9507 6 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana dd rose we ndo muimbaji naekupenda always mungu mponye mtumishi wako roseeeee

  • @GodisLovetoo
    @GodisLovetoo 6 ปีที่แล้ว +2

    I’m here for her hair.... I love it!

  • @pennystang6065
    @pennystang6065 6 ปีที่แล้ว +2

    Sasa rose nilifanya nimbandirishe maisha kwa nyimbo zako kama mwenyedhambi endelea kufanya dhambi.hivi sasa shetani amepata nafasi kwako.mrundie mungu .pesa baadaye

  • @veronicamatebya7564
    @veronicamatebya7564 6 ปีที่แล้ว +1

    Oooh! Asante Yesu ulie hai,umemtete Rose Mhando ushindi umeonekana, Haleluyaaaa!!!

  • @leopodyagusti9658
    @leopodyagusti9658 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ni *Diamond platnumz* kwenye *Gospel* 🔥... i real luv her😭..God bless yu rose

  • @ndindamwonga9530
    @ndindamwonga9530 6 ปีที่แล้ว +51

    Round hii kuzimu kutatiii kwa jina la Yesu,,,,we love Dady

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutie nguvu mama rose akurudishie nuru ya macho yako akufungue katika vifungo vya mwovu ibilisi sema amen🙏🙏

  • @mahmood8537
    @mahmood8537 6 ปีที่แล้ว

    Thank you God Kwakumponya Rose, naamin utakaa sawa Kila kaz ya Mungu razima iwe na misuko suko, We songa mbele Mamy, Tunakupenda sanaaa

  • @mercymasila6334
    @mercymasila6334 5 ปีที่แล้ว +1

    despise challenges your God will never disappoint you rose ,,,,,,,,it shall be well with you

  • @rolexlaboso9374
    @rolexlaboso9374 6 ปีที่แล้ว

    Rose nakuomba umtembelee Mubiri mmoja kula Africa kusini anaitwa ALPH LUKAU ni muhimu sana kwako Usisitesite dadangu twakupanda na nyimbo zako simetujenga kiroho na mungu anakuhitaji. Adui ni wengi hawan furaha na bado wanajiandaa tena.

  • @bobocathouseoffab4477
    @bobocathouseoffab4477 6 ปีที่แล้ว

    Oliva Wema Huwezi kuwa Rose Muhando. Mumemuharibu Uchukue umaarufu wake. utaimba lakini huendi POPOTE. Mungu ako na Rose Muhando. Nathani wami ndiye director wako aliyekuwa director wa muhando mliyeshikania naye mmmalize Rose. hamuendi popote in Jesus Name. Rose nakupenda sana God is with you.

  • @rosenyirenda4932
    @rosenyirenda4932 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana Dafa yetu Rose..
    Mungu smeshakushindia.
    kiboko cha mungu kinamfusta Nathani. amechezea mboni ya jicho la Mungu

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 6 ปีที่แล้ว

    Ameeeeen Sana rose nakupenda Sana mungu akuponye

  • @constancewakio604
    @constancewakio604 6 ปีที่แล้ว

    Am your die hard fan Rose muhando
    , victory is yours mum go for it!!

  • @sammynderu725
    @sammynderu725 6 ปีที่แล้ว +87

    Stephen ambia rose ya kwamba amesha tikisha kuta za kuzimu na ndoo sababu shetani hana furaha naye..
    Mama rose ulifanya mimi niokoke na pia my son who is three years now love your songs crazily. My prayer to you is that, may God keep you always, just as the Bible says,malaika wa bwana hufanya kituo wakiwazingira wamchao bwana..hata kama labda umefail mahali sisi wote binadamu na kakuna aliye mkamilifu.
    Kwa hivo jua ya kwamba kumi wanakuchukia lakini tisini wanakupenda na zaidi ya yote mungu ako pamoja nawe na pia huduma yako imikubalika mbele za mungu.na sasa adui sikiza hivi,ulijaribu kutuonyesha ya kwa rosi ako na mapepo,ukafiria sasa tutamchukia,sasa kuwa tayari kuchomeka kwa sababu hivi navyo ongea wengi sasa wanashubulia adui sasa.
    Rosi haufi kwa sababu lazima tukutane na wewe na tufanya colabo na wewe,kwa hivo jua yakwamba ndo umeanza kazi,hivi wala huzeeki manske mbegu ya kiungu imo ndani yako...mama wewe ni simba na shetani ajue hivo wewe ni simba.bro kasolo make sure mam rosi amepata ujumbe huuuu

    • @jacquelinejacque5341
      @jacquelinejacque5341 6 ปีที่แล้ว +2

      That's so powerful bro praying 4 her too.she will overcome everything IN JESUS NAME.

    • @StephenKasolo
      @StephenKasolo  6 ปีที่แล้ว +3

      Asante Sammy Mungu atamuinua Rose tena

    • @andrewamos6536
      @andrewamos6536 6 ปีที่แล้ว

      jaman tujue kwamba mapepo yana mlango wa kuingilia na MTU kuwa na pepo siyo jaribu ila kuna mahali anakuwa hayuko sawa Mungu..maana ili pepo likuingie basi una vitu vinavyoyavuta mapepo kwako...

    • @neemambisse7041
      @neemambisse7041 6 ปีที่แล้ว

      Naamini Kaz ya Mungu......Kasolo make sure unamtumikia Mungu Mungu aliye juu aliyeziumba Mbingu na nchi...make sure make sure

    • @lyina1699
      @lyina1699 6 ปีที่แล้ว

      Amen

  • @norahaketch6776
    @norahaketch6776 6 ปีที่แล้ว

    Love you so Mtumishi Rose.Mungu akuimarishe usimame wima.

  • @alicemuthonimuthoni1466
    @alicemuthonimuthoni1466 3 ปีที่แล้ว

    Wangapy tuko apa 2021.tushuhudie matendo ya mungu.our God never fails

  • @jexal444
    @jexal444 6 ปีที่แล้ว +1

    Be very strong Rose God is with you your future glory will be greater than the former one

  • @elizabethmwikali67
    @elizabethmwikali67 6 ปีที่แล้ว +1

    Twawapenda sana, simba kweli may the almighty Lord uplift u

  • @EmmanuelPhilosopherStar
    @EmmanuelPhilosopherStar 6 ปีที่แล้ว

    Am so happy to see Gospel star Rose Muhando looking as fit as fiddle. God is Great. Lazima injili isonge mbele

  • @brigittemujinga4772
    @brigittemujinga4772 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen maman rose simba je suis fiere de toi la servante de Dieu je t'aime ke le Dieu tout puissant tes comble encore de sa benediction et sa protection car il est misericordieux et compatissant

  • @frankline4039
    @frankline4039 6 ปีที่แล้ว

    Kasolo this is great uniting with east Africa great legend(rose muhando) to spread the word of the lord.wow God bless.

  • @ibrahimezron6569
    @ibrahimezron6569 6 ปีที่แล้ว

    Asante mungu ,kwa uzima wa dada yangu rose nakupenda sana dada mungu akupinganie ktk maisha yako,,,,,,,,,,,, uwe mpy tena

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 6 ปีที่แล้ว

    Be blessed mama Rose #Simba yaani shetani na Nathan watamezwa tu.
    Simba......Haah

  • @asiminana4097
    @asiminana4097 6 ปีที่แล้ว +20

    Pole sana Dada rose muhando kwa yaliyo kupata, amini kwa kila jambo mungu ana sababu ,but don't lose your faith to God Almghty,sasa huu ni wakati wako mungu amekuchonga uko 🔥moto uwaaibishe na wafadheike adui zako ,fear not my dear sister and you're going to overcome and you'll make it in JESUS NAME it's my prayer for you.

    • @ruthkinuthia1255
      @ruthkinuthia1255 6 ปีที่แล้ว +1

      Asimin Ana Amen 🔥🔥🔥🔥🔥moto wa yesu umsigile Rose

    • @asiminana4097
      @asiminana4097 6 ปีที่แล้ว +1

      @@ruthkinuthia1255 Amen and Amen

    • @doreennasike6298
      @doreennasike6298 6 ปีที่แล้ว +1

      Amen and Amen

    • @aexandersaid812
      @aexandersaid812 6 ปีที่แล้ว

      That is true

    • @hbk2880
      @hbk2880 6 ปีที่แล้ว

      poleee

  • @dorcaskihiyo3594
    @dorcaskihiyo3594 6 ปีที่แล้ว +2

    Duh rose jamani kweli aliejuu tumngoje chini duh acha mihadarati hata mungu hapendi

  • @levajob3326
    @levajob3326 6 ปีที่แล้ว

    Nimezidi kukupenda zaidi na zaidi... Mungu azidi kukukumbuka aunt Rose

  • @shaniahrachma3114
    @shaniahrachma3114 6 ปีที่แล้ว +1

    Rose ni simbaa umetisha sanaa kenya umeimba hadi watu wameokoka Africa yote kenya tunakupenda sanaa na twashukuru kukuona uki strong 💪 we love you soo much 💖💖💖💖🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 6 ปีที่แล้ว +3

    The rise of Rose Mhando! Simba jike la yuda

  • @heavenlyjoy87
    @heavenlyjoy87 6 ปีที่แล้ว +2

    Praying for you Rose. You will rise again.

  • @mumoyoungbonymutua7343
    @mumoyoungbonymutua7343 6 ปีที่แล้ว

    mob love mama I live your music pona haraaka kuzimu itetemeke

  • @norahkimuyu9097
    @norahkimuyu9097 6 ปีที่แล้ว +2

    Wow.. nyc... be blessed guys.. love you so much...

  • @eveimbusi5940
    @eveimbusi5940 6 ปีที่แล้ว

    Haha Mama Rose unani pamba Simba wa yesu akinguruma watu wanaokoka 😁😁😁😁 Ameeen nakupenda sana Dada Rose barikiwa sana😘😘

  • @ezechielbizimana4042
    @ezechielbizimana4042 6 ปีที่แล้ว +1

    Don't worry my sister Rose Muhando for what happened,Go ahead foward!!God is with you forever!!

  • @allexlunny7795
    @allexlunny7795 6 ปีที่แล้ว +9

    Mungu akusimamie Rose Muhando waliotaka kukuangamiza watalipa hapa hapa duniani

  • @japhetmuhindi2827
    @japhetmuhindi2827 6 ปีที่แล้ว

    stand again mama wangu nyimbo zako zmenbark sana,, YESU U PAMOJA NAWE

  • @mrgiftjonathan8703
    @mrgiftjonathan8703 6 ปีที่แล้ว

    Naahidi kumwombea sana Mtumishi Rose

  • @mrpositiveiq4305
    @mrpositiveiq4305 6 ปีที่แล้ว

    My dear rose uliyumba San rudi kwa Mungu kwel sio ki utan utan ww ukipata pesa ukaanza kufamfanyia Mungu biashara ..

  • @queenregina7511
    @queenregina7511 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana Rose mungu akubariki sana🙏🙏🙏🙏🙏

  • @liliandavid9993
    @liliandavid9993 6 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed for the good job you are doing

  • @drrugendarutakaliletirugar6885
    @drrugendarutakaliletirugar6885 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana Rose....twakupenda na twakuenzi, Ole wetu na aendelee kukuonekania.

  • @moniquewanjiru1084
    @moniquewanjiru1084 6 ปีที่แล้ว +2

    Thanks Kasolo for being there even at this time

  • @PeterkenyaOfficial
    @PeterkenyaOfficial 6 ปีที่แล้ว +6

    wow..Simba..I love it. Be blessed people

  • @bronew5696
    @bronew5696 6 ปีที่แล้ว +4

    Napenda mama sana
    kasolo waaasa wim,uunduume,cogratz

  • @mollymelany633
    @mollymelany633 6 ปีที่แล้ว +2

    RoseGod will fight for you coz the battle belong to lord rose you are not going to die you will live to praise above God...your story imenilisha sana ..

    • @jenniferjoseph2889
      @jenniferjoseph2889 6 ปีที่แล้ว

      What happened to her

    • @masirikayves7738
      @masirikayves7738 6 ปีที่แล้ว

      Molly Melany jamani sijasikia story yake Rose muhando,nipashe kwaufupi please

  • @abdojjjabdoll2074
    @abdojjjabdoll2074 6 ปีที่แล้ว

    HALLELUIYA DADA ROSE SIMBA WA YESU KRISTO MAMA HUTINGISHIKI WACHA KUZIMU IBABAIKE NAKUSHIDWA KWA JINA LA YESU KRISTO,,,,,HAWATAVUNA KITU JUU WAKO MAADUI ZAKO IN JESUS NAME 💃💃💃💃💃💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @priscachoga6345
    @priscachoga6345 6 ปีที่แล้ว

    Daaaah masikin ya mungu umebaki tu na makovu mama wa watu

  • @wangarimacharia1027
    @wangarimacharia1027 6 ปีที่แล้ว

    God is going to do great things upon you mama,,,we love you so much just be strong

  • @gfugffufgh2928
    @gfugffufgh2928 6 ปีที่แล้ว

    Love it be blessed siz Rose Muhando

  • @solangemby8201
    @solangemby8201 6 ปีที่แล้ว

    Dada Dada.rose Mungu anakupenda kwakazi unafaa usi choke ama shida zisiache unamuacha Mungu jikaze jitiye moyo taji nimbinguni shetani lazima akupiganishe maana unabariki ,watu wanaokoka kupitiya nyimbo zako usimuachiye nafasi ,kwasababu Mungu anakutumiya kwakuudumiya.watu wake jipemoyo Dada.usirudi.nyuma

  • @kenzokimambi7922
    @kenzokimambi7922 6 ปีที่แล้ว

    amina dadangu mungu akutie nguvu naakuinue tena na akulinde milele

  • @denisehaguma535
    @denisehaguma535 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidiye Rose,watu wanabarikiwa kupitiya kaziyako

  • @solangendayishimiyebasita3244
    @solangendayishimiyebasita3244 6 ปีที่แล้ว

    Rose we love you maman keep going

  • @ashurahaji3475
    @ashurahaji3475 6 ปีที่แล้ว

    Penda sana rose mungu akurudishe kwenye mstari

  • @shaniahrachma3114
    @shaniahrachma3114 6 ปีที่แล้ว

    Big up legend happy to see you going strong i see some bitter illiterate Tanzanian saying that it was embarrassment 😏😏😏nyie watanzania ndio mliomuaibisha rose muhando kwa kumuroga kutaka kumuuwa mshukuru wakenya alipewa maombi kisha mwasema aliaibishwa si mgemtibu basi kwa mganga kisirisiri venye mlivyomroga kisirisiri mixeeew wanafik wakubwa tena nlikuwa mnapost insta eti rose ni freemason wapuzi nyie

  • @Jayney214
    @Jayney214 6 ปีที่แล้ว +1

    Ooh God of mercy whatever mama Rose is going through may you remember her ooh lord she touched our hearts. Ooh lord please

  • @brigidmua9558
    @brigidmua9558 6 ปีที่แล้ว +2

    Supported.....muhando. . Be blessed

  • @bilihaniadriano5757
    @bilihaniadriano5757 6 ปีที่แล้ว

    khaaaaaaaa! kuzim kimenuka ❤👍

  • @gracealexander5309
    @gracealexander5309 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukuinua kwa jina la Yesu kristo.lipitayo majina yote

  • @judithmueni1408
    @judithmueni1408 6 ปีที่แล้ว

    lazima kuzimu watainamisha,,,,,watatambua kunaye Mungu mbinguni,,,,Mungu awabariki sana na anawapeleka mbali

  • @neemalushinge2477
    @neemalushinge2477 6 ปีที่แล้ว

    roze mimi nakupenda tu hatawarimwengu wainuke wakuseme mabaya usikate tamaa usifedheheshwe na hukumu yawanadamu yupo MUNGU mwenye huruma anakupenda na azidi kukupenda nakuinuwe wewe pamoja na famlya yako ainuwe huduma yako nakupenda dada yangu MUNGU awenawe

  • @robertgeofrey4118
    @robertgeofrey4118 6 ปีที่แล้ว +1

    Welcome again Our Dear Rose Mhando we Still ❤️ You our Sister in Christ

  • @leticiaaugustin4993
    @leticiaaugustin4993 6 ปีที่แล้ว

    Nakuombea Dada yangu. Mungu akulinde na wabaya Wote.

  • @jacqulinemushi5849
    @jacqulinemushi5849 6 ปีที่แล้ว

    Nataman kuuona ule uimbaji mzuri wa mwanzo wenye utukufu kutoka kweny album ya kwanza. Kulikuwa na wimbo kama 'Dunia ipo mashakani, Usipomruhusu Yesu afanye marekebisho nk. Zilikuwa ni nyimbo zenye uvuvio kabla yakuingia kwnye mzik ni pesa.

  • @cestjolie5574
    @cestjolie5574 6 ปีที่แล้ว

    Pole san ma Rose Muhando. May Mungu akushindanie kwa yote 😭😭😭😭😭

  • @كيفي-ض2ج
    @كيفي-ض2ج 6 ปีที่แล้ว

    Rose muhando napenda wimbo zako sana

  • @beckybecky7754
    @beckybecky7754 6 ปีที่แล้ว +1

    Waw anointed one big up kasolo

  • @brettavilita5972
    @brettavilita5972 6 ปีที่แล้ว +1

    Body of Christ let us unit and pray for Rose muhado.let us get deeper in prayers and fasting.

    • @rebeccawamaitha7781
      @rebeccawamaitha7781 2 ปีที่แล้ว

      Thanks for noticing that she needed prayers. Jesus is the only Lion of Judah.

  • @faustieibica8529
    @faustieibica8529 6 ปีที่แล้ว

    Amen, simba twakupenda, Mungu azidi kukubariki tuu

  • @esthermutisya93
    @esthermutisya93 6 ปีที่แล้ว

    Rose mimi nakupenda bure tu, hata watu waseme nini u are the Best, ur músic is the Best, however í advice u to go to scoan the church of TB Joshua start watching Emmanuel tv daily,whatever the enemy has stolen from u almighty God is going to restore it to u IJN amen

  • @vicentemanuelndalipa1951
    @vicentemanuelndalipa1951 6 ปีที่แล้ว

    mungu akubariki

  • @nancywairimu1647
    @nancywairimu1647 6 ปีที่แล้ว

    mie dogo simba wanguruma anyway stay blessed siz Rose Muhando

  • @winfred2546
    @winfred2546 6 ปีที่แล้ว +5

    Amen be blessed Rose and Stephen

  • @MJ-ye7dd
    @MJ-ye7dd 6 ปีที่แล้ว +3

    I can't stop crying, please someone tell me what happened to Rose Muhando?Mikono nini tena? just recently she had an accident,,,what has happened to her face? oooh no....Heavenly Father, when my heart is overwhelmed lead me to the rock that is higher than I. Remember Rose

  • @ckosmah21
    @ckosmah21 6 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana rose muhando aijalishi anayopitia but heshima yake iko palepale

  • @gladyskiplimoart
    @gladyskiplimoart 6 ปีที่แล้ว

    May God preserve Rose as she journeys on spiritually, she will be well.

  • @annewachira4317
    @annewachira4317 6 ปีที่แล้ว

    Much Love Rose Muhando!

  • @rosemuthoni5346
    @rosemuthoni5346 6 ปีที่แล้ว +12

    Yaani mum umeita watoto wako wote majina .annoint Essau amani anaitwa super star and also Stephen kasolo umemuita super star .na Mimi je??!

    • @anastaciaw9806
      @anastaciaw9806 6 ปีที่แล้ว +1

      Essau sio mtoto wa Rose ni jina alijipea ata amejieleza watu wasiwe wanatatizika

    • @geofreyniyonkuru5724
      @geofreyniyonkuru5724 6 ปีที่แล้ว

      Rose Muthoni
      wewe ni QeeN #Elizabeth
      😢😢😢

  • @Zeddywehu
    @Zeddywehu 6 ปีที่แล้ว

    Wow,barikiweni sana

  • @irenenabitaka7057
    @irenenabitaka7057 6 ปีที่แล้ว +1

    My sister Rose, what is going on? I respect you so much.

  • @zachariaglory9625
    @zachariaglory9625 6 ปีที่แล้ว

    I love u Rose

  • @hon.muhindokedsonofficial
    @hon.muhindokedsonofficial 2 ปีที่แล้ว

    Rose muhando really uko simba

  • @williammukaria7849
    @williammukaria7849 5 ปีที่แล้ว

    Mama rose we love you very much

  • @janetwambugu2840
    @janetwambugu2840 6 ปีที่แล้ว +1

    We love u more

  • @veronicapaul9343
    @veronicapaul9343 6 ปีที่แล้ว

    Mungu nimkubwa

  • @dianawabaha8815
    @dianawabaha8815 6 ปีที่แล้ว +5

    She doesnt look okay honestly... May God help her through whatever she she if facing in this life.

  • @officialpriscillakiloko9811
    @officialpriscillakiloko9811 6 ปีที่แล้ว +1

    Rose wakenya wanakupenda sana utainuka Tena kuzimu akuna nafasi katika mwili wako

  • @robertmuhumuza1990
    @robertmuhumuza1990 6 ปีที่แล้ว +8

    Jamani Shatani Halali, Yeye kilamara nikuwajaribu watumishi wa Mungu ila Mungu ni Mungu na anaweza💪💪. Mibaraka za Mungu ziwe nanyi Masujaa wake in Jesus name! Robert from USA. Mutakuja lini Marekani? Stephen Tell me.

  • @dianeclaudinne9248
    @dianeclaudinne9248 5 ปีที่แล้ว

    okoka vizuri dada iri.kesho.usiangamie shetani hanauruma

  • @saidnassermahrooqi1787
    @saidnassermahrooqi1787 6 ปีที่แล้ว

    Nafurahia sana uzima wako

  • @lucymrembolucy2294
    @lucymrembolucy2294 6 ปีที่แล้ว

    Yote yamepita hutobadili mioyo yetu kukupenda, kupenda huduma yako na kuamini ufanyacho tutakupa sapoti zanguvu na utainuka tena nahuto anguka tena kwa uwezo wa MUNGU .gonga like hapa kama unakubaliana namini popote pale ulipo.

  • @pamelanamtebi9012
    @pamelanamtebi9012 6 ปีที่แล้ว

    Marehemu dadangu kenya alipenda sana nibebe ya Rose Muhando

  • @mosesmudavadi9668
    @mosesmudavadi9668 6 ปีที่แล้ว

    watanzania kwa uchawi namba moja.mnaroga mpaka muhando eiiiiish

    • @extramen5534
      @extramen5534 6 ปีที่แล้ว

      Nafsi yake ilikubali kushiliki mambo ya nguvu za giza kwa utajili au mafanikio

  • @ujjju6294
    @ujjju6294 6 ปีที่แล้ว

    Pole rose sana. The devil is fighting u left and right but God is above any power from the pit of hell rose u need the truly men /women of God to pray fast for u, u need also the holy spirit to guide bcoz I believe a child of God cannot be possessed by the demons u have the holy spirit in you rose please be careful who's laying hand on u. Am praying for u

  • @akashakiyara3243
    @akashakiyara3243 6 ปีที่แล้ว

    RosebMuhando God loves you, so much. Kweli simba wa kile,ambaye hako na simba wa yudah,Jesus Christ of Nazareth. Xaxa Mr manager it's the high time,God's wrath,will rule in your life,Satan remove hands out of Rose's life,in Jesus Mighty Name.

  • @dorishaule4129
    @dorishaule4129 6 ปีที่แล้ว

    Amina dada Amina 🙏