Kwanini wewe mwandishi wa hii habari unakata kata maneno ya Samu kwenye hii cripu na wewe unalipwa na viongozi wa simba au? acha ubinafsinkama unamuhoji mtu muwache aongee amalize anacho kisesema kisikike
Hayo ndio matatizo yenu wapenzi wa simba, hamuthamini kauli za ukweli juu ya udhaifu ktk timu yenu...ucpojuwa tatizo na ukalitatuwa utapataje mafanikio? Hatimae mnaishia mbeleko zikiwemo penalt za mchongo!
SAME anasema ikweli kila mara.🌻
SAM,WEWE NI SAM WA UKWELI.HAUNA BAYA MSEMA KWELI SIKU ZOTE HUWA.HAPENDWI NA WASIOUPENDA UKWELI.MSEMA UKWELI NI MPENZI WA MUNGU.
Thanks brother ❤❤❤❤
Dah mashabiki kama hawa pale simba wamebakia wawili 2 wanao sema kweli hao wengine ni mapenzi 2 na timu yao hata ikiharibu hawasemi ukweli 😅😅
Ni kweli kabisa yanga Iko vizuri sana
Kaká unko sawa
Uko vizuri broo
Kaka sam wewe ni mkweli,mungu atakulipa
Nakubali
Muchome jana na Leo hajaonekana yukowapi
Hata Mimi namtafuta sana Mchome simuoni japo ninamkubali sana.
❤❤❤❤❤❤
Kwanini wewe mwandishi wa hii habari unakata kata maneno ya Samu kwenye hii cripu na wewe unalipwa na viongozi wa simba au? acha ubinafsinkama unamuhoji mtu muwache aongee amalize anacho kisesema kisikike
Huyu bwana huwaga anasema ukweli bhna
Bora umemfunza mwandishi ni shabiki maandazi
Hayo ndio matatizo yenu wapenzi wa simba, hamuthamini kauli za ukweli juu ya udhaifu ktk timu yenu...ucpojuwa tatizo na ukalitatuwa utapataje mafanikio? Hatimae mnaishia mbeleko zikiwemo penalt za mchongo!
Kwani mchome mapovu anaumwa? Mbona achambui