Nyie simba umbumbumbu unawasumbua au kuna mashabiki wengi tu wa simba wansojua mpira wamemuelewa chasambi vp nyinyi mumjie juu mchezaj mdg anaeitaji kukuzwa nakufarijiwa eti kisa kumchagua max kosa liko wapi yy huyo ndo role model wake kwahyo unataka kisa yupo simba amtaje wa simba mazuri yote ya chasambi mmeyafukia mnazungumzia vibaya kiasi mnamkataa kwenye club hacheni ujinga hawezi kuomba msamaha
Yuko sahihi sana ila kwa upande wa CARRIER ake itamletea shida kisaikolojia ukishaanza kuandAMWA na watu lazima utoke kwenye reli,,,,wachezaji wajifunze kulinda walipo kwa manufaa yao,,,,,OVERCONFIDENCE ni kaburi
Tafsiri ya mawazo ya chasambi na wanasimba walio wengi ni tofauti... Inatafsiliwa kama simba hakuna mchezaji mzuri lakini chasambi alikuwa na maana kwamba yeye binafsi anapenda uchezaji wa max lakini yeye hakuwa na maana kwamba kwamba max ni zaidi ya wachezaji wote wa simba siyo hivyo
Mashabiki wa Simba acheni roho mbaya.Kwa hiyo kosa lake liko wapi?Baadhi yetu wabongo ni wachawi tu kwenye soka.Kumtaja Nzengeli ni kosa au mlitaka amtaje Haland.
HAYA mambo yote yanaletwa na waandishi WA hap bongo Hadi kitu kinakua Yan KITU KIDOG kinakuzwaa DUH waandishi SIO KILA KITU kukikuza JAMANI. PIA chasambi Hana kosa YEYE NI mtazamo wake NA WATU hupenda kuiga kile KIZURI na KIZURI kakiona KWA zengeli so mwacheni aige na ajifunze 😢😢
Acheni upuuzi hasa nyinyi waandishi wahabari ningekuwa mimi ndiyo kisugu unanihoji upuuzi huo ningeondoka tu mnaonekana kama mmetumwa tu mbona max haikuwa midomo mingi niwapuuzi sana nyinyi waandishi wakibongo wapuuzi sana
Wacheni ujinga nyinyi mashabiki msojua mpira hao wanaomsema vibaya chasambi ni utopolo wanataka kututoa kwenye reli mwaka huu ubaya ubwela upo palepale unakuja party 2 2025.chasambi ana haki ya kumchagua mchezaji yoyote ulimwenguni
WANAOHITAJIKA KUKUFANYA WEWE CHASAMBI HUMFIKIE HUYO NZENGELI WOTE UKO NAO SIMBA SC SASA KWA KAULI IYO UNADHANI WATAKUPA USHIRIKIANO ASILIMIA 100???KUWA MAKINI NEXT TIME.
Wewe hakuna kitu kama hicho,kama Simba hakuna anayemfurahisha asiseme? Heshimuni mawazo ya Chasambi yuko sawa. Acheni ushabiki uchwara. Mimi ni shabiki wa Simba lakini malalamiko ya baadhi ya mashabiki wa Simba dhidi ya Chasambi Ninayapinga.
Dogo kakosea sana aombe razi wezake wewe unaishi nawachezaji wa simba kambi moja halafu unasema wacheza ji hajaona mchezaji mwenzako haķuna mchezaji anaekuvutia nikosa kubwa sana
Aombe radhi kivp jamani??!!Sasa mwenyewe kaona huyo ndio anaempenda,mlitaka aseme uongo??huo ndio ukweli kutoka moyoni wa CHASAMBII,mctake kum'badilisha kauli,cc tumeshika kauli ya CHASAMBII ya kwanza,ukweli utabaki pale pale,aichafue brand kivp jamani??🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hapo akuna cha ajabu alichokiongea chasambi mbona maxi alisemaga anamkubali AWESU pamoja na FEI hapo napenyewe tusemeje? Mbona wabongo amtakikukua kisoka?
Sasa apo ubaya uko wapi hiyo ni kawaida chasambi kumpenda max na hata Max aliwahi kuulizwa swali kama hili akasema anampenda Awesu Awesu tatizo nini????
Kuna watu awaelewi mambo ya mpira teache mihemuko alichokosea ni kitu gan achen ushamba
Chasambi yupo sahihi.
Hajakosea chasambi kaongea kimtazamo wake shida yetu sisi watz tunapenda kukosoa mitazamo ya watu wengn
Kwamara yakwanza namusikia kisugu akiongea point
Mimi mwenyewe ni simba ila niliwahi kuvutiwa na lunyamila tatizo like wapi
Akacheze yanga mjinga uyooo anaichafuwa yanga
Chasambi hana kosa ,,, Mimi mwenyewe Simba , lakini Sion mchezaji wa Simba anaemzid max,. Ukweli usemwe,
Wanaomkosoa hawajui mpira
Hakuna haja ya kuomba radhi sioni kosa hapo.
Sio powa
Mchezaji na mashabiki ni vitu viwili tofauti ,shabiki ni mpiga kelele mchezaji ni mfanya Kaz
Kama ni role model wake haina baya. Huwezi kumfanya aamini asichoamini.
Kwl kbs
Watanzania bana
Hapa kisugu nmekuelewa mimi ni Yanga
njooo yanga mtoto uchez na max kuwa na amani
Mimi mwenyewe namkubali sana Abuya
Facts my brother
Kweli kabisa kisugu 😂😂
Kisugu Leo nimemuelewa sana
Swali aliloulizwa max ni tofauti na aliloulizwa chasambi
Nyie simba umbumbumbu unawasumbua au kuna mashabiki wengi tu wa simba wansojua mpira wamemuelewa chasambi vp nyinyi mumjie juu mchezaj mdg anaeitaji kukuzwa nakufarijiwa eti kisa kumchagua max kosa liko wapi yy huyo ndo role model wake kwahyo unataka kisa yupo simba amtaje wa simba mazuri yote ya chasambi mmeyafukia mnazungumzia vibaya kiasi mnamkataa kwenye club hacheni ujinga hawezi kuomba msamaha
Nakupa mauwa yako
Kisugu hapo uko sahihi🙏🙏💯
Safi sana kisugu ,,,ukubwa dawa
Ukiwa dawa ipi, zingatien maswali yakuulzwa, max aliulinzwa nje ya timu yake , ila chasambi kaulizwa kwenye timu yake kasema hakna kabisa
Na wew muandish unarudia rudia maneno Ayo Ayo baada ya introduction nenda kwenye point watu hatuna muda ndugu
Mbona max alimsifia awesu.
Huu ni ukweli aliosema Chasambi
Yuko sahihi sana ila kwa upande wa CARRIER ake itamletea shida kisaikolojia ukishaanza kuandAMWA na watu lazima utoke kwenye reli,,,,wachezaji wajifunze kulinda walipo kwa manufaa yao,,,,,OVERCONFIDENCE ni kaburi
True
Point
Kijana yuko fine kabisaa maana me cjaona mchezaji wa Simba mwenye juhudi kama max
Chasambi kazngua
Alisha wai kusema role model wake pape sakho
Mm nishabiki wa simba lkn maoni yangu naona hajakosea kabisa au walitakwa aseme uhongo?
Huwo ni mtizamo wake yupo sawa tu,mbona wachezaji wengi wanazungumzia wachezaji wengine
Wewe chasambi ni musenge
Kisugu huwa nakusifu KWENY uzalendo uko vizur sana mimi ni yanga lakini kweny uzalendo nakukubali kisugu
Mashabiki maandazi wanatukana, mbona jambo simple tu.
Wapuuzi
Hiyo.yote.kwasababu.kamtaja..max..wa.yanga..angemtaja..bukayo.saka..wa.asnal..yasingetokea..haya..daa.nchi.ngumu.sana.hii
Sasa kama Simba hakuna engeogea uongo safi sana bwana mdogo kama watakususa njoo yanga uje ukomae kimpira uje ucheze mpira
Sis Wana simnba a2mfagilii m2 yoyote ko chasambi asjalibu ku2panda kichwan
Kisugu hapo leo umetumia akili na yeye hakusema simba yote amesema kwenye idara yake anamushi max anaoenda aqe lolimodo wake sio kosa hakusema simba
Tafsiri ya mawazo ya chasambi na wanasimba walio wengi ni tofauti...
Inatafsiliwa kama simba hakuna mchezaji mzuri lakini chasambi alikuwa na maana kwamba yeye binafsi anapenda uchezaji wa max lakini yeye hakuwa na maana kwamba kwamba max ni zaidi ya wachezaji wote wa simba siyo hivyo
Kwaniiii kasemewaaa siii kaulizwaaa kwenyeee Tim yakooo kasema apana
Mtangazaji una MANENO MENGI
Wakati aucho alivyosema anataman kucheza chama mbona haikua mada
Nenda
Ndo tuamini kuwa waandishi wengi ni wakufundishwa wiki mbili., wanaaibisha fani za watu.
Tatizo liko wp?huwezi kulazimisha nafusi ya mtukumpenda mchezaji mwingine😅😅😅😅😅😅😅
Kisugu ni zaidi ya professor anajua
Kisugu sijwai kukuelewa kabisa lkn leo nimekuelewa sana mchezaji yupo huru kumpenda mtu yoyote akuna cha kuomba radhi
Kacheze yanga mbwa ww
Broo leo umezungumza Ukweli. Uishi milele kaka, na wasiojua mpira hawatakuelewa
Shida ninamuna yeye anavo jibu cause unamuliza vipi mwandishi ety kwenye timu yangu Kisha anasema vp kwenye timu yake hakuna 😂😂😂😂
Washa biki wa simba tutafakari tunawatoa wachezaji morali
YUPO SAWA ANAFANYA KILE KITU UNACHO KIONA
Chasambi hana hatia kaongea fact ya ukweli kuhusu mtu anayemuhusudu watu wanaoshoboka hawajui mpira
Mh!! Ni hatari mbona mm ni yanga lakini napenda m, Hussein kwani kosa lake nini?
Mashabiki wa Simba acheni roho mbaya.Kwa hiyo kosa lake liko wapi?Baadhi yetu wabongo ni wachawi tu kwenye soka.Kumtaja Nzengeli ni kosa au mlitaka amtaje Haland.
HAYA mambo yote yanaletwa na waandishi WA hap bongo Hadi kitu kinakua Yan KITU KIDOG kinakuzwaa DUH waandishi SIO KILA KITU kukikuza JAMANI. PIA chasambi Hana kosa YEYE NI mtazamo wake NA WATU hupenda kuiga kile KIZURI na KIZURI kakiona KWA zengeli so mwacheni aige na ajifunze 😢😢
Acheni upuuzi hasa nyinyi waandishi wahabari ningekuwa mimi ndiyo kisugu unanihoji upuuzi huo ningeondoka tu mnaonekana kama mmetumwa tu mbona max haikuwa midomo mingi niwapuuzi sana nyinyi waandishi wakibongo wapuuzi sana
Atumtaki aende zake
Kwa siasa za Simba na yanga benchi litaanza kumuhusu
Hakuna kosa hapo
Max nzengeri mwenyewe anamwelewa awesu awesu leo chasambi awe na kosa lipi asimamie misimamo yake
simba na yanga usifananishe na timu za nje si tuna upinzan mkubwa
Mchezaji mwenye AKILI NA ANAYEJUA MPIRA!
Dogo hajakosea hayo ni mawazo yake
SIMBA waache ushamba yule dogo Yuko sahihi hayo ni mapenzi yake
Achan ujinga mashabik hakuna ubaya kumsifia mchezaji watimu pinzani
Wacheni ujinga nyinyi mashabiki msojua mpira hao wanaomsema vibaya chasambi ni utopolo wanataka kututoa kwenye reli mwaka huu ubaya ubwela upo palepale unakuja party 2 2025.chasambi ana haki ya kumchagua mchezaji yoyote ulimwenguni
Aombe Radhi,kisugu huna kitu
Wewe ndio huna kitu
Kwani ganacho ilikuaje Kwa messi
Wewe una akili sana kaka hapo umezungumza kwel
Yuko sahihi jmn mpira so vita
WANAOHITAJIKA KUKUFANYA WEWE CHASAMBI HUMFIKIE HUYO NZENGELI WOTE UKO NAO SIMBA SC SASA KWA KAULI IYO UNADHANI WATAKUPA USHIRIKIANO ASILIMIA 100???KUWA MAKINI NEXT TIME.
Hivi kumbe huyu kisugu Kuna mahali anakuwaga na uwelewa
Tanzania tuna akili finyu za mpira tuna hoji ujinga
Chasambi ametukosea sanaa ikiwezekana aachwe kabisa
Wewe hakuna kitu kama hicho,kama Simba hakuna anayemfurahisha asiseme? Heshimuni mawazo ya Chasambi yuko sawa. Acheni ushabiki uchwara. Mimi ni shabiki wa Simba lakini malalamiko ya baadhi ya mashabiki wa Simba dhidi ya Chasambi Ninayapinga.
Mjinga wewe utamwacha Dem wako na cyo chasambi kichwa na Simba
Sasa wewe ulitaka asemaje wakati hana cha kujifunza kwenye timu yake acha ujinga
Punguza MANENO muandishi nenda kwenye pont
Kisugu Leo umekuwa mtu wa moira mchezaji si kasema tu kwani shida iko wapi jamani?
Maisha popote ye so aende2
Chasamb ni shoga
kwanza akija yanga utakuja kucheza na role model wke
Nyinyi washabiki Simba ni wapuuzi sana mnamlazimisha mtu apende kitu asichokipenda nyinyi vp?
Ata mohamedi hussen alimtaja yeye hachezei.simba nawala haikuleta taharuki ila mimi najuwa aowo wanao comment niyanga
Simba haina quality 😂😂😂😂😂
Chasambi upo vizuri kweli Uishi miaka mingi mikia Fc inakuuma ukiwa wapi
Dogo kakosea sana aombe razi wezake wewe unaishi nawachezaji wa simba kambi moja halafu unasema wacheza ji hajaona mchezaji mwenzako haķuna mchezaji anaekuvutia nikosa kubwa sana
We humtaki Ronald na mess , mtu unae mkubari so kosa
Sasa kama ajaona asiseme kweli
Kosa lake nn tatizo mnaisi mpira uadui Yani mmefikia atua mnachukia wazazi wenu kisa wapi yanga
Sasa kma hajamuona kwel je? Hkuna aliomuona kwel 😂😂😂
Chasambi Wale Wasimba Kama Vicheche Wanarukaruka. Kitu Cheupe Aseme Cheusi.
Kumbe kisugu sio mdomo tu na akili unazo
Kwan kakosea nn jmnn 😢
hana baya kweli uwajibikaji wake
Chasambi musenge muzuli sikama amemuona nzengeri mzuri siamufate
Wachezaji ajitume ili wasifiwe
Sisi Simba chasambi hatumuelewi kwanza atoke nasisi mashabiki hatumuelewi
Huo niutotowako na kutokujua mpira wewe mwenyewe ahueleweki nakama umechukia hamatimu.
Hajitambui utoto unamsumbua
Ndo maana mnaambiwa sio kila mchezaji kuongea kwenye media...
Aombe radhi kivp jamani??!!Sasa mwenyewe kaona huyo ndio anaempenda,mlitaka aseme uongo??huo ndio ukweli kutoka moyoni wa CHASAMBII,mctake kum'badilisha kauli,cc tumeshika kauli ya CHASAMBII ya kwanza,ukweli utabaki pale pale,aichafue brand kivp jamani??🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nenda umfuate kule utopoloni,huna adabu kabisa kijana.
Katiia siku zote leo ndio nimeona akili yako Kisugu ikiwa imetulia sehemu yake. Simama hapo hapo usipoteze signal
Hapo akuna cha ajabu alichokiongea chasambi mbona maxi alisemaga anamkubali AWESU pamoja na FEI hapo napenyewe tusemeje? Mbona wabongo amtakikukua kisoka?
Hata pele ali msifia ronaldo c7 akamuacha neima
Mtangazaji rekebisha matamsho yk hujui kutamka vizuri,mmejifunza wapi nyinyi!?
Sasa apo ubaya uko wapi hiyo ni kawaida chasambi kumpenda max na hata Max aliwahi kuulizwa swali kama hili akasema anampenda Awesu Awesu tatizo nini????
Mimi mwenyewe namkubali sana Abuya