JPM amjia juu mkandarasi wa ujenzi nyumba ya Kikwete" Hii sio zawadi ni sheria".
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
- #Kikwete
#DSM
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our TH-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg
We love you Kikwete. Thank you for your love for our country as well. Enjoy with your new home. You deserve it!
Alie nacho anaongezewa. Yesu na mm nisaidie jaman. Yesu Uko wap baba mm nateseka hata kodi ya nyumba sina. Ila bado nina imani
Pole jmn
Amina mungu yupo atakukumbuka
Naomba kazi wakulugenzi
Jaman naombeni mtajiiii namm mwananchi wa kawaida
Kikwete kawachoma washikaji hahaha wanapigwa za uso😅😅😅😅 magufuli raha sana
Mitaroooo , au mifereji ya maji ndio shidaa ya nchiii yetyuu tukiweza hili tutakuwa mbali sanaaa
Jumba lote wanakaa watu wawili wananchi nyumba za udongo
Yule akikuwa rais wa nchi amefanya mengi lazima Athaminiwe.Acheni chuki binafsi.kuongoza watu 60m si mchezo.
@@peteropanga9703 hayo mengi wewe familia yako na wengine wamenufaika na nini mbona vijana akili zenu zimelala hivo
Mtukumbuke na milion hamsini za kila kijiji
Hiyo atakabidhi mweshimiwa lisu
Atambee
Lisu anayo yake kule Belgium.ya huku ya nini?
Mnajilia nyinyi wenyewe t2 ila wale wanaokuchaguwen hamuwapi wanacho kitak
Watu wamebomelewa ata kulipwa awajalipwa leo hii wanajengewa waliyokua nacho wanaongezewa kweli ccm ni wezi ndio maana mnaogopa kutoa inch pumbavu nyinyi ccm. Lissu onyee
Mwene nacho huongezewq daar
Mimi naomba kazi nifundi 0757891848 nifundi wadari nawaomba kazi
Ccm mnataka kututoa kwenye reli