NAMNA YA KUANGALIA MAJIBU YA APPEAL HESLB - WALIOONGEZEWA MKOPO HESLB
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ธ.ค. 2024
- namna ya kuangalia majibu ya rufaa ya mkopo bodi ya mikopo ya elimu ya chuo. hii video imeeleza appeal status inangaliwaje? je ni jinsi gani ya kutazama majibu ya mkopo baada ya kuappeal?
je ni namna gani nitajua ouwa nimeongezewa mkopo?
so in this video we discussed and shown the way how to check HESLB allocation status, how to check appeal results. how to view disbursement on sipa account.
how to appeal for a HESLB loan, how to check loan allocation. walioongezewa mkopo. waliopata ada heslb, mikopo ya elimu ya juu. majibu ya appeal kuongezewa ada.
📂 Kwa wanaoshindwa kufanya applications, karibu tuhudumie kwa bei rahisi kabisa!
✅ Tumeamua kuwaelekeza bure ili mtu akishindwa atatuchangia gharama ya bando la kumsaidia application yake tu.
⭕ GUSA LINK HII KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA WHATSAPP
➠wa.me/message/KPBYLKDN6LF5B1
⭕TAFADHALI FUATA MUUNDO WA MESEJI ULIOWEKEWA ILI KUHUDUMIWA KWA URAHISI
✍️KARIBU SANA
Majuz acount yangu ilkuwa inasoma not found kuanzia jana inasema no approved allocation available for academic year kweny instution na last yos bado wajajaza so ndo nmekosa kiongoz?
Samahan me mwanzo account yang ilibadilika ikawa sipa na nkiend kweny allocation naambiw detail not found sasa hivi nkiangalia yan linakuja jedwali
Je Kwa nini nikiingia Naambiwa you don't have account shida ni nini nielimishe inakuwajee
Inawezekana unakosea details zako ndugu! Japo mfumo nao mwanzoni ulikua unasumbua kidogo!
Vizur
Karibu