Mahakama kuu ya Embu yaondoa marufuku ya uuzaji Muguka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Uamuzi wa mahakama kuu ya Embu wa kusitisha kwa muda marufuku ya usambazaji Muguka katika kaunti za Mombasa, Kilifi na Taita Taveta umepokelewa vyema na wanabiashara wa bidhaa hiyo katika kaunti ya Mombasa. Kwingineko Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Sharrif Nassir amehusisha uvamizi wa kituo cha radio cha Rahma kinachomilikiwa na familia ya Sharrif Nassir na msimamo wake wa kupiga vita uuzaji Muguka katika kaunti hiyo.
    Connect with KBC Online;
    Subscribe to our channel: t.ly/86BKN
    Follow us on Twitter: twitter.om/KBC...
    Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
    Check our website: www.kbc.co.ke/
    #kbcchannel1 #news #kbclive

ความคิดเห็น • 113

  • @bonfacegitonga6743
    @bonfacegitonga6743 4 หลายเดือนก่อน +8

    Kaa hutaki muguka jiepushe na kununua

    • @coolvoices6608
      @coolvoices6608 4 หลายเดือนก่อน

      Mbona we don't buy guns? Coz not everyone can afford. You have to look for a licence and are not readily available. Telling a 15 yr old not to buy when it is at his doorstep....at the kongowea market where he's sent tomato...cheap at 50 bob like ....can adults really think or you are just speaking?

  • @thewizard4436
    @thewizard4436 4 หลายเดือนก่อน +10

    Muguka is not illicit ,, kenya is for us all we shall sell muguka mpende msipende

    • @salmaali7080
      @salmaali7080 4 หลายเดือนก่อน

      Uzenmeni makwenu menu juko

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 4 หลายเดือนก่อน

      uzeni mana wapwani ndio awana muelekeo wamekeuka wenzao kwaiyo ata mkapaya ulevi mwengine waleteeni mana awataki maendeleo na port wangefutwa wote wakaletwa wabara na na kote kuliko makampuni wabara wajazeni muwachie mugoka na bangi shenzi sana viongozi wa pwani bure kabisa mwanzo yule mashavu shep ya kabat Achani.mbwa mwitu

    • @coolvoices6608
      @coolvoices6608 4 หลายเดือนก่อน

      Fine kenya ni yetu sote but that doesn't mean you should forcefully sell me a product am not interested in. Go sell somebody else in need. I have minors below 18 whom I'm protecting from your greed for money at the expense of his future. Come on! Mombasa isn't a dampsite. And it doesn't mean the fact iko bangi n other drugs then everything else should be thrown at our doorstep

    • @jumas.sendekwa2788
      @jumas.sendekwa2788 4 หลายเดือนก่อน

      Muguka NI Sawa heroin na cocaine Tu. Walevi wakubwa ninyi

    • @IssaNassir-tv6lh
      @IssaNassir-tv6lh 4 หลายเดือนก่อน

      Pwani c kenya

  • @felixmuinde6322
    @felixmuinde6322 4 หลายเดือนก่อน +7

    Kaveve kazoze

  • @petermakaumutuku9150
    @petermakaumutuku9150 4 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂Eti stori za jaba

  • @coolvoices6608
    @coolvoices6608 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mbn hawa watu wanatufanya wapwani second class citizens? Hii nchi si ya raisi na si ya wa Embu. Kila mtu akae kwao na apange ya kwao.

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 4 หลายเดือนก่อน

      ujinga ni wa pwani wanao unga mkono wapwani atuna umoja tutakua nyuma ya matoka kila siku mana kuna wapwani washabikia huu ujinga na kuponda viongozi walio pinga kwanza yule mpumbavu wa kwale Achani hana mana kabisa msaliti mkubwa atetei mwananchi bali yuatetea ruto na ujjnga wake yani mungu amuangamize wallah

    • @benjaminosura7665
      @benjaminosura7665 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ndie utaangamia kwanza wala sio yy

    • @giftmwasambu4442
      @giftmwasambu4442 4 หลายเดือนก่อน +1

      this's a very shallow mindset, kama it's that bad, what about tobacco smoking

    • @coolvoices6608
      @coolvoices6608 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@giftmwasambu4442 so we should accept every thing else coming because there is tobacco smoking?

  • @gikundimitu7821
    @gikundimitu7821 4 หลายเดือนก่อน +4

    Uju Governor wa mombassa kumama zake

    • @oyay2821
      @oyay2821 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe lete matusi hayo mombasa ground uone kama huto fanywa mke

    • @IsmailBaya
      @IsmailBaya 4 หลายเดือนก่อน

      Huku mombasa ujaribu kumtusi gavana watu wapwani wakuskie kwisha habari yako

  • @josephkimathi6855
    @josephkimathi6855 4 หลายเดือนก่อน +3

    Madawa ndio imewaharibu huko mupigane nazo si muguka miraa

    • @coolvoices6608
      @coolvoices6608 4 หลายเดือนก่อน

      Spare us from Muguka then don't add more problems to the existing ones we have. If you don't care we care.

  • @abdullahshakur6549
    @abdullahshakur6549 4 หลายเดือนก่อน +1

    Coast and Northern Eastern province should ban muguka and all types of miraa with a immediate effect.

  • @georgemwendwa1520
    @georgemwendwa1520 4 หลายเดือนก่อน +2

    MADAWA YA KULEVYA YAMEJAA MOMBASA ,MUGUKA SIO DAWA YA KULEVYA ...

  • @MohamedDahir-hj2oq
    @MohamedDahir-hj2oq 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mombasa governor abdisamet shariff nassir alipe ushuru kwa kra on radio rahma. Governor abdisamet anaagaisha watu kwa sababu ya mogoka lakini alikata kulipa ushuru.pay tax to government governor.

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio upumbavu wa sisi wa pwani huu mtu kama wewe una akili ati waponda abdul swamad ndio tukawa matakoni mwa wa bara alafu mwalalamika hooo ajira zapewa wabara watapewa sana mana mna chuki na wivu wa kishoga mtu wa kutoka pwani akisimama kutetea mwananchi ndio nyinyi amumuungi mkono ingekua mbara ndio amepiga ungesikia jinga sana

    • @bakanyae-bq9pf
      @bakanyae-bq9pf 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani uyo ushuru umeonekana leo kwaajili ya muguka

  • @abdirashidShidi
    @abdirashidShidi 3 หลายเดือนก่อน

    Governor wa coast ameona biashara ya dawa za kulevywa na ushonga, imepoteza bei, sasa anawekelea muguka juu muguka ukikula hutaki hizi story za kishetani. Pengine hiyo governor ni shonga.

  • @JoyceAntony-gm1rs
    @JoyceAntony-gm1rs 4 หลายเดือนก่อน

    This ODM it because mt kenya doesn't votes them this is jellyfish jealous of Business from mt kenya gavana wa Mombasa do you own Mombasa? Just fixing the homeless in the town waza unjinga

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mira iwachiwe haina maradhi yoyote

  • @m0hamudbishar388
    @m0hamudbishar388 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani ni lazima

  • @GakiiKaratho
    @GakiiKaratho 4 หลายเดือนก่อน

    kwanza box ya muguka ety elfu sita Governor unazdwa kupigana madawa ya kulevia kwako unageukia muguka

  • @angle3600
    @angle3600 4 หลายเดือนก่อน

    Rudisheni kaya bombo wamesahau ile kitu ilitokea mombasa ikawa nyeupe kwa nusu saa amkeni wazee wa kaya mfanye ile kitu,msishtuke watu wa Mombasa njia ya kuua panya ni nyingi

  • @amaru2387
    @amaru2387 4 หลายเดือนก่อน

    Huko pwani bado ni Kenya na MTU wa zozo lazima apige zozo yake Kenya sio ya Sharif Nasir bana

  • @badmeetsevil7643
    @badmeetsevil7643 4 หลายเดือนก่อน

    Hao wafuwasi wa hio redio rahma ndio wanao pinga mgoka this group ya redio rahma ndio tatizo kubwa

  • @mohmwesh
    @mohmwesh 3 หลายเดือนก่อน

    Hata mkiovertax muguka kuuxa laxima we are never surrender biashara isonge kama kawa

  • @mohmwesh
    @mohmwesh 3 หลายเดือนก่อน

    Izo ni stori xa jaba mnatupea nyinyi wapwani,kitaeleweka vinoma

  • @benardlangat-ro3dn
    @benardlangat-ro3dn 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani wamegundua saa hii mugukaa zinauzwa?this is their cash crop

  • @ED-zi9rb
    @ED-zi9rb 4 หลายเดือนก่อน +3

    Na hawa Arabs wanaumwa sana.You are poisoning Africans with drugs in coast not Mugukaa

    • @benjaminosura7665
      @benjaminosura7665 4 หลายเดือนก่อน

      Indeed they we as Kenyans we should Chase them buck to their country idiot's wasitupange kwa inchi yetu we have our own customs

  • @TIZZOBOYOFFICIAL
    @TIZZOBOYOFFICIAL 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kazoze

  • @JohnstoneEmitundo
    @JohnstoneEmitundo 4 หลายเดือนก่อน +7

    Kama hutaki kutumia kaa kando period

    • @salmaali7080
      @salmaali7080 4 หลายเดือนก่อน

      Nenda menu ukale mngikaaa Mombasa no space 4mngokaa

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 4 หลายเดือนก่อน

      shenzi wewe pumbavu kwani nlazima mlete mombasa au pwani kwa jumla ngombe nyinyi si muuze kwenu mbwa nyinyi

    • @benjaminosura7665
      @benjaminosura7665 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna kwa mbara wala mcoast this kenya ,and it belongs to all of us mbwa nyie mwatumika na waarabu kama tissue paper

    • @salmaali7080
      @salmaali7080 4 หลายเดือนก่อน

      @@benjaminosura7665 hao warabu ndowanakukipa shenzi wewe kapige mswaki Kwanza wacha paparaaa mwataka kujuwa watu kwa lazima

    • @Eiarlk
      @Eiarlk 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@salmaali7080 Meru ni miraa bwana jua chenye unasema

  • @mwakimusikali2382
    @mwakimusikali2382 4 หลายเดือนก่อน +1

    Msomesha watoto na muguka, while youths in mombasa are seriously damaged by the
    staff.

    • @kimanithings5603
      @kimanithings5603 4 หลายเดือนก่อน

      which staff.kuna dibi kuna tembe.Hizo ndizo abdulswamad anaongelelea,Hajui mambo ya jaba hajawahi chana.Usomali ukwende uko

  • @HAMISIMAZERA-zc5sb
    @HAMISIMAZERA-zc5sb 4 หลายเดือนก่อน

    Kilichobaki ni dini tu, tutoe uoga waislam.

  • @hujale6552
    @hujale6552 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo Judge Mkikuyu labda ako na shamba huko Embu

  • @simplejames9500
    @simplejames9500 4 หลายเดือนก่อน

    Talking zombies while chewing grass

  • @Ghabuseed
    @Ghabuseed 3 หลายเดือนก่อน

    Wajaribu Nairobi waone mgomo was miezi 10

  • @charackally8846
    @charackally8846 3 หลายเดือนก่อน

    Aliyewaroga wakenya yeye mwenyewe pia karogwa 😂😂

  • @IsmailBaya
    @IsmailBaya 4 หลายเดือนก่อน

    Hii mijitu yote ni mibara yenye inayoshangilia

  • @VioletAsagi
    @VioletAsagi 4 หลายเดือนก่อน

    Mwataka kupita mwendapi Kwa mini msiuze kwenu

  • @dolphinemokeira6870
    @dolphinemokeira6870 4 หลายเดือนก่อน

    Am sure by 2030 hamna meno, trust me,muguka n sumu ya meno

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 4 หลายเดือนก่อน

    Mungokaa isiletwe coast, Ibaki huko bara.Bila hivyo hizo hari zinazobeba zichomwe

  • @RiazJuma-v9k
    @RiazJuma-v9k 4 หลายเดือนก่อน +2

    No one is forcing anyone to chew mogoka

    • @coolvoices6608
      @coolvoices6608 4 หลายเดือนก่อน

      You are forcing your lorries inside our counties. And your target market is everyone including our minors. You have made it cheap n available to attract our teenagers too.

    • @aligandani8335
      @aligandani8335 4 หลายเดือนก่อน

      Mbona hampeleki mugoka riftvalley ,nyanza na huko pokot.why mombasa.mukwende zenu na na hiyo biashara hatari

  • @DANNFARMER-MO2JW
    @DANNFARMER-MO2JW 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂so hizi ni story za jaba🤔

  • @salomewambui7417
    @salomewambui7417 4 หลายเดือนก่อน

    Mwabie mwanao asichonge

  • @altamyanfane9850
    @altamyanfane9850 4 หลายเดือนก่อน

    Nakuja huko nile muguka

  • @SokratesStallin
    @SokratesStallin 4 หลายเดือนก่อน

    Wacha watu wale mkox

  • @petronillashifuma6028
    @petronillashifuma6028 4 หลายเดือนก่อน

    Overtax that product

  • @setrickhamasi9533
    @setrickhamasi9533 4 หลายเดือนก่อน

    Muguka ina shinda iko sawa hwa watu wa mombasa wawache ijinga wamekula pesa ya umaa saas wamerdi na story ya jab jab isiuziwe under 18 plze put watu wazima watumie

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo ruto awapunguzia chakula sio mokooka mbona yeye nawatoto wake hawakulia tafakare?

  • @salomewambui7417
    @salomewambui7417 4 หลายเดือนก่อน

    Chunga mwanao

  • @setrickhamasi9533
    @setrickhamasi9533 4 หลายเดือนก่อน

    Na hii ni sia imeaza uko pwani kuna mchoroo na kuna watu wameshiba kutka pande igne goja utaona

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 4 หลายเดือนก่อน

    Matthew 26:39

  • @GakiiKaratho
    @GakiiKaratho 4 หลายเดือนก่อน

    watu wapwani ngiga sana ety mtu ako na hakili ana sema watu wakae kwao hii ni kenya fugeni hiyo domo safu

  • @kingwalterkogamusic
    @kingwalterkogamusic 4 หลายเดือนก่อน

    Watch more videos here th-cam.com/video/l3gtL-nWwWg/w-d-xo.htmlsi=DtcdySCtcScflK-_

  • @ngumalimau5427
    @ngumalimau5427 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mugokaa hatutaki pwani

    • @keepcalm._
      @keepcalm._ 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nenda kamwambie babako!.

  • @alexjaddu377
    @alexjaddu377 4 หลายเดือนก่อน

    Nia yao ni kumaliza watu wa pwani...watu wa pwani wanaonea sana watu wa pwani

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 4 หลายเดือนก่อน

    Munatafuna mungokaa hamifanyi kazi kazi nikwizi kidunga watu visu

  • @sammymwambire5166
    @sammymwambire5166 4 หลายเดือนก่อน

    Mambo bado karibuni mtajua hamujui pwani ina wenyewe

  • @anthonyochieng1446
    @anthonyochieng1446 4 หลายเดือนก่อน

    Mogoka and miraa business emperor is being protected by the state, you can't kill it.Hawa watu wanachunga kura zao.They don't care/don't give a damn about the health of its citizens as long as they get what they want. For real Mogoka is harmful and that's why, it was banned in UK.Their are so many lunatics in coast region nowadays because of mogoka.That is damn true.

    • @ED-zi9rb
      @ED-zi9rb 4 หลายเดือนก่อน +1

      Khat consumers are very peaceful people unless you put other illegal hard stuff on top.European countries are legalising bang recently Germany just imagine.

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 3 หลายเดือนก่อน

    Allah huakbar allahu akbar alhamdulilahi rabil alamin❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JohnstoneEmitundo
    @JohnstoneEmitundo 4 หลายเดือนก่อน

    Usinunue biashara itakufa peacefully isiiue na maguvu

  • @hassancharo1496
    @hassancharo1496 4 หลายเดือนก่อน

    Jaji huenda Ana shamba la mugukaaa haezi jali watoto wa pwani

  • @bakanyae-bq9pf
    @bakanyae-bq9pf 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni plan yakufanya wa pwani wasijielewi

  • @alexinamaina794
    @alexinamaina794 4 หลายเดือนก่อน

    I can smell tribalism from a distance😂😂😂😂

  • @sammysammy2001
    @sammysammy2001 4 หลายเดือนก่อน

    Hakuna rubusa bina famu Kama mbuzi nooooo

  • @Ashunemum
    @Ashunemum 4 หลายเดือนก่อน

    Malusu nyie wa migokaa iyone vile mshhhh

  • @KoomeNzima-e2v
    @KoomeNzima-e2v 4 หลายเดือนก่อน

    Wanataka kuleta vita kama vile viko kule Israel

  • @vibaliforeal6128
    @vibaliforeal6128 4 หลายเดือนก่อน

    Wapwani hatutaki mghoka

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 4 หลายเดือนก่อน

    Mhh kisa cha paka na panya😂😂

  • @alimkuzi6073
    @alimkuzi6073 4 หลายเดือนก่อน

    Ooh kumbe n embu, nimedhania n pwani

  • @salmaali7080
    @salmaali7080 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kauzeni embuu kwenu mombasa hatutaki mngokaa mbona watoto wenu hamuwapi

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 4 หลายเดือนก่อน

    Waah, ngoma kali

  • @shhjab3621
    @shhjab3621 4 หลายเดือนก่อน

    😮 hatutaki mogokaa.kauzeni mbele

    • @anthonymugo6754
      @anthonymugo6754 4 หลายเดือนก่อน +3

      Kama hautumii inakuhusu nini kila mtu na starehe yake hakuna anayekuwa forced kununua

  • @Agro_nomad
    @Agro_nomad 4 หลายเดือนก่อน

    Increase tax and sensitize people so that dont buy it ...thats it

    • @coolvoices6608
      @coolvoices6608 4 หลายเดือนก่อน

      Bro what are you talking about? Making it available cheaply at our doorsteps. Young curious teenagers seeing it chewed by adults and being cheap? No better way than banning it completely. Let us deal with cocaine, theft and not mogokaa

  • @BENgrandperBEN10
    @BENgrandperBEN10 4 หลายเดือนก่อน

    Keande keande 💪

  • @terrywangui6818
    @terrywangui6818 4 หลายเดือนก่อน

    Stori za jaba?

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo muhindi atulie aachane na biashara za watu...hyo Havana atakula Kazi aulize joho pia yeye alikuwa gavana😂😂😂bado atalia sana

  • @KoomeNzima-e2v
    @KoomeNzima-e2v 4 หลายเดือนก่อน +4

    Gavana anasema yeye ndie rais wa pwani pwani c kenya

    • @johngeorge4834
      @johngeorge4834 4 หลายเดือนก่อน +1

      Atajua Kenya sio india

  • @kallenskagwiria1896
    @kallenskagwiria1896 4 หลายเดือนก่อน +2

    Gavana mjinga