Fanya hii ndugu yangu wala siku 40 hazifiki ila ukidumu nayo kila siku yaaan utastaajabu unaona meengi mazur.. Allah awatunze mashekhe wetu.. fanya kwa ikhlas
Kihesabu kwa maelezo ya Sheikh itakua ni mara Tisini kwa rakaa hizo nne yaani mara kumi kwa rakaa ya kwanza, kumi kwa ya pili, thelathini kwa ya tatu na mara arobaini kwa rakaa ya nne ya mwisho. Kwakua maelezo ya Sheikh ktk video yapo wazi na rahisi kuyaelewa ni imani yangu kua wasikilizaji haitawawia ugumu kugundua na kufuata hesabu ya Tisini.
Alhamndulillah,Umefundisha vizuri.Allahuma Amiina Inshallah.
Swallallahu aleyih wasallamuu
Asalaam hapana utakuya umeleta Mara 90 kwa hesabu sahihi
Raqaa ya pili unaisoma mara20 nimewah fanya hii iibada siku 7 hazikuisha nilikuwa na shida yangu kuubwa nilikidhiwa haja yangu... Alhamdulillah
Fanya hii ndugu yangu wala siku 40 hazifiki ila ukidumu nayo kila siku yaaan utastaajabu unaona meengi mazur.. Allah awatunze mashekhe wetu.. fanya kwa ikhlas
Hzo. Rakaa 4 unatla nia ipo swalaat lhajaaa or qyam
Wallaikum sallam warahamatullah wabarakatuuh
Shukran.sn
Mashallah
Sheikh, rakaa ya pili ni Ikhlas mara 20 sio 10
Asslalm alaikum.nimefwata maelezo yako sheihk lakini katika ile hesabu ya sura til ikhlas nimepata zikk mara 90
assalam alaikum kwasisi wanawake aita wezekana
Hesabu ya mia moja umetoka wapi kuhusu suratul ikhlas utakua umetaja Mara 90
Rakaa ya kwanza 10, yapili 20, yatatu30, ya nne 40
Rakaa 4 n raakaa zip
Tujulishe sisi wanawake tufanyeje
Asalam Alaykum. Shukran Sheikh lakini idadi ya Suratul Ikhlas haikufika 100 ni 80. (10+10+30+40)=80. Shukran. Tafadhali turekebishie
Samahani Sheikh idadi imekuja 90 sio 80
Kihesabu kwa maelezo ya Sheikh itakua ni mara Tisini kwa rakaa hizo nne yaani mara kumi kwa rakaa ya kwanza, kumi kwa ya pili, thelathini kwa ya tatu na mara arobaini kwa rakaa ya nne ya mwisho. Kwakua maelezo ya Sheikh ktk video yapo wazi na rahisi kuyaelewa ni imani yangu kua wasikilizaji haitawawia ugumu kugundua na kufuata hesabu ya Tisini.
Rakaa ya kwanza 10, yapili 20, yatatu 30, ya nne 40
Hapo mwenye rakaa ya pili ni ishirini, ulimi uliteleza samahanini sana kwa usumbufu inshallaah
shukran sana sheik Allah akuzidishie na azidi kukupa nguvu zaid inn sha Allah
assalam alaikum kwasisi wanawake aita wezekana